Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,070
Nilijua kauzibe lazima utokee....nani kakuambia nataka uhusiano wa kimapenzi na penny? nimemuandikia email tufahamiane tu no mapenzi at allAisee wewe utakuwa umevunja rekodi ya kupigwa vibuyu humu ndani....hahahaaa...mwenzio Penny ana Balantanda wake....ahahahahaha....nimekuambia uachane na mambo ya u Soulja Boy lakini husikii....
Nilijua kauzibe lazima utokee....nani kakuambia nataka uhusiano wa kimapenzi na penny? nimemuandikia email tufahamiane tu no mapenzi at all
Nilijua kauzibe lazima utokee....nani kakuambia nataka uhusiano wa kimapenzi na penny? nimemuandikia email tufahamiane tu no mapenzi at all
mfahamiane ili iweje? kwani huwezi kufahamiana naye hapa hadi umwandikie barua pepe? kwanza umejipendekeza kwa sababu hata hukupewa wewe hiyo anwani ya barua pepe
there was this beauty katika hood,inasoma kifungiro,ilikuwa inatupiga vibuyu left,right and centre,we concluded we could not breach her defences due to maadili anayofundishwa shuleni,in her last year she got pregnant na mfanyakazi wao wa ndani of all people believe me we wept openly
...SofA, Why did you weep?? Just Because she was DONE by their Mfanyakazi wa Ndani?? The Guy must have played his Cards better than You! Anyway, the rest of the story? Did he marry her, to make you weep even louder? teh teh.
Aisee wewe utakuwa umevunja rekodi ya kupigwa vibuyu humu ndani....hahahaaa...mwenzio Penny ana Balantanda wake....ahahahahaha....nimekuambia uachane na mambo ya u Soulja Boy lakini husikii....
Asante NN, maana kazidi huyo hebu mwambieni my beiberry asijechukia saizi bure!
hahahaah Penny umenifurahisha sana mdogo wangu..."BEIBERRY"...That is sweet!...
Thanks my sister for the compliments! Sasa sijui my beiberry yuko wapi maana leo sijamuona.
Kelly01,
Pse check PM.
Mlisoma Kifungilo Waambieni Ma-sister wapunguze michango maana imezidi kila siku na hatuoni kinacho jengwa kila graduation some time wana pata zaidi ya 100Milioni na bado kwenye ada unachangia ujenzi cha ajabu wameturundikia michanga na kokoto tu hatuani nyumba zikijengwa...au ndiyo ufisadi wenye huo..
Kelly01,
Pse check PM.
Unamjua Kelly wewe?