NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..
demokrasia imepata pigo..
Asubuhi aliongea na Mudhihir na Japhet (mkurugenzi wa shughuli za bunge ambaye pia alituhumiwa kuingia bungeni na Chenge kumwonesha kiti)
Baadae Mudhihir akamfahamisha (mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mudhihir) Japhet kuwa mheshimiwa Chacha amepata ajali.
You'll connect the dots yourselves.
May all beings, even Chacha Wangwe, attain enlightenment.
Asubuhi aliongea na Mudhihir na Japhet (mkurugenzi wa shughuli za bunge ambaye pia alituhumiwa kuingia bungeni na Chenge kumwonesha kiti) alisema aliongea naye kuhusu hoja yake bungeni na akamwaga kuwa angeenda Tarime kwa shughuli za msiba.
Baadae Mudhihir akamfahamisha (mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mudhihir) Japhet kuwa mheshimiwa Chacha amepata ajali.
Kwa wakati huu mheshimiwa Japhet yupo hospitali ambako mwili wa marehemu umepelekwa.
You'll connect the dots yourselves.
Watu wasijehusisha hiyo accident na mgogoro wa kiuongozi aliokuwa nao ndani ya CHADEMA.
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Sote ndiyo njia yetu hiyo.
Mmmmhhhhh! maandishi yote yale, vijembe vyote vile, leo demokrasia imepata pigo? Ndio maana wengine tunaamini bora kupambana na reality kuliko kuwa mnafiki!
Hizi politics za elimination Tanzania zitatumaliza, u need to know huyo "Nchimbi" wa huko ni nani?
Alikuwa anaendesha gari ndogo aina ya Toyota Corolla nje kidogo ya mji wa Dodoma na ndilo alilopata ajali nalo.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma anasema chanzo cha ajali hakijajulikana na gari limeharibika sana na tairi mbili za upande wa kulia zimepasuka.
Pamoja na Wangwe ni kuwa na rafiki yake Deus Francis Mallya alipona lakini amekimbizwa hospitali.
Eneo hilo ni maarufu kwa ajali maeneo ya Dodoma
Mwamba,Tragedy! kumbe huko Chadema nako kuna Ku-Kolimbana. Pole mjane na ndugu wote