Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Nimefuatilia saga ya kale katoto Lulu kuhusiana na kifo cha Kanumba. Interesting, through their twitter accounts hawa waheshimiwa wamejitoa muhanga kumsaidia eti apate fair trial. How: wameenda kumuona na wanatafutia lawyer na psychologist, wamepata cheti chake cha kuzaliwa na kwamba she is only 17 So she is juvenile. wanachangisha michango kumsaidia mama yake na yeye etc.
Maswali yanayonigusa:
1.What precedent r we setting?
2. hivi ni wananchi wangapi tena ambao wananyanyaswa na wako mahabusu na ni wapiga kura wao hawa waheshimiwa wamewasaidia?
3. hivi watoto wetu mabinti wadogo tuwafundishe ubaya gani wa uasherati na uzinzi kama tunapopata mafundisha hatusemi ukweli tunakimbilia she deserves a second chance.
4.Hivi vyombo vya dola vifanye nini kwa kauli tata kama kifo kilifika-JK, ni mtoto mdogo-Zito na Halima?
5. mbona tunapreempty uchunguzi ili tuje tulaumu?
6. Hata kama nyinyi waheshimiwa mlikuwa mna hang nae, hizi hisia zenu kwa sisi wapenda maadili mnatukwaza.

My take: kumtafutia lawyer etc sawa, kuingilia uchunguzi si sawa. fair trial ni kwa both parties. mengine Tamwa na Tawla wapo, msituchanganye.
 
Sioni tatizo wewe umechagua kwenda msibani ukaachakwenda polisi wao wamechagua kwenda msibani na polisi,hata lulu anahitaji faraja ukizingatia hakuwa vitani,
my take kwa kupitia Lulu wasichana wengi wadogo watajifunza namna gani waishi wanapokuwa na nini at the same time watu maarufu nao watajifunza wakiwa na nini wafanye nini kipi kibaya kipi kizuri
 
sioni tatizo wewe umechagua kwenda msibani ukaachakwenda polisi wao wamechagua kwenda msibani na polisi,hata lulu anahitaji faraja ukizingatia hakuwa vitani,
my take kwa kupitia lulu wasichana wengi wadogo watajifunza namna gani waishi wanapokuwa na nini at the same time watu maarufu nao watajifunza wakiwa na nini wafanye nini kipi kibaya kipi kizuri

umetishaa
 
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!

Sana mkubwa, kafariki kwa mambo yake mwenyewe kwa matendo yake ila tumuombee ili Bwana Mungu amsamehe maana alikua mwanadamu kama sisi hakukamilika. Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba umsamehe ndugu yetu kanumba na umpokee kwenye ufalme wako wa milele. AMINA
 
Mh nilikuwa nasubiri mtu aanzishe huu uzi maana kwenye twitter nafasi ni fupi sana ya kupost.
We are all not sure kama Lulu ndiye alimuua Kanumba. kuwa nae chumbani haimaanishi kuwa ndo muuaji. Biology nilisoma kidogo ila sijawahi kusikia eti ukigonga kichwa kwa kitu kigumu kama ukuta basi unatoa mapovu. Mapovu yanahusiana na kula au kunywa (Drs wanaweza kusaidia hapa kwa technical terms).
Kuna maswali ya msingi hapa.
1. Lulu aliletwa na nani kwa Kanumba
2. Lulu alikuwa anaongea na nani kwenye simu iliyoleta huo ''ugomvi'' na Kanumba?
3. Alipokimbia aliondoka na usafiri gani wakati yeye ndo alimwambia mdogo wake kanumba kuwa kaka yako kaanguka?
4. Ray alikuwa na bifu na kanumba la mda mrefu na alimuahidi eti watamalizana kiume, na sasa ray anasema alipopigiwa simu alikuwa jirani na muhimbili. alipigiwa simu na nani na alipigiwa simu kama nani wakati hawakuwa marafiki wa karibu tena?

kwa nchi yetu ambayo haki ya mtu inaweza ikauzwa ili apewe mwingine, Lulu lazima apate msaada wa kisheria ili aweze kufunguka katika kumtafuta muuaji halali wa Kanumba. Kuwa nae ndani haimaanishi ndo muuaji ila kwa kuwa alikuwa eneo la tukio lazima aisaidie polisi mpaka ukweli ujulikane.
Zitto na Halima wamefanya vizuri na nawaomba mama Bisimba na Usu malya nao wamsaidie huyu mtoto.
Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana kampoteza mpenzi wake na hili tukioo ni kubwa sana kwa umri wake na mazingira yalivyotokea.

