Julius Kambarage Nyerere Biography | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Kambarage Nyerere Biography

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Binti Maringo, Mar 25, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  This is very serious and its really not a joke pleaseeee! (highly important!!)

  Kuna maprofesor kutoka University of Endiburgh nimekutana nao jana wanatafutaa Mtanzania anayeweza kuandika Bibliography ya Mwalimu Nyerere in 3yrs time, his leadership na legacy yake kwa ujumla. Kuna funding ya kussuport hiyo kitu na akipatikana mtu ata-register for PhD kwenye University ya Endiburgh. Kina chotakiwa aandike kind of an abstract kuonyesha gap kipi amabacho kuhusu Nyerere hakijulikani then watume atachanguliwa aliyeeandika vizuri aanze shule.

  If you know you can do this please send me an email at auntykelly@hotmail.com... ili niweze kukupa more informations....kwa wale wanaoogopa sijui ID zao kua exposed shauri zao opportunity kama this comes once in a life time....

  Only for serious people...


  xoxo
  Nnzafula aka Kelly01
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ...imeandikwa inawezekana .... anaweza akaja kama malaika wa nuru na watumishi wake wakaja kama watumishi wa haki.
  kama ni issue siriaz, mwaga anuani hapa na complete info kisha acha wabongo wahangaike nayo kivyao. haya masuala ya kutafuniana mapaka chakula kinakuwa rojo ni ya kizamani.
  nakupa hongera kwa kusaka opportunity ila nakushauri be open kuidistribute kwa wadau.
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa unataka niwe serious na kitu gani (u r trying to discourage other people kwa kusema hivyo) keep in mind nimeshatoa email yangu na jina langu kamili hapo chini that means i am very serious....wewe kama upo tayari tuma email then tuta discuss lakini kama haupo serious na kitu hutaki then let those who need this.....

  (
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  still not open enough Kelly.
  Unajua una ujasiri wa kujiexpose kwa kuwa unajua ufanyacho ila ninachosema mie ni kwamba ingawa nataka sana kujaribu ila sitaweza kutuma IDs zangu kwa strangers (my mother warned me). pili ni kwamba dunia imejaa mbinu chafu za kila aina and why should i believe kwamba amongst us hakuna hunters?
  nawapa shime wanabodi kuchangamkia chance hii (msisahau kufuata masharti).
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ok basi sijakulazimisha...

  And for the record sifanyi hizo mbinu chafu i am clean aS mountain spring water...
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mimi ni tomaso and i need proof pls.
  nitajuaje?
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  oh god unanipa migrane!...
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Msanii unaharibu issue iko serious kama huwezi we achana na hii thread bana
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  well said
  am out
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thanks for your cooperation...
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  haya umeshaifanya dili......wabongo bana....
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu haiko siliasi kivile....kely01 keshafanya dili kama kitu serious basi aweke full details za hao wa Edinburgian mie na wewe kama tunaweza tumwage mavituuzi...sio eti nimtumie email kely01 then yeye anionganishie kwa hao...hee!
   
 13. M

  Magehema JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kelly, how much does it cost to provide/unveil the details of those Profs who are in need of Mwl's bibliography?
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  It doesnt cost anything...watasupport the whole study...actual siwezo disclose hiyo kitu hapa JF kama unaweza niandikie email then we cans tart fromt here......
  .
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ...kwa hiyo narudi naw.
  kelly mwaga datas hapa tujichanganye
   
 16. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kelly, nadhani itakuwa vizuri kuweka maelezo yote hapa ukumbini. Ili wanaotaka kujaribu wajue wataanzia wapi kuandika "PhD Proposal" zao, hiyo itasaidia sana.

  AMA

  Kama Kelly anataka mpaka muwasiliane naye kwa wanaotaka kujaribu, labda naye ni mtu muhimu katika hilo zoezi. Kama hutaki kujulikana na Kelly wasiliana naye kwa email binafsi aliyotoa kwa kutumia email yako binafsi pia (yahoo, hotmail nk). JF ina watu zaidi ya 8000. Kama nikimtumia kuwa nimesoma JF hii habari hawezi kujua mimi ni Mfumwa, Yo Yo ama Masanilo.
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yaani Mfumwa you totally nailed it....

  Apparently it seems like kuna watu are having hard time to believe ok this is what i will do nimemwandikia issue nzima Invisible yeye ataweka habari kamili hapo.....then mwenye nia atajimwaga manyanga kumbuka lazima uwe na MA sociology ama Politiko studies kutoka kwenye reputable university....

  yaani wewe bwana upo negative kila siku....unajua kuna wakati wa utani na kuna wakati wa kuwa serious and i am very serious in this matter (with ndita and my glasses on)
   
 18. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wanatakiwa wenye sifa gani kielimu,tupe data tuchangamke.
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwanini umeileta Jf kama hutaki kuweka mambo sawa? si ungekaa nayo moyoni au ungewatumia nduguzo......JF we dare to talk openly hio usiifanye bonge la ishu saaana hata docs za usalama zinawekwa JF sembuse hio......acha bana
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  uwe na MA on sociology ama Politico studies kutoka kwenye reputable university....
   
Loading...