Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".
Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.
Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.
Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).
Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.
Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.
Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.
Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.
Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.
Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.
Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.
Heshima kwako Pasco,
Mkuu naomba kutokubalina na wewe kwamba CUF itamezwa na CCM.Binafsi naona CUF wanaweza kutumia vyema mwanya wa kuwepo serekalini kubali baadhi ya mambo ambayo ni kikwazo kwa vyama vya upinzani kushinda chaguzi mbali mbali.
Ruzuku ya CHADEMA itakuwa kubwa lakini itategemea jinsi itakavyotumika ikitumiwa vizuri chama kitendelea kunawiri ikitumiwa vibaya mfarakano ikibisha hodi tegemea chama kusamabaratika.
Baada ya matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Igunga, nimei revisit hii thread yangu niliyoipost November, 15 mwaka jana na kujifariji kuwa ni kweli, safari ya CUF bara kuelekea kaburini, imeanza rasmi kitambo.
CUF haiwezi kufa bara. Kuna tofautu kati ya uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo. CUF ikiwekeza vya kutosha huku bara itaongeza majimbo. Nadhani uliiona strategy ya Lipumba mwaka jana. Aliweka kambi Kusini. Ilivyo, ataendelea na hilo na haitarajiwi kwamba atapoteza muda wake mwingi katika maeneo yanayokitazama CUF kama chama cha Kiislam.
Nungunungu,Napenda kurudia kuwaambia wasomi wakristo kwamba sasa hivi wapo waislam wengi wasomi na huwezi kuliziwia hilo kuanzia ngazi za utendaji hadi maamuzi. Zarau zinazoonyeshwa na wenzio wao wanaziona. Enzi za mwalim Nyerere akina Mzee Daudi Mwakawago na Jenerali Uliwemngu (Twaha Khalfan) ilibidi wafiche majina yao halisi ili wafike mbali. Leo ni tofauti. Kuna mmoja bado ana mawazo mgando kaanzisha thread eti Dr Mshinda DG wa COSTECH ana udini -kuwapendelea waislam. Hatari inakuja katika nchi yetu. Lakini hapa sio mahala pake.
Nyambala,Hivi ni kwa nini kuna watu hawawezi kujadili hoja bila kuingiza mambo ya kidini? Jamani huu si utamaduni wa mtanzania. It is foreign, completely foreign. CHADEMA started from a humble beginning na ikabatizwa chama cha kifamilia mara chama cha kikabila. Leo wanafanikiwa basi the name of the game is to paint them bad. Yaani mpaka tunafikia kuamini eti religious fanatics wa humu JF wametumwa na viongozi wa CHADEMA. What a sick opinion? Au viongozi wa CHADEMA wanawajibika kutokana na comments za some ****** humu JF ambao hawafiki hata 20.
Kwa nini watu wanashindwa kuziona miscalculations za CUF politically na Success ya CHADEMA in that matter. Kwa nini CHADEMA inapoendelea kukua eti ndiyo ionekane ina makosa ya kuto-incorporate imani za kidini? Jamani wote tumeuona ukuaji wa CHADEMA mpaka hapa ilipofikia. Hatujawahi kusikia hata siku moja ikienda kuhubiri sera zake makanisani wala misikitini. They have proved to be succesful without that. Sasa ni kwa nini eti leo hii waanze kufuata imani za watu? Kwanini chama hiki kilichotoka mbali na kukua taratibu huku kikibezwa, ghafla kionekane ni tishio la imani za watu?????? Is someone out there believe that waislamu viongozi na wanachama wa CHADEMA are all fools?
Jamani katiba ya nchi iko huru,kama vyama vyote havifai basi kianzishwe kingine chenye mrengo unaotakiwa na waanzishaji, lakini hii ya kulazimisha shughuli ya watu inayoendeshwa kisheria na kufuata katiba kukidhi matakwa binafsi si sahihi kabisa.
Kwa nini tulazimishe chama cha siasa kiongelee au kitoe msimamo wake kuhusu masuala ya kidiini? Sijawahi kusikia chama chochote kikiambiwa au kushurutishwa kuhusu hili iwe CCM, CUF, TLP au UDP. Why CHADEMA and why now?
Yaani katika miscalculations zitakazofanywa na viongozi wa CHADEMA kama wakiamua basi ni kuanza kutengeneza sera au mbinu za kuvutia wanachama kwa imani zao. Huu ndiyo utakuwa mwisho wao.
Kwa nini tunataka kuruhusu huu utamaduni duni kabisa wa kutaka vyama vya siasa vianze kuwa na michakato ya kidini ndani yake? Narudia tena huo si utanzania, we have come along way na tuna matatizo lukuki. Hivi vile vijumba vya kimaskini kabisa kule Igunga vina sign yeyote kwamba wakaazi nni watu wa dini gani?
Nungunungu,
Usomi wa waislamu haukuja leo, walikuwepo kabla ya nchi hii kupata uhuru. Tatizo ni nyie mnaotaka kusadikisha watu kuwa chama cha waislamu ni CUF. Nawe tukuite msomi?
