Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

Kweli hii thread inareflect hali halis kwa CUF sioni sehemu watakayopenya hasa huku bara na hata visiwani mambo yanaweza kuwa kama huku bara wanajimaliza kwa tamaa ya viongozi wao kuingia muafaka na magamba na kujifungisha ndoa ya bure
 
CUF is sinking,Mtatiro please jump quickly out of the sinking boat,and remember the wisdom that when you are in deep water always keep your mouse closed,usijibizane na watu wala vyombo vya habari,wewe amua kama wewe and defect from CUF otherwise its gonna be your political grave.
 
WATANZANIA TUNAPIGA SANA KURA ISIPOKUA WALE WAPIGA KURA MARUANI SIKU ZOTE WANATUZIDI IDADI WAPIGA KURA TULIOHAI, NA MTAJI WA CCM KUTISHA WANANCHI

Wa-Tanzania tunnapiga sana kura isipokua wale Wa-Tanzania WAFU WASIOONEKANA ni wengi zaidi kuliko wale wanaoonekana kwa macho na wenye uamuzi kuchagua kukipigia kura chama tofauti na CCM.

Hivi karibuni kumeibuka aina ya demokrasia mpya nchini ya (1) demokrasia ya Bastola kiunoni kwenye kampeni za kisiasa, (2) Matumizi ya maruani kwenye daftari la wapiga kura ambalo ni miliki ya CCM tu, (3) uhuru wa rushwa za mapishi na nafaka kwenye kampeni, na hivi sasa (4) ubunifu mpya kwa CCM kuibuka na fesheni mpya ya
'CCM GREENGUARD MUNGIKI' na utekaji, uchomaji nyumba za watu ubakaji na kadhalika.

Hivyo ni muhimu ikawekwa kwamba
DAFTARI LA WAPIGA KURA liwe likifanyiwa uhakiki na CHOMBO HURU kinachokubalika na vyama vyote vya siasa nchini.

Vile vile ni vema utaratibu ukawepo wa wazi zaidi kwamba uchaguzi wowote unapoitishwa katika jimbo lolote lile basi ni sharti vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi huo vishiriki moja kwa moja kufanya uhakiki mwingine, hata kama uhakiki wa kile chombo huru kilimalizika tu jana yake, ili kuwepo na uwanja sawa kwa waashiriki wote kwa wakati husika.

Huwezi kumridhisha mtu yeyote aakilini kwamba daftari la wapiga kura aliloliacha Rais Mstaafu Mkapa zaidi ya miaka kumi iliopita ndio bado hutumika kuendeshea uchaguzi mpaka leo kwa kuwa watakaokua wamekufa ni wengi sana hapo kati kati ambo majina yao yafaa kuondolewa kwenye daftari hilo kabla CCM inayohodhi utunzaji wa daftari hajaamua kutumia faida ya WAFU KUTOWEZA KUJIELEZA hivyo kuelekeza kura zao zote kwake jinsi apendavyo.

Na huo ndio demokrasia ya CCM miaka yote huku akiwatisha na wale waapiga kura wachache waalio hai wasijitokeze.

Kwa misingi hii inamaanisha kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na kitu FREE AND FAIR ELECTIONS isipokua geresha.

SWALI ZITO:

Siku zote tunasikia wananchi kuhongwa kwenye uchaguzi, Je pale ambapo ChamaChenyewe kama KAFU ndicho kinachohongwa kama ambavyo ilivyotokea pale usiku wa uchaguzi na Mtatiro kuandaa Speech siku mbili kabla ya kupiga kura - mpaka hapo sasa wananchi ambao wao wanadai kutaka kuwakomboa na umasikini nchini hadi hapo wananchi wanaoamini KAFU sasa wakimbilie wapi??????

Kama unadhani ni utani ngoja uje usikie MOTO MKUBWA CUF baada ya Mtatiro kuamua kulamba sukari mwenyewe tu baada ya kuona Muhona kajiaharibia kwa kutwanga wapiga kura makonde mazito mazito.

KAFU kwisha habari kisiasa tena nchini.

Hahaaaa CUF kitakufa?tusubiri basi 2015 tuone chama gani kati ya CDM na CUF kitakufa na kipi chama cha upinzani katika tanzania.
 
Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".

Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.

Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.

Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).

Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.

Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.

Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.

Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.

Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.

Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.

Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.

Mkuu nakubaliana na wewe,huu utitiri wa vyama ulikua unachanganya watu sana wanakua hawajui waende wapi tulikuwa tukiwashauri waungane wanaleta ubishi,sasa hivi vyama vingine vimeanza kujichuja vyenyewe ambayo ni safi kwa sababu sasa hivi vyama vya kinafiki vyote vimeanza kujichuja kimebaki chama chenye nia thabiti,kwa hiyo sasa hivi mtanzania atakua na choice mbili either CCM or CDM hapo mkuu msuguano ni utakua mkali sana mwaka 2015 manake zile kura zote za vyama vingine ambavyo tulikuwa tunawaeleza waungane wanakataa automatical watakua wameshaungana na kuzikabizi kwa chama kimoja CDM.Sasa basi nawashauri CDM sasa hivi wanakua vizuri,mambo ya ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe wasifanye kabisa manake inaweza kuwacost kama tulivyoona kwenye vyama vingine,kitu kingine mambo ya kungangania madaraka ndani ya chama muache mpeane vijiti hiyo ndio demokrasia,na sio mtu mmoja ndani ya chama anangangania kugombea urais yeye tu miaka nenda rudi wengine zaidi ya miaka 25 anagombea urais,muendelee na system yenu mbowe umegombea urais imekosa apewe slaa baada ya miaka kazaa apewe mwingine,mbowe mwenyekiti baada ya mda fulani kabizi uenyekiti kwa mwingine kwa mtindo huo mtakua vizuri sana.
 
Heshima kwako Pasco,

Mkuu naomba kutokubalina na wewe kwamba CUF itamezwa na CCM.Binafsi naona CUF wanaweza kutumia vyema mwanya wa kuwepo serekalini kubali baadhi ya mambo ambayo ni kikwazo kwa vyama vya upinzani kushinda chaguzi mbali mbali.

Ruzuku ya CHADEMA itakuwa kubwa lakini itategemea jinsi itakavyotumika ikitumiwa vizuri chama kitendelea kunawiri ikitumiwa vibaya mfarakano ikibisha hodi tegemea chama kusamabaratika.

Hapo kwenye red: Chonde chonde nenda ukalale tena uote ndoto nyingine tofauti na matarajio hayo.
 
Baada ya matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Igunga, nimei revisit hii thread yangu niliyoipost November, 15 mwaka jana na kujifariji kuwa ni kweli, safari ya CUF bara kuelekea kaburini, imeanza rasmi kitambo.

Pasco,

Nimeandika haya kwa heshima kwako kama mtu unaejitahidi kuchambua mambo. Ni wewe uliyeandika kuwa CUF ndio chama pekee chenye wabunge maeneo makuu ya nchi - Bara, Unguja na Pemba. Hiyo ni ishara kuwa alau kwa uchache kina wafuasi maeneo yote.

Hebu fanyeni hesabu kidogo:

Mwaka 1995 CUF haikupata Mbunge hata mmoja bara.

Mwaka 2000 ilipata wabunge 2; Wilfred Lwakatare na Frank Magoba.

Mwaka 2005 haikupata mbunge hata mmoja bara.

Mwaka 2010 imepata wabunge 2 bara. Baruan na Suleiman.

Kwenye kura za Urais zimekuwa zikiongeza kila uchaguzi isipokuwa mwaka 2010. Kama mchambuzi huo uhai umeuona umeanzia wapi na kuishia wapi?

Kitu kimoja kifahamike kuwa rasmi tunaelekea kwenye kampeni za kidini. Huwezi kulificha hilo na lilirasimishwa na waraka wa makanisa. Aidha soma kitabu cha father Nkwera kuhusu kumuenzi Nyerere uone anavyoisema CUF. Huu ndio mtazamo wa wakristo walio wengi kuwa CUF ni chama cha Kiislam. Na sasa kwa waislam walio wengi, Chadema ni Chama cha Kikristo. Kuna watu wanasema ni strategy ya CCM, hebu tazameni na kauli za wafuasi wa Chadema kwa waislam.

