Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Niko hapa Ndanda kuna msiba wa msanii umetokea. Msanii anaitwa Kalembo alikuwa mcheza ngoma maarufu hapa kijijini. Natafuta jinsi ya kuwasiliana na Magogoni ili nijuwe itifaki za kumpokea bwana Mkubwa atakapokuja kuhudhuria mazishi. Naombeni mawasiliano tafadhali tusije tukashtukizwa.