Nungunungu,Watu huingia kwenye vyama na kutoka. Lakini historia pia hubadilika. TANU ilipoanzishwa wafuasi wengi walikuwa waislam. Mwenyekiti wa Chadema wa kwanza alikuwa Mzee Mtei (Mkristo), alipoondoka alichaguliwa Mzee Bob Nyanga Makani (Muislam) aliyeshindana na Ndesamburo. Kisha akafuata Mbowe. Mwenyekiti wa kwanza wa CUF alikuwa Mzee James Mapalala (Mkristo), akafuatiwa na Mzee Musobi Mageni (Mkristo) kisha Lipumba (muislam).
Unatarajia nini kwa CUF iliyojenga nguvu zake kwanza Zanzibar ambayo wakaazi wake wengi ni waislam. Chadema haikuwa na nembo ya udini kabla ya uchaguzi wa mwaka jana; kilichotajwa ilikuwa ukabila. Na hao wanaousema huo ukabila walitarajia nini kwa chama kilichoasisiwa na kuwa na nguvu kaskazini; kiwe na wafuasi wengi wazaramo au wabena?!
Ungekuwa na ujasiri wa kusoma vema niliyoyaandika hutaona mahala ninapowasadikishia watu kuwa CUF ni chama cha Waislam. Jitihada za kuivua gwanda la ukristo Chadema ingekuwa nyepesi laiti juhudi hiyo ingetumika kupinga propaganda kwamba CUF ni chama cha waislam. Lakini wale walioshabikia ulioitwa udini wa CUF ndio wanafanya jitihada ya kuivua Chadema udini wanaonasibishwa nao. Na still wafuasi wengine wa Chadema humu JF bado wanaendeleza propaganda hiyo kuwa CUF ni chama cha Waislam.
Soma vizuri, nimesema wasomi wengi waislam. Muandishi wa habari anaweza kusikiliza au kusoma na kuchagua ya kuripoti, sidhani kama nawe unafanya hivyo. Kuniita mbumbumbu au msomi ni chaguo lako kadri uonavyo! Mimi ni Mtanzania ninayejitambua na kujua haki na wajibu wangu.[
Nilikuwa nafanya marejeo ya haya niliyoyasema mwaka 2010, sasa ndio yameanza kutokea, kufikia 2015, CUF itakuwa almost reduced to nothing!.Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".
Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.
Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.
Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).
Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.
Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.
Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.
Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.
Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.
Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.
Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.
Navyomsoma mtu kama Feedback na yeye ni kiongozi Chadema inakuwa vigumu kutoamini yanayosemwa.Hivi ni kwa nini kuna watu hawawezi kujadili hoja bila kuingiza mambo ya kidini? Jamani huu si utamaduni wa mtanzania. It is foreign, completely foreign. CHADEMA started from a humble beginning na ikabatizwa chama cha kifamilia mara chama cha kikabila. Leo wanafanikiwa basi the name of the game is to paint them bad. Yaani mpaka tunafikia kuamini eti religious fanatics wa humu JF wametumwa na viongozi wa CHADEMA. What a sick opinion? Au viongozi wa CHADEMA wanawajibika kutokana na comments za some ****** humu JF ambao hawafiki hata 20.
Kwa nini watu wanashindwa kuziona miscalculations za CUF politically na Success ya CHADEMA in that matter. Kwa nini CHADEMA inapoendelea kukua eti ndiyo ionekane ina makosa ya kuto-incorporate imani za kidini? Jamani wote tumeuona ukuaji wa CHADEMA mpaka hapa ilipofikia. Hatujawahi kusikia hata siku moja ikienda kuhubiri sera zake makanisani wala misikitini. They have proved to be succesful without that. Sasa ni kwa nini eti leo hii waanze kufuata imani za watu? Kwanini chama hiki kilichotoka mbali na kukua taratibu huku kikibezwa, ghafla kionekane ni tishio la imani za watu?????? Is someone out there believe that waislamu viongozi na wanachama wa CHADEMA are all fools?
Jamani katiba ya nchi iko huru,kama vyama vyote havifai basi kianzishwe kingine chenye mrengo unaotakiwa na waanzishaji, lakini hii ya kulazimisha shughuli ya watu inayoendeshwa kisheria na kufuata katiba kukidhi matakwa binafsi si sahihi kabisa.
Kwa nini tulazimishe chama cha siasa kiongelee au kitoe msimamo wake kuhusu masuala ya kidiini? Sijawahi kusikia chama chochote kikiambiwa au kushurutishwa kuhusu hili iwe CCM, CUF, TLP au UDP. Why CHADEMA and why now?
Yaani katika miscalculations zitakazofanywa na viongozi wa CHADEMA kama wakiamua basi ni kuanza kutengeneza sera au mbinu za kuvutia wanachama kwa imani zao. Huu ndiyo utakuwa mwisho wao.
Kwa nini tunataka kuruhusu huu utamaduni duni kabisa wa kutaka vyama vya siasa vianze kuwa na michakato ya kidini ndani yake? Narudia tena huo si utanzania, we have come along way na tuna matatizo lukuki. Hivi vile vijumba vya kimaskini kabisa kule Igunga vina sign yeyote kwamba wakaazi nni watu wa dini gani?
Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".
Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.
Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.
Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).
Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.
Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.
Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.
Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.
Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.
Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.
Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.
[h=2]Contents[/h] [hide] |
Huu ulikuwa ni msimamo wangu 2010, lakini sasa mambo yamebadilika, CUF ni mke wa mtu ndani ya SUK, kwenye ndoa yao na CCM ambayo ipo, jee ushiriki wa CUF kwenye UKAWA ni mchepuko tuu?!.Wanabodi,