Mwaka 2000 wabunge wawili wa CUF bara walikuwa wakristo lakini hilo halikusaidia kuifuta dhana ya Udini. Rwakatare alikuwa Naibu Katibu Mkuu na mtu mwenye ushawishi mkubwa lakini still halikusaidia.

Unaweza kuamua kuitazama CUF kidini au Kizanzibar na Bara. Siku zote Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu wanatoka bara. viongozi wengine wa juu wanatoka Zanzibar ambao ni waislam watupu kama inavyotarajiwa.

Mwaka jana Chadema iliungwa mkono na viongozi wa makanisa na kutoa tiketi kwa waislam kuipinga. Na kwa shaka ya JK kushindwa, sehemu ya wafuasi wa Lipumba wakampa kura JK.

Lakini fuatilia zaidi hata humo ndani ya chadema. Katika kikao cha ndani cha Chadema kilichofanyika kabla ya hotuba ya JK Bungeni, Mzee Arfi, Zitto na wabunge wengine waislam waligomea suala la kutomtambua Rais Kikwete na hivyo kutoingia Bungeni. Udini ulikuwa na nafasi kubwa katika hilo na sio siri.

Viongozi wa Chadema wangekuwa wanajua siasa kamwe wasingewabeza waislam kama sehemu ya wapiga kura wa nchi hii.

Aidha ni chama gani kinaweza kukibeza chama kingine chenye uhakika wa kuwa na wabunge wasiopungua 20 kila uchaguzi. Ni kutoajua siasa tu kwani mwanasiasa anajua ipo siku utamuhitaji mwenzio kwa namna moja au nyingine. Busara kidogo tu ingeweza kumfanya Kafulila aongeze jimbo la Chadema.

Dont worry, come 2015 kuwe na mkristo CCM, Slaa Chadema na Muislam CUF. Historia ya Dr Slaa kuwa mtendaji wa CCT na kisha kuungwa mkono na makanisa makuu kwa nguvu kutaendelea kuongeza shaka ya waislam kwa Chadema. Kura za Muislam wa CUF zitaongezeka kidogo, lakini wengi watampa mkristo wa CCM. CCM haiwezi kuwatukana waislam au viongozi wao kama inavyofanya Chadema. Waislam wanaamini ndani ya CCM kuna watu wenye nia mbaya nao lakini si kama chama. Chadema inatazamwa kwa uadui wa chama.

Utakuwa bado unayakumbuka majibizano ya Dr Slaa na Mufti Shaaban Simba mwaka jana. JF inafahamika kuwa ina wanachama wengi wa Chadema. Kila siku tunasoma matusi ya wafuasi wa Chadema humu dhidi ya viongozi wa Waislam na waislam. Hata kama viongozi hao hawaingii humu lakini vijana wao wanafikishia ujumbe. Ujumbe huo unaenea kwa waislam wengine.

Napenda kurudia kuwaambia wasomi wakristo kwamba sasa hivi wapo waislam wengi wasomi na huwezi kuliziwia hilo kuanzia ngazi za utendaji hadi maamuzi. Zarau zinazoonyeshwa na wenzio wao wanaziona. Enzi za mwalim Nyerere akina Mzee Daudi Mwakawago na Jenerali Uliwemngu (Twaha Khalfan) ilibidi wafiche majina yao halisi ili wafike mbali. Leo ni tofauti. Kuna mmoja bado ana mawazo mgando kaanzisha thread eti Dr Mshinda DG wa COSTECH ana udini -kuwapendelea waislam. Hatari inakuja katika nchi yetu. Lakini hapa sio mahala pake.

CUF haiwezi kufa bara. Kuna tofautu kati ya uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo. CUF ikiwekeza vya kutosha huku bara itaongeza majimbo. Nadhani uliiona strategy ya Lipumba mwaka jana. Aliweka kambi Kusini. Ilivyo, ataendelea na hilo na haitarajiwi kwamba atapoteza muda wake mwingi katika maeneo yanayokitazama CUF kama chama cha Kiislam.
 
Kwa hivyo unataka kutuambia kwamba 2015 wagombea wa CUF tena ni wale wale wa miaka nenda rudi Maalim Seif na Prof Lipumba watakua wametia timu kujaribu bahati yao kama kawaida sio????????????????

Duuuhh, hii kali - ama kweli Maalim Seif na Prof Lipumba wamebahatika chama si matani!!!!!!!!!!!!!!!!