With a fair trial to Lulu, the truth will be revealed and it may surprise us all
 
Hili la zito na mdee kwa lulu ndo lmekuuma, mbona huhoji la kikwete kuahirisha ziara yake nje ya nchi ikiwa huyuhuyu ndo alieondoka kwenda nje ya nchi akiacha mgomo wa madaktari ukiendelea nchini na kusababisha vifo vya wengi wasio na hatia?
 
Sio tatizo kabisa kwa Elizabeth Michael(Lulu)kusaidiwa ni binadamu kama wewe ambaye unakataa asisaidiwe kumbuka yaliyotoke hakukusudia na wala usijemwita muuaji hata siku moja yeye ni mtuhumiwa na sio muuaji.kumbuka hata wewe yanaweza kukupata.Ngoja nikupe kisa kimoja ndugu yangu wewe ambaye hupendi Lulu asaidiwe wakati niko Primary school mwl wangu mkuu alisema siwezi kuingia Police hata siku moja kwani waingiao pale ni wahalifu na wamechoka na maisha lakini cha kushangaza hata mwaka haukuisha yuel mwl wangu mkuu mbona katimba mbaroni then kakaa kwa siku 2 so ndugu yangu leo imetokea kwa Lulu na hutaki asaidiwe na wewe inaweza tokea kesho.Punguza hasira na ushabiki nafahamu kilio ni kigumu sana especialy pale mtu wako au rafiki yako wa karibu anapofariki kwa ugonjwa au kwa ajali kama ilivyokuwa kwa Kanumba so punguzeni hasira kwani Marehemu harudi tena so let us focus for what happening and nini hatma ya huyu mtoto Elizabeth nasema pia kama si Marehemu kumvutia ndani na kufunga mlango na kuanza kugombana yasingetokea hayo na kama malngo ungekuwa wazi huenda binti angekimbia nje na kujiepusha na kipigo kwani hata yeye alikutwa na majeraha so Kanumba kafariki lakini tusiangalie tu upande mmoja waheshimiwa mie nawaunga mkono ikiwezekana tembezeni mchango tutawachangia kwa M pesa na njia zingine ili apate mwanasheria
 
hujuma hizi za haki ya kisheia zimemkuta Babu Sea na watoto wake sembuse huyu juvenile ....
 
Nimejarb kufanya uchunguzi mfupi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na kusikiliza baadhi ya mahojiano mbalimbali ya wasanii hasa wa kike wanaonesha kumchukia lulu je ni sbb amesababisha kifo cha kanumba au ni jiraz 2 coz alikw mpenzi wake?
 
1. Jelous people never win.
2.Lulu alikua anawakimbiza matembo so akifungwa kwao ni furaha
 
Tafuta ule wimbo wa KAFIA GETO utajua huyu Lulu anaumia kiasi gani huko selo. Ni wengi huwa tunalala na watoto wa watu kwenye nyumba na mageto yetu. ukute mwingine kanyweshwa sumu alipotokea ila anafia usingizini ukiwa nae kitandani. Sasa kwa uchungu huo wa kufiwa na la aziz wako then dunia nzima inakuandama.
Aisee huyu mtoto asaidiwe tu la sivyo hatutaujua ukweli.
Kama Mh. Tundu Lissu asingekuwa na majukum ya kesi yake na zile za CHADEMA, ningemuomba abebe mzigo huu ila naamini Zitto na Halima na Esther Bulaya watamsaidia mdogo wetu Lulu.
She is not an Angel but she is not a Devil.
 
Back
Top Bottom