Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

Mwanaume kifua bana. Tena ukute kapigilia bodi suti yani lazima mkitembea mtaani wahuni wakuheshimu maana wanajua jamaa atawatembezea kichapo. Kweli fanyeni mazoezi ya kukaza misuli unakuta wengine vifua vipana lakini tumbo kule. Kifua kinapendeza kama na tumbo pia ni la pingili. Naona JF imeamua kuchambua wanaume.

habari yako big house......?

haya bana, wengine wanapenda kifua kipana, wengine wanataka mtalimbo wa haja, wengine ................kweli kazi ipo!
 
Ah!cku hz utandawazi huamulia watu aina ya wapenzi.mfano km matangazo ya magharibi yanaonesha wanaume mwenye misuli na vifua vpana au wanaume warefu,bas wanawake wa huku kwe2 wote nao watapenda wanaume wa aina hyo.hali iko hvyo hvyo kwa wanaume,km matangazo yataonesha wanawake wembamba na weupe basi wanaume wote watapenda wanawake wenye cfa hzo wakidhan kua mwanake mzuri lazma awe mweupe na mwembamba,kumbe c kweli!2natawaliwa ht kihisia na watu wa magharibi.u2mwa ulioje huu?hvyo kaka wanawapenda kwa 7bu wanapoangalia wa2 wa magharibi kwny luninga wanaona hivyo fifua ndo mana nao wanapenda.na c kupenda haswa ila ni KUTAMAN.mwanamke anaekupenda kwa 7bu ya umbile lako{body morphology}ni tapeli,jambazi,kibaka,fisadi,mchakachuaji na haramia wa wapenzi ,so watch out bro!usije ukalia mdomo juu km mbwa koko!
sasa utampenda m2 kw facta ip ka hajakuvutia kwa body mor4log ?
 
Wao si wanajidai wanapenda makalio? na mie (kabla ya kutubu) nilikuwa nikiyapata siyaachii nayachezea inavyotakiwa haswa. Aaah babu nipitwe? Eeeh nyie watoto, msiache tukasema mengi humu, Toba ya Raabi

ha ha ha FaizaFoxy nimecheeka mie
 
Wao si wanajidai wanapenda makalio? na mie (kabla ya kutubu) nilikuwa nikiyapata siyaachii nayachezea inavyotakiwa haswa. Aaah babu nipitwe? Eeeh nyie watoto, msiache tukasema mengi humu, Toba ya Raabi

Mmmmh
Something is not ok with you
Whether you are a man or a woman
 
No one is perfect, that's why pencils have erasers.

Kila binadamu ana kichaa, ila tunatofautiana viwango.
Kuna wale wenye viwango vya juu ambao kwa matendo yao kila mtu atamshangaa . . . .
. . . . na kuna wale ambao wana viwango vya kawaida ambao matendo yao hayashangazi watu
Hope you will use your Eraser now
 
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!!
Fellow tablet naomba uhusiano wako na hii sredi

There are currently 20 users browsing this thread. (5 members and 15 guests)
 
he he he......Kericho ndio hicho hasa, halafu kirefu 6ft kiko kama Mr President (jf member)....teh teh teh
Preta ka saita, laway ama, watu hawali nyama wala kunywa maziwa ya kutosha these days to be tall, chips, chips, stop utavimba tu ila hurefuki, ila genetics inachangia pia, hi to all tall people plus preta
 
Ah!cku hz utandawazi huamulia watu aina ya wapenzi.mfano km matangazo ya magharibi yanaonesha wanaume mwenye misuli na vifua vpana au wanaume warefu,bas wanawake wa huku kwe2 wote nao watapenda wanaume wa aina hyo.hali iko hvyo hvyo kwa wanaume,km matangazo yataonesha wanawake wembamba na weupe basi wanaume wote watapenda wanawake wenye cfa hzo wakidhan kua mwanake mzuri lazma awe mweupe na mwembamba,kumbe c kweli!2natawaliwa ht kihisia na watu wa magharibi.u2mwa ulioje huu?hvyo kaka wanawapenda kwa 7bu wanapoangalia wa2 wa magharibi kwny luninga wanaona hivyo fifua ndo mana nao wanapenda.na c kupenda haswa ila ni KUTAMAN.mwanamke anaekupenda kwa 7bu ya umbile lako{body morphology}ni tapeli,jambazi,kibaka,fisadi,mchakachuaji na haramia wa wapenzi ,so watch out bro!usije ukalia mdomo juu km mbwa koko!

Hapo nakubalian ana wewe kabisa, kabla sija kwenda USA sikua na ona kuwa na six pax ni big del kwanza nilikua si notice kabisa, ila siku hizi najitesa sana kupiga situps ili zisiondoke. yote sababu ya umagharibi tunao iga.
 
Mmmmhhhh
Muhimu, muhimu, muhimu sana..
Kama vile wanaume hawapendi mwanamke
Mwenye kitambi au out of shape.... na sisi
Tuna choice zetu....
 
Preta ka saita, laway ama, watu hawali nyama wala kunywa maziwa ya kutosha these days to be tall, chips, chips, stop utavimba tu ila hurefuki, ila genetics inachangia pia, hi to all tall people plus preta

he he.....huyu hapa...... Laz-Alonso-red-carpet.jpg
 
he he.....huyu hapa......View attachment 33563
6.6 without shoes Preta utajua is a best height all over the world, but hii picture kidogo haifanani na mm, i have arabic hair ( somali hair) with long nose, but skin kidogo is ok, u know wairaqw wana light skin, & a nice, nice face, just like Obama, ukiniona utasema somali 100% but i am ur bro. Thanks
 
Back
Top Bottom