CUF haiwezi kufa bara. Kuna tofautu kati ya uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo. CUF ikiwekeza vya kutosha huku bara itaongeza majimbo. Nadhani uliiona strategy ya Lipumba mwaka jana. Aliweka kambi Kusini. Ilivyo, ataendelea na hilo na haitarajiwi kwamba atapoteza muda wake mwingi katika maeneo yanayokitazama CUF kama chama cha Kiislam.
 
Hivi ni kwa nini kuna watu hawawezi kujadili hoja bila kuingiza mambo ya kidini? Jamani huu si utamaduni wa mtanzania. It is foreign, completely foreign. CHADEMA started from a humble beginning na ikabatizwa chama cha kifamilia mara chama cha kikabila. Leo wanafanikiwa basi the name of the game is to paint them bad. Yaani mpaka tunafikia kuamini eti religious fanatics wa humu JF wametumwa na viongozi wa CHADEMA. What a sick opinion? Au viongozi wa CHADEMA wanawajibika kutokana na comments za some ****** humu JF ambao hawafiki hata 20.

Kwa nini watu wanashindwa kuziona miscalculations za CUF politically na Success ya CHADEMA in that matter. Kwa nini CHADEMA inapoendelea kukua eti ndiyo ionekane ina makosa ya kuto-incorporate imani za kidini? Jamani wote tumeuona ukuaji wa CHADEMA mpaka hapa ilipofikia. Hatujawahi kusikia hata siku moja ikienda kuhubiri sera zake makanisani wala misikitini. They have proved to be succesful without that. Sasa ni kwa nini eti leo hii waanze kufuata imani za watu? Kwanini chama hiki kilichotoka mbali na kukua taratibu huku kikibezwa, ghafla kionekane ni tishio la imani za watu?????? Is someone out there believe that waislamu viongozi na wanachama wa CHADEMA are all fools?

Jamani katiba ya nchi iko huru,kama vyama vyote havifai basi kianzishwe kingine chenye mrengo unaotakiwa na waanzishaji, lakini hii ya kulazimisha shughuli ya watu inayoendeshwa kisheria na kufuata katiba kukidhi matakwa binafsi si sahihi kabisa.

Kwa nini tulazimishe chama cha siasa kiongelee au kitoe msimamo wake kuhusu masuala ya kidiini? Sijawahi kusikia chama chochote kikiambiwa au kushurutishwa kuhusu hili iwe CCM, CUF, TLP au UDP. Why CHADEMA and why now?

Yaani katika miscalculations zitakazofanywa na viongozi wa CHADEMA kama wakiamua basi ni kuanza kutengeneza sera au mbinu za kuvutia wanachama kwa imani zao. Huu ndiyo utakuwa mwisho wao.

Kwa nini tunataka kuruhusu huu utamaduni duni kabisa wa kutaka vyama vya siasa vianze kuwa na michakato ya kidini ndani yake? Narudia tena huo si utanzania, we have come along way na tuna matatizo lukuki. Hivi vile vijumba vya kimaskini kabisa kule Igunga vina sign yeyote kwamba wakaazi nni watu wa dini gani?
 
Napenda kurudia kuwaambia wasomi wakristo kwamba sasa hivi wapo waislam wengi wasomi na huwezi kuliziwia hilo kuanzia ngazi za utendaji hadi maamuzi. Zarau zinazoonyeshwa na wenzio wao wanaziona. Enzi za mwalim Nyerere akina Mzee Daudi Mwakawago na Jenerali Uliwemngu (Twaha Khalfan) ilibidi wafiche majina yao halisi ili wafike mbali. Leo ni tofauti. Kuna mmoja bado ana mawazo mgando kaanzisha thread eti Dr Mshinda DG wa COSTECH ana udini -kuwapendelea waislam. Hatari inakuja katika nchi yetu. Lakini hapa sio mahala pake.
Nungunungu,

Usomi wa waislamu haukuja leo, walikuwepo kabla ya nchi hii kupata uhuru. Tatizo ni nyie mnaotaka kusadikisha watu kuwa chama cha waislamu ni CUF. Nawe tukuite msomi?
 
