Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Habari waungwana,
Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao.
(Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP).

Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji walioondoka (RIP)

1. Mikataba inawajumuisha !? (Kwa namna Moja/nyingine)
Pale wanapopatwa na majanga/kifo ?

2. Wale wa "manual" waliopo mtaani Sasa wananufaikaje na jasho walilotoa kipindi kile kisheria kwani walichezea "sifa".

USHAURI;

1. Wachezaji wote waliotoa jasho la damu kwenye timu ya Taifa na klabu zao imma wapo hai /wametangulia mbele za haki kuangalia namna ya kuwalipa "fidia" hasa wale wa kipindi cha " manual"

2. TFF iangalie namna ya kuwasaidia kupitia Sheria zaidi kuliko busara iliyotumiwa na LIVERPOOL.

Alamsiki.
 
Kipo chama cha Wachezaji sijui kama wanaagenda kama hizo kwa mtu anayefariki au anayepata ulemavu wa kudumu
 
Back
Top Bottom