miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
WeeeeeeeTatizo langu huwa sigombanii mwanamke, ndio shida ilipo
WeeeeeeeTatizo langu huwa sigombanii mwanamke, ndio shida ilipo
Hapan apo ni Ussi ndo mwenye iyo michezoDah! jini linatufuata lenyewe nina wasi wasi na mzee mangeu ndo mwenye michezo hiyo
Kwan saa 5 tayarAu kuna usiku mwingine?
saa tano ya nini, saizi ndio safiKwan saa 5 tayar
Saizi jini limepumzika🤣saa tano ya nini, saizi ndio safi
Nina shida nalo, tena limeniokotea mpira, si linanifuata lenyewe, ngoja lijichanganye lione raha ya kunyonywa damuSaizi jini limepumzika🤣
Kwa ruhusa yako, bado sijasoma chochote Etugrul Bey karibu. Huyu bwana kasema story haina chachu wala shida yoyoteMuite tu aje kuenjoy
Sawa Msisahau kushusha neti 😁Abou Shaymaa tunataka kulala
Haya kazi kwenu
ina maana hajaleta?
Usiku hajaleta, ngoja tumsubili asubuhi hiiina maana hajaleta?
Tupo pamoja team mangeuMimi nipo kwa Mzee Mangeu..ako na file zito huyo
Aaah wewe kumbe toka jana? Acha niwafidieina maana hajaleta?
Na utupe vi tatuAaah wewe kumbe toka jana? Acha niwafidie