Hivi ni kwa nini kuna watu hawawezi kujadili hoja bila kuingiza mambo ya kidini? Jamani huu si utamaduni wa mtanzania. It is foreign, completely foreign. CHADEMA started from a humble beginning na ikabatizwa chama cha kifamilia mara chama cha kikabila. Leo wanafanikiwa basi the name of the game is to paint them bad. Yaani mpaka tunafikia kuamini eti religious fanatics wa humu JF wametumwa na viongozi wa CHADEMA. What a sick opinion? Au viongozi wa CHADEMA wanawajibika kutokana na comments za some ****** humu JF ambao hawafiki hata 20.

Kwa nini watu wanashindwa kuziona miscalculations za CUF politically na Success ya CHADEMA in that matter. Kwa nini CHADEMA inapoendelea kukua eti ndiyo ionekane ina makosa ya kuto-incorporate imani za kidini? Jamani wote tumeuona ukuaji wa CHADEMA mpaka hapa ilipofikia. Hatujawahi kusikia hata siku moja ikienda kuhubiri sera zake makanisani wala misikitini. They have proved to be succesful without that. Sasa ni kwa nini eti leo hii waanze kufuata imani za watu? Kwanini chama hiki kilichotoka mbali na kukua taratibu huku kikibezwa, ghafla kionekane ni tishio la imani za watu?????? Is someone out there believe that waislamu viongozi na wanachama wa CHADEMA are all fools?

Jamani katiba ya nchi iko huru,kama vyama vyote havifai basi kianzishwe kingine chenye mrengo unaotakiwa na waanzishaji, lakini hii ya kulazimisha shughuli ya watu inayoendeshwa kisheria na kufuata katiba kukidhi matakwa binafsi si sahihi kabisa.

Kwa nini tulazimishe chama cha siasa kiongelee au kitoe msimamo wake kuhusu masuala ya kidiini? Sijawahi kusikia chama chochote kikiambiwa au kushurutishwa kuhusu hili iwe CCM, CUF, TLP au UDP. Why CHADEMA and why now?

Yaani katika miscalculations zitakazofanywa na viongozi wa CHADEMA kama wakiamua basi ni kuanza kutengeneza sera au mbinu za kuvutia wanachama kwa imani zao. Huu ndiyo utakuwa mwisho wao.

Kwa nini tunataka kuruhusu huu utamaduni duni kabisa wa kutaka vyama vya siasa vianze kuwa na michakato ya kidini ndani yake? Narudia tena huo si utanzania, we have come along way na tuna matatizo lukuki. Hivi vile vijumba vya kimaskini kabisa kule Igunga vina sign yeyote kwamba wakaazi nni watu wa dini gani?
Nyambala,
what else can you expect from shortsighted minds?
 
Nungunungu,

Usomi wa waislamu haukuja leo, walikuwepo kabla ya nchi hii kupata uhuru. Tatizo ni nyie mnaotaka kusadikisha watu kuwa chama cha waislamu ni CUF. Nawe tukuite msomi?

Watu huingia kwenye vyama na kutoka. Lakini historia pia hubadilika. TANU ilipoanzishwa wafuasi wengi walikuwa waislam. Mwenyekiti wa Chadema wa kwanza alikuwa Mzee Mtei (Mkristo), alipoondoka alichaguliwa Mzee Bob Nyanga Makani (Muislam) aliyeshindana na Ndesamburo. Kisha akafuata Mbowe. Mwenyekiti wa kwanza wa CUF alikuwa Mzee James Mapalala (Mkristo), akafuatiwa na Mzee Musobi Mageni (Mkristo) kisha Lipumba (muislam).

Unatarajia nini kwa CUF iliyojenga nguvu zake kwanza Zanzibar ambayo wakaazi wake wengi ni waislam. Chadema haikuwa na nembo ya udini kabla ya uchaguzi wa mwaka jana; kilichotajwa ilikuwa ukabila. Na hao wanaousema huo ukabila walitarajia nini kwa chama kilichoasisiwa na kuwa na nguvu kaskazini; kiwe na wafuasi wengi wazaramo au wabena?!

Ungekuwa na ujasiri wa kusoma vema niliyoyaandika hutaona mahala ninapowasadikishia watu kuwa CUF ni chama cha Waislam. Jitihada za kuivua gwanda la ukristo Chadema ingekuwa nyepesi laiti juhudi hiyo ingetumika kupinga propaganda kwamba CUF ni chama cha waislam. Lakini wale walioshabikia ulioitwa udini wa CUF ndio wanafanya jitihada ya kuivua Chadema udini wanaonasibishwa nao. Na still wafuasi wengine wa Chadema humu JF bado wanaendeleza propaganda hiyo kuwa CUF ni chama cha Waislam.

Soma vizuri, nimesema wasomi wengi waislam. Muandishi wa habari anaweza kusikiliza au kusoma na kuchagua ya kuripoti, sidhani kama nawe unafanya hivyo. Kuniita mbumbumbu au msomi ni chaguo lako kadri uonavyo! Mimi ni Mtanzania ninayejitambua na kujua haki na wajibu wangu.
 
Nyerere hakukosea kusema upinzani wa kweli utatoka CCM, ni kweli 2015 CCM ndicho kitakuwa chama cha Upinzani, hiyo tafsiri nyingine haiwezi kuwa realistic kwa vile aliyesema hayupo kufafanua
 
Kale kaugonjwa ka udini kaliko ambukizwa na JK pale bungeni kanaendelea kututesa, in reality,kuzungumzua udini tz ni kupoteza mwelekeo,hata Ukabila ni hoja mfu,itakuwaje kila chama kikafeva kabila lake,maana yake tuwe na vyama 120.
Kinachotokea ni pale tunapoacha kujudge wanasiasa kwa umahiri wao badala yake tunaangalia wanatoka wapi. Dr Slaa mimi sijui hata kabila lake na hainipi tabu kutolijua coz haliongezi chochote kwake,Kama ukabila ungemata TZ basi taifa hili lingeongozwa na wasukuma milele,Cheyo alijaribu hiyo ikamgarimu vibaya,Kina Wenje,Kimario si wasukuma lakini wanaongoza wasukuma.
Kama great thinkers, tuache kuhubiri udini na ukabila,badala yake tujikite kusaidia watanzania kuondokana na umasikini ulio kufuru,wizi wa tsunami,maisha yanayopanda kila siku,Elimu ya kanyaga Twende,Uongozi wa ukoo na siasa za njaa kali.
Tatizo great thinkers wengi wamegeuka great sinkers kwa kuzamia hoja za udini na ukabila.
Tanzania yetu sote
 
Watu huingia kwenye vyama na kutoka. Lakini historia pia hubadilika. TANU ilipoanzishwa wafuasi wengi walikuwa waislam. Mwenyekiti wa Chadema wa kwanza alikuwa Mzee Mtei (Mkristo), alipoondoka alichaguliwa Mzee Bob Nyanga Makani (Muislam) aliyeshindana na Ndesamburo. Kisha akafuata Mbowe. Mwenyekiti wa kwanza wa CUF alikuwa Mzee James Mapalala (Mkristo), akafuatiwa na Mzee Musobi Mageni (Mkristo) kisha Lipumba (muislam).

Unatarajia nini kwa CUF iliyojenga nguvu zake kwanza Zanzibar ambayo wakaazi wake wengi ni waislam. Chadema haikuwa na nembo ya udini kabla ya uchaguzi wa mwaka jana; kilichotajwa ilikuwa ukabila. Na hao wanaousema huo ukabila walitarajia nini kwa chama kilichoasisiwa na kuwa na nguvu kaskazini; kiwe na wafuasi wengi wazaramo au wabena?!

Ungekuwa na ujasiri wa kusoma vema niliyoyaandika hutaona mahala ninapowasadikishia watu kuwa CUF ni chama cha Waislam. Jitihada za kuivua gwanda la ukristo Chadema ingekuwa nyepesi laiti juhudi hiyo ingetumika kupinga propaganda kwamba CUF ni chama cha waislam. Lakini wale walioshabikia ulioitwa udini wa CUF ndio wanafanya jitihada ya kuivua Chadema udini wanaonasibishwa nao. Na still wafuasi wengine wa Chadema humu JF bado wanaendeleza propaganda hiyo kuwa CUF ni chama cha Waislam.

