miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Tumuulize Abou Shaymaa uyo jini wake katoa wap nyashiiiii🤣🤣duh! Sawa mtaalamu wa majini, kwahiyo huyu jini sena ameweka maboksi?
Tumuulize Abou Shaymaa uyo jini wake katoa wap nyashiiiii🤣🤣duh! Sawa mtaalamu wa majini, kwahiyo huyu jini sena ameweka maboksi?
kwanza amletee jini mwenyewe, tuone anaingiaje kwenye nyumba za wanaume bila kukaribishwa na nyashi lake la maboksi, huku pemba hatujazoea wenye nyash sisiTumuulize Abou Shaymaa uyo jini wake katoa wap nyashiiiii🤣🤣
Hutu jini ussi ndo anamfuga na ndo anawapa utajirHivi huyo jini sio mzee mangeu anajibadilisha kweli
ooh watajaa tu, maana jini hatujamtongoza, wala hatujamkaribisha geto kaja mwenyewe, akijichanganya zamu yake kunyonywa damuHutu jini ussi ndo anamfuga na ndo anawapa utajir
Mzee mangeu anaoneka na yeye alipitia makubwa tutajua mbele tuendelee kuwa wavumilivuHivi huyo jini sio mzee mangeu anajibadilisha kweli
Na yeye anakaushaooh watajaa tu, maana jini hatujamtongoza, wala hatujamkaribisha geto kaja mwenyewe, akijichanganya zamu yake kunyonywa damu
mbona anajificha ficha? hana mke hafanyi shughuli yoyote ila anaishi na kula vizuri anatoa wapi?Mzee mangeu anaoneka na yeye alipitia makubwa tutajua mbele tuendelee kuwa wavumilivu
akiweka uniamshe nalalMzee mangeu anaoneka na yeye alipitia makubwa tutajua mbele tuendelee kuwa wavumilivu
Ndo tutajua sasa mbele uko iyo ngeu kaipatajembona anajificha ficha? hana mke hafanyi shughuli yoyote ila anaishi na kula vizuri anatoa wapi?
Mm mwenyew nasinzia sasa cjui nan atamuamsha mwenzie🤣🤣akiweka uniamshe nalal
utaniamshaNdo tutajua sasa mbele uko iyo ngeu kaipataje
wajibika kuniamshaMm mwenyew nasinzia sasa cjui nan atamuamsha mwenzie🤣🤣
Usijal mwenyekitiutaniamsha
sasa apo nina mshindani kweli?Wakat mm nakunywa chai nzito na chapati lai ww unakunywa miwa