Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,649
Hapo mahali ni pazuri sana babu. Nitarudi tena siku moja.
 
Hapo mahali ni pazuri sana babu. Nitarudi tena siku moja.

Duuuuhhhhhhhhh,

Nakuonea huruma.....ukirudi salama basi uwahi kwa shekh ukasomewe swala maalumu....

Kigali siyo mahali pa kwenda kabisa....

Sina hakika kama watu wananielewa....

Babu DC!!
 
Duuuuhhhhhhhhh,

Nakuonea huruma.....ukirudi salama basi uwahi kwa shekh ukasomewe swala maalumu....

Kigali siyo mahali pa kwenda kabisa....

Sina hakika kama watu wananielewa....

Babu DC!!
Babu Kigali nilishafika, napanga kwenda Addis sasa. Kisha baada ya hapo nitachagua wapi kwa kuweka makazi kabisa baada ya kupitia vigezo nitakavyojiwekea.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hunipi pole??

Unadhani ni haki kweli umri huu kuanza kupigwa na imagination kama unafloat kwenya sayari nyingine??

Nitendee haki basi mkubwa mwenzangu.....

Babu DC!!
unajua sijajua kwa nini unapachukia mtu mzima mwenzangu....
sasa naanzaje kukupa tu pole na hali sijui yaliyokukuta?:A S-confused1:
 
Duuuuhhhhhhhhh,

Nakuonea huruma.....ukirudi salama basi uwahi kwa shekh ukasomewe swala maalumu....

Kigali siyo mahali pa kwenda kabisa....

Sina hakika kama watu wananielewa....

Babu DC!!

....swahiba, ngoja niende japo mara moja tu nami nije nitoe ushuhuda.
 
Kigali kuna madhara. Watoto wadogo mkipazoea mkizeeka mtataabika. Shauri yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom