adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,964
- 6,174
Stor ilifikia pazuri sanaBora aufute tu.
Stor ilifikia pazuri sanaBora aufute tu.
Siku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amorUzi hauendi kunani
Wamepotea...😀😀😀au wapo majimboni kuchukua formSiku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amor
Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaaNdg mwandishi jini amepita na wewe nini. Au ndio unapanua njia ya jessinia
Tunakuwa na arosto kama wavuta unga.Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Eeeh cha chumbani ndo kitamuSiku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amor
Tupo ila tupo bize na kujaza fomu mwenyekiti Daudi1 Anataka kuwa mbunge ivo msisite kumpa kura zenu ndugu zangu na mkimchagua mabomba yenu yatatoa maziwa na asali😊😊Wamepotea...😀😀😀au wapo majimboni kuchukua form
Msiwe na shaka Abou Shaymaa ametekwa kidogo na jini seni😅😅😅Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Aje mambo ni mengi sasa😀😀😀Msiwe na shaka Abou Shaymaa ametekwa kidogo na jini seni😅😅😅
Hahaha maziwa na asali za Mbogo_Land isije kuwa pomoni na Mzee Ngojopa...😀😀😀Tupo ila tupo bize na kujaza fomu mwenyekiti Daudi1 Anataka kuwa mbunge ivo msisite kumpa kura zenu ndugu zangu na mkimchagua mabomba yenu yatatoa maziwa na asali😊😊
Ngoja niwasaidie kumuita Abou Shaymaa kwann lkn unatufanyia hivAje mambo ni mengi sasa😀😀😀
Pole jiran 😅😅😅Uraibu mwingne shida tupu. Yaani nimechungulia humu hadi shingo linaniuma
Njogopa mzee wa kimoja chali🤣🤣Hahaha maziwa na asali za Mbogo_Land isije kuwa pomoni na Mzee Ngojopa...😀😀😀
Mwaasijambo
saa 10:10am alichungulia akasepa.Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Nakaziamuandishi nakusihi usitume tena story yako, ni kama tunazidi kuisahau siku zinavyoenda