miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Yaan Abou Shaymaa kilichobaki ni kukutumia jini tu likukaushe damu, uwez kututesa kias iki na arosto🤚
Nimetoka sumbawanga sina pa kutestia mitamboYaan Abou Shaymaa kilichobaki ni kukutumia jini tu likukaushe damu, uwez kututesa kias iki na arosto
Bas tumekomajichanganyeni
😅😅Hahaha unataka mambo gani?
Eeenh sasa embu test apo kwa jiran Abou ShaymaaNimetoka sumbawanga sina pa kutestia mitambo
Anataka mambo ya leo dada 🤣🤣Hahaha unataka mambo gani?
jichanganyeBas tumekoma
Tumwesige senior embu jaribu kuongea vizuri na mwenyekiti vizur ili akupe mbinu za kumdaka leo dadaSi umeona alivyodomo zege, sasa hayo mambo anayaombea sebuleni
muache ajifanye mjanja aje kwa wakulungwa ataishia kuwaita watoto wazuri shemejiTumwesige senior embu jaribu kuongea vizuri na mwenyekiti vizur ili akupe mbinu za kumdaka leo dada
Nime edit mpaka mwisho halafu nikakosea kuifuta naanza upya 😥Yaan Abou Shaymaa kilichobaki ni kukutumia jini tu likukaushe damu, uwez kututesa kias iki na arosto
mwenyekiti ana mbinu gani mnafiki huyoTumwesige senior embu jaribu kuongea vizuri na mwenyekiti vizur ili akupe mbinu za kumdaka leo dada
duhHahaha unataka mambo gani?
Ww ongea nae vizur anaweza kukupa ka uchawi ata kidogo😅😅mwenyekiti ana mbinu gani mnafiki huyo
ona unavyoshangaa sasa
anataka atumie zile za shule ya msingi oooh usiku silali nakuota wewe!!! sijui unaotaje bila kulalaWw ongea nae vizur anaweza kukupa ka uchawi ata kidogo😅😅