Soma vizuri, nimesema wasomi wengi waislam. Muandishi wa habari anaweza kusikiliza au kusoma na kuchagua ya kuripoti, sidhani kama nawe unafanya hivyo. Kuniita mbumbumbu au msomi ni chaguo lako kadri uonavyo! Mimi ni Mtanzania ninayejitambua na kujua haki na wajibu wangu.[
Nungunungu,

Kwa dhati kabisa naomba kukupongeza kwa humility uliyoonyesha. Hii imenipa picha tofauti kidogo na niliyokuwanayo kichwani mwangu juu yako.

Kwa haya mengine ya CDM kuanza na mkristu, akafuatiwa na muslamu baadaye mkristu sidhani kama yalipangwa kuwa yawe hivyo. Sitaki kuamini kuwa Makani alimuangusha Ndesamburo kwa uislamu wake. Kwa hayo na yale ya kujivua gamba la udini naomba tuendelee kutofautiana.
 
Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".

Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.

Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.

Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).

Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.

Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.

Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.

Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.

Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.

Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.

Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.
Nilikuwa nafanya marejeo ya haya niliyoyasema mwaka 2010, sasa ndio yameanza kutokea, kufikia 2015, CUF itakuwa almost reduced to nothing!.
 
Hivi ni kwa nini kuna watu hawawezi kujadili hoja bila kuingiza mambo ya kidini? Jamani huu si utamaduni wa mtanzania. It is foreign, completely foreign. CHADEMA started from a humble beginning na ikabatizwa chama cha kifamilia mara chama cha kikabila. Leo wanafanikiwa basi the name of the game is to paint them bad. Yaani mpaka tunafikia kuamini eti religious fanatics wa humu JF wametumwa na viongozi wa CHADEMA. What a sick opinion? Au viongozi wa CHADEMA wanawajibika kutokana na comments za some ****** humu JF ambao hawafiki hata 20.

Kwa nini watu wanashindwa kuziona miscalculations za CUF politically na Success ya CHADEMA in that matter. Kwa nini CHADEMA inapoendelea kukua eti ndiyo ionekane ina makosa ya kuto-incorporate imani za kidini? Jamani wote tumeuona ukuaji wa CHADEMA mpaka hapa ilipofikia. Hatujawahi kusikia hata siku moja ikienda kuhubiri sera zake makanisani wala misikitini. They have proved to be succesful without that. Sasa ni kwa nini eti leo hii waanze kufuata imani za watu? Kwanini chama hiki kilichotoka mbali na kukua taratibu huku kikibezwa, ghafla kionekane ni tishio la imani za watu?????? Is someone out there believe that waislamu viongozi na wanachama wa CHADEMA are all fools?

Jamani katiba ya nchi iko huru,kama vyama vyote havifai basi kianzishwe kingine chenye mrengo unaotakiwa na waanzishaji, lakini hii ya kulazimisha shughuli ya watu inayoendeshwa kisheria na kufuata katiba kukidhi matakwa binafsi si sahihi kabisa.

Kwa nini tulazimishe chama cha siasa kiongelee au kitoe msimamo wake kuhusu masuala ya kidiini? Sijawahi kusikia chama chochote kikiambiwa au kushurutishwa kuhusu hili iwe CCM, CUF, TLP au UDP. Why CHADEMA and why now?

Yaani katika miscalculations zitakazofanywa na viongozi wa CHADEMA kama wakiamua basi ni kuanza kutengeneza sera au mbinu za kuvutia wanachama kwa imani zao. Huu ndiyo utakuwa mwisho wao.

Kwa nini tunataka kuruhusu huu utamaduni duni kabisa wa kutaka vyama vya siasa vianze kuwa na michakato ya kidini ndani yake? Narudia tena huo si utanzania, we have come along way na tuna matatizo lukuki. Hivi vile vijumba vya kimaskini kabisa kule Igunga vina sign yeyote kwamba wakaazi nni watu wa dini gani?
Navyomsoma mtu kama Feedback na yeye ni kiongozi Chadema inakuwa vigumu kutoamini yanayosemwa.
 
Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".

Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.

Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.

Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).

Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.

Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.

Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.

Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.

Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.

Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.

Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.

