G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,475
Ndio mkuu ila ndoto haikutimia.Ulikuwaga na ndoto za kuwa doc ?
By the way IVF ni nini mkuu ?
In vitro fertilization (IVF) is the joining of a woman's egg and a man's sperm in a laboratory dish.
Kitendo/mfumo wa kuchavusha yai la mwanamke kutumia mbegu ya mwanaume nje ya mwili wa mwanamke ambao hufanyika maabara kwa kutumia vifaa maalumu vya kitabibu.
Baada ya hapo yai lililorutubishwa/chavushwa hupandikizwa kwenye mji wa uzazi(kondo) wa mwanamke na hatua za ukuaji mimba huendelea kama kawaida.