unapenda vitatuNa utupe vi tatu
Hana tabia hizo za kuishia njianiShusha vitu mkuu nimeipenda na nakuomba uimalize ndugu yaani isijekuishia njian.
Leta mapema nishapiga miwa hapaAaah wewe kumbe toka jana? Acha niwafidie
😋😋😋unapenda vitatu
Chai umekunywaLeta mapema nishapiga miwa hapa
Chai umekunywa
Kheeeeee🤣🤣🤣Ndio nimekula miwa kama chai ya asubh
mbona unanicheka?Kheeeeee🤣🤣🤣
Wakat mm nakunywa chai nzito na chapati lai ww unakunywa miwambona unanicheka?
Hata vidole havifanani, maana kuna wengine ulanzi ndio chaiWakat mm nakunywa chai nzito na chapati lai ww unakunywa miwa
🤣🤣🤣sasa hapo umeisema familia ya mzee kombaHata vidole havifanani, maana kuna wengine ulanzi ndio chai
Yaan katushindisha na njaaKwahiyo Abou Shaymaa leo umegoma?
Mbona chungulialingi🤣🤣🤣 Abou Shaymaa embu jaribu kutuonea huruma kidogoAm still chungulialing here each and everytime chaboling. Tag me plz
Mimi sichungulii naingia kabisa naona ukumbi hauna watu, mlete mzee Mangeu Abou ShaymaaMwenyekiti Daudi1 vp ww hau chungulialing....😅😅
Watu c wamezoea sisi tuwaandalie wao waje wajilie tuMimi sichungulii naingia kabisa naona ukumbi hauna watu, mlete mzee Mangeu Abou Shaymaa
ndio hata kufagia umeshindwa?Watu c wamezoea sisi tuwaandalie wao waje wajilie tu