Acha longo longo zako hizo za kutaka kuwachanganya Great thinkers hapa, wa zanzibari wenzetu wameamua kufuata mpango wa kisiasa za ki leo duniani...wewe bado kumbe hat hujui kama 70% ya nchi zilizoendelea duniani wanafuata mfuko wa muafaka Coalition Gorverment kama Zanzibar na Kenya vile:canada:
[h=1]List of countries with coalition governments[/h]From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
A coalition government is a cabinet of a parliamentary government in which several parties cooperate. The usual reason given for this arrangement is that no party on its own can achieve a majority in the parliament. A coalition government might also be created in a time of national difficulty or crisis, for example during wartime, to give a government the high degree of perceived political legitimacy it desires whilst also playing a role in diminishing internal political strife. In such times, parties have formed all-party coalitions (national unity governments, grand coalitions). If a coalition collapses, a confidence vote is held or a motion of no confidence is taken.
For the purposes of this list, coalitions can come in two forms. The first is produced by two or more parties joining forces after fighting elections separately to form a majority government. However, some coalitions (or alliances) are already decided before elections to give the parties the best chance of immediate government after the election.
[h=2][edit] Europe[/h][h=3][edit] States[/h]
[h=3][edit] Dependencies[/h]
[h=2][edit] Americas[/h][h=3][edit] States[/h]
[h=3][edit] Dependencies[/h]
[h=2][edit] Africa[/h]
[h=2][edit] Asia[/h]
[h=2][edit] Oceania[/h]
 
Wanabodi,
Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious oppositions wa vyama viwili au vitatu na sio utitiri wa vyama, japo Mwalimu aliongezea "Upinzani wa Kweli Utatoka CCM!", by now atakuwa ameshabadili msimamo wake ule kwa kutuma salamu kupitia kwa mjukuu wake kuwa " Upinzani wa Kweli, Utatoka Chadema".

Tanzania tunavyo vyama 19 mpaka sasa, na hakuna limit number ya vyama vipya kusajiliwa, hii tayari ni utitiri wa vyama ambao hauna maslahi yoyote kwenye serious opposition zaidi ya kubakiwa na vyama vichache vyenye serious oppositions na vyama vilivyobakia kuwa ni vyama jina tuu, vyama mtu na vyama makaratasi tuu kule ofisi ya msajili.

Nikirudi kwenye vyama serious vya opposition viko vitatu tuu, ukiondoa CCM ambacho ni chama tawala, vyama serious vinabaki kuwa ni CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI kwa mbali, na kujumlisha 'vyama watu' viwili UDP (ni Cheyo) na TLP (Mrema) ambavyo siviingizi kwenye hesabu ya 2015, just time in between will tell!, vyama vyote vingine vilivyobakia ni vyama jina au vyama makaratasi.

Kufuatia muafaka na CCM, sasa chama cha CUF ni mshirika mkuu wa CCM na juzi nimemona Katibu Mkuu wake, Maalim Seif, akijivinjari jijini Dar es Salaam na matunda ya muafaka, S-Class 3 zikitanguliwa na pikipiki. Hivyo kwa sasa Zanzibar inatawaliwa na chama kimoja kikuu kiitwacho 'Umoja wa Kitaifa' (CCM-CUF).

Kwenye kampeni za 2015, msifikiri tena kama kutakuwa na upinzani wowote wa maana kule Zanzibar, kwa sababu baada ya kuishuhudia hii miaka mitano ya amani, utulivu na ustawi wa Zanzibar, why vote for CCM or CUF any more, just vote for Umoja wa Kitaifa, maana popote utakapopiga kura, it doesn't matter anymore, kama keki tutakula wote kwanini kuigombania!..na huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF!.

Tukija CUF bara, kwa vile CUF imefanikiwa kukishauri NCCR-Mageuzi na hivi vyama watu viwili (UDP na TLP) kuunda alliance yao dhidi ya Chadema, kwa maneno mangine vyama hivi vimekubali kuwa vyama vikaragosi vya CCM kupitia mlango wa nyuma wa mgongoni mwa CUF, hivyo kubakiwa na chama kimoja tuu cha upinzani cha kweli nchini ambacho ni Chadema.

Mwanzo niliwalaumu na kuwalaani Chadema, kuunda kambi ya upinzani peke yao, kumbe nilikuwa myopic, sikuweza kuona mbali kwenye bigger picture, niliwaona Chadema ni wabaguzi, wabinafsi