Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

ahh jamani...niunge tela nini faiza maana nakumisi sana ukipotea weye

Twende for 2 days, wageni wangu wanarudi kesho, nadhani InshaAllah tutaondoka na boat ya saa tisa na nusu, tunarudi Wednesday jioni. Naenda kujiachia Forodhani siku mbili. Lakini kaa BB kangu ntakuwa nacho ntaingia ingia humu kuchungulia. Maana nshakuwa teja la JF.
 
hahahah ushakuwa teja sio...ngoja nikuangalie namna gani naweza zamia msafara huu!
 
mhh kumbe una mtambi weye...njoo mwananyamala nikuchakachue baada ya wiki huhitaji kuinama kumuona kloro!
hehehehe dah! si hii gym bana halaf result guaranteed. nitakaa mwezi ili kuburn na mafuta ya sehem za kichogoni.
 
Si ndio maana naomba booking ya mwezi, waage kazini kabisa waambie umefiliwa zimbabwe. heheehhe tambi langu kwishneyy kabisa.
hahahahahhahahahahha Zimbabwe kumetulia ntawaambia naenda Libya au Afghanistan,ili hata uchakachuaji ukiongeza siku wajue nimekwama huko...liage kabisa maana nasikiaga watu wenye matambi mkiamka huwa mnayapapasa kuyafanya yatulie siku nzima....ukisahau kulilipasa hamna ataekaa jirani yako!
 
Washkaji walikuwa wananiita "kaburi la mjamzito" bana! kulaleki! nikiludi kwa shosti watakoma!
 
teh teeh teeeh ni cku njema naona maana dah! ........... nilikuwepo ka'vp baaaadaeeeeeeeee!!!!!!!
 
Washkaji walikuwa wananiita "kaburi la mjamzito" bana! kulaleki! nikiludi kwa shosti watakoma!
waambie watashangaa na roho zao.....nyakutengeneza na misuli kabisa ukirudi wataulizana,nshamwambia mama mwenye nyumba nahitaji chumba cha dharura maana nna mgeni wa hishma hasaaa,hataki usumbufu!
 
waambie watashangaa na roho zao.....nyakutengeneza na misuli kabisa ukirudi wataulizana,nshamwambia mama mwenye nyumba nahitaji chumba cha dharura maana nna mgeni wa hishma hasaaa,hataki usumbufu!
Kama mama mwenye nyumba umri unaruhusu na anauzika acha na yeye ashiriki tu, huenda ikasaidia akakupunguzia kodi.
 
Kama mama mwenye nyumba umri unaruhusu na anauzika acha na yeye ashiriki tu, huenda ikasaidia akakupunguzia kodi.
hahahhahahahah hiyo sasa kali...hata sijajua kama kitambi hiki kinahitaji usaidizi kukichakachua unaalika na wengine jamani!
 
hahahhahahahah hiyo sasa kali...hata sijajua kama kitambi hiki kinahitaji usaidizi kukichakachua unaalika na wengine jamani!

Hapo nimeangalia zaidi maslahi yako, ihsani inalipwa kwa shukrani, lengo kuu ni mama mwenye nyumba apunguze kodi!
 
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!!

panua kifua nawewe then uliza gf wako
 
Mwanaume kifua bana. Tena ukute kapigilia bodi suti yani lazima mkitembea mtaani wahuni wakuheshimu maana wanajua jamaa atawatembezea kichapo. Kweli fanyeni mazoezi ya kukaza misuli unakuta wengine vifua vipana lakini tumbo kule. Kifua kinapendeza kama na tumbo pia ni la pingili. Naona JF imeamua kuchambua wanaume.
 
Back
Top Bottom