Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

hebu muacheni jk ... asingekwenda mngemsema amekwenda mnamsema..
hii inakumbusha ile interview ya kanumba alipotoka BBA na kuwalaumu wabongo na hizi tabia zetu za lawama.

kama Obama hakwenda msiba wa Michael Jackson ni yeye. obama na koti lake.... sisi waafrika tuna mila na taratibu zetu... kanumba alikuwa kipenzi cha watanzania tunaoshi uswazi... sijaona kosa la jk kwenda msibani...

RIP .. HOMIE
 
hivi MRISHO MPOTO na KANUMBA nani kalitangaza taifa vema?mbona sijaona hata filamu1 ya hayati inayoonyesha maisha halisi ya mbongo?au ile kuvipiga "miti"videmu,pombe mishikaki
na chips ndio maisha ya mtz???
nonsense!!!!!
 
nenda kaulize ule umati wa wanachi waliojaa sinza nyumbani kwa kanumba
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.
 
hebu muacheni jk ... asingekwenda mngemsema amekwenda mnamsema..
hii inakumbusha ile interview ya kanumba alipotoka BBA na kuwalaumu wabongo na hizi tabia zetu za lawama.

kama Obama hakwenda msiba wa Michael Jackson ni yeye. obama na kitu lake.... sisi waafrika tuna mila na taratibu zetu... kanumba alikuwa kipenzi cha watanzania tunaoshi uswazi... sijaona kosa la jk kwenda msibani...

RIP .. HOMIE

Hebu nikumbushe, kule Big Brother jamaa aliongea kingereza...alisemaje vilee?
 
hebu muacheni jk ... asingekwenda mngemsema amekwenda mnamsema..
hii inakumbusha ile interview ya kanumba alipotoka BBA na kuwalaumu wabongo na hizi tabia zetu za lawama.

kama Obama hakwenda msiba wa Michael Jackson ni yeye. obama na kitu lake.... sisi waafrika tuna mila na taratibu zetu... kanumba alikuwa kipenzi cha watanzania tunaoshi uswazi... sijaona kosa la jk kwenda msibani...

RIP .. HOMIE
Tena umenikumbusha ki2 muhimu sana.
Hivi mnamkumbuka yule mpiga "miti"wetu aliyeenda BBA na siku alivyorudi rudi Dar nzima ikahamia airport eti kumpongeza kwa ufilauni wake?hivi ss wa-tz nani katuroga?
Yaani club ya simba imeliwakilisha vema taifa lakini cha ajabu sifa zake zimefuniwa na msiba wa hayati loh!!
Ama kweli kua uyaone,najuta kua mtz.
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.

Mama umemnukuu vibaya.
Nionyeshe sehemu jamaa aliyoponda jamii nzima.
Mbona amemsifu JB kwa kazi yake nzuri anayofanya kwa sasa?

Na pia hajaponda vyombo vya habari, ila ameponda baadhi ya vyombo vya habari.

Kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe
 
Kwa uelewa wangu, msanii kuwa kioo cha jamii maana yake nikwamba sanaa ya jamii fulani ni moja ya vitu ambavyo vinonyesha sura ya ilejamii.

Nikiangalia wasanii wa movie za Tanzania nachoona reflection ya maisha ya kila siku ya vijana wengi wanaoishiktk miji mikubwa...uvaaji wao, starehe zao wakitoka usiku, mahusiano yao, hatamovie wanazo tunga na kuact, nyingi zina reflect mawazo, tabia zilizoko kwenye jamiizetu, au maisha ya vijana wengi wakawaida wa mijini kwa ujumla...na hata uchezaji movie eg low quality,kuchanganya kiingereza kibovu na Kiswahili, uigizaji wa viwango vya chinikulinganisha na nchi ambazo zimeendelea katika hii fani etc vyote hivivinawakilisha maisha ya vijana wa jamii zetu za mijini... elimu duni, teknologiahafifu, kuiga zaidi ya ubunifu, dhana kwamba kiingereza kitatutoa, kuigafasheni na life styles za magharibi, huku tukipigana na umaskini, ubinafsi namfumo mbovu uliogubikwa rushwa za aina mbalimbali.

Sidhani kwamba wasanii ndio chanzo kikuu cha maovu yoteyanayoendelea katika jamii kwamba waondio wafundisha watoto / vijana kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii etc kwakiasi kikubwa , nadhani wasanii ni reflection tu ya kile ambacho kinaendeleakwenye jamii. Utakuta mama au dada mkubwa anacheka na wanawe/wadogo zaketeenegers uvaaji "nusu uchi" wa msanii wa kike kwenye bongo movie, "duh kavaakama Rihanna, kapendeza kiasi chake, ila hajamfikia, angekuwa mwembamba hivi... halafu ile mini ingebana zaidi, angalau...."etc

Nafikiri watu nambari wani wanaopaswa kuwajibika kwenyemalezi kwa kutoa mfano mzuri kwa vijana/watoto wetu ni sisi wazazi. Kuto spend qualitytime na watoto, kuwapa mlolongo wa wasichotakiwa kufanya bila kuchambua nakuelewa kinachoendelea out there na kujadiliana nao wanacho takiwa kufanya nambinu za kuishi kimaadili bila kufuata makundi au kuiga tabia zisofaa, kujenga uadui zaidi na watoto wetu kuliko urafiki.Wazazi tutunze ndoa zetu, tuwe best friends wa wake/waume zetu na marafiki/mentorswa karibu watoto wetu.
 
Tena umenikumbusha ki2 muhimu sana.
Hivi mnamkumbuka yule mpiga "miti"wetu aliyeenda BBA na siku alivyorudi rudi Dar nzima ikahamia airport eti kumpongeza kwa ufilauni wake?hivi ss wa-tz nani katuroga?
Yaani club ya simba imeliwakilisha vema taifa lakini cha ajabu sifa zake zimefuniwa na msiba wa hayati loh!!
Ama kweli kua uyaone,najuta kua mtz.

Tanzania ina wanyama wengi, tena wa ajabu wakuvutiaa...

Miongoni mwao ndio hao wakurupukaji wanaoacha kufanya ya maana na kushadadia mambo yasiyo na msingi.
 
Tena umenikumbusha ki2 muhimu sana.
Hivi mnamkumbuka yule mpiga "miti"wetu aliyeenda BBA na siku alivyorudi rudi Dar nzima ikahamia airport eti kumpongeza kwa ufilauni wake?hivi ss wa-tz nani katuroga?
Yaani club ya simba imeliwakilisha vema taifa lakini cha ajabu sifa zake zimefuniwa na msiba wa hayati loh!!
Ama kweli kua uyaone,najuta kua mtz.
Dahhhh!naikumbuka siku hiyo mkuu,ilikua ni miaka ya 2003 kama sikosei?
Eti waziri wa michezo wa wakati huo aliamia airport na family yake kumpokea "MWISHO MWAMPAMBA"kwa kutembeza mti wa kufa mtu mjengoni BBA.
 
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!

kama maadilli mnangojea kufuzwa kutoka kwenye TV then you better stop watch TV ... kanumba kama binadamu mwengine alikuwa na uhuru wa kuishi atakavyo kama mlikuwa mnajua anavunja sheria .. mngemshitaki akiwa hai.. kuanza kulaumu mfu.. si taratibu zetu waafrika kwani ni unafki.
 
michael Jackson alivyokufa basi Obama aliendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa na wala hakukanyaga msibani.

Laiti kwamba Michael na umaarufu wake ule angekuwa ni mtanzania basi tarehe aliyokufa kwenye kalenda zetu tungewekewa kidubwasha chekundu.
Pia tungeenda kuuaga mwili wake ktk viwanja vya ikulu.
Tusingeenda kazini mpaka tumzike.
Na mkulu wetu nadhani angelia hadharani kwa kweli.
Ni kweli mkuu nimeli zungumza mtaani Karibu wanitoe macho
 
Mazee huyu JB ndo bonge la msanii ninayemkubali bongo.Kama unabisha angalia movie moja Dj Ben.Sio mpenzi wa bongo movie lakini hii nimeikubali
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.
Kuliko madaktari?
 
Kanumba kama biiadamu ana mapungufu yake kama tulivyosisi waanadamu wote,lakini mapungufu yetu hayafanyi kazi zetu kuwa mbaya au umaarufu wetu kwenye jamii kuwa wa kubuni.Historia ya duniani imejaa habari zinazohusu viongozi wetu wengi wanaotoka kwenye nyanja mbalimbali wamefanya mambo makubwa sana lakini walikuwa na upingufu mwingi mno,chembelecho Kanumba?Amekufa,alikuwa gwiji wa sanaa,alipendwa,ni Mtanzania mwenzetu basi tumheshimu na tumzike kwa amani.Kumsema mabaya yake kama ilivyo kwa wanadamu wangine wapofariki tuwaachie viongozi wa dini ambao ndio wana dhamana ya kutounya waanadamu dhidi ya maovu ya duniani
 
Back
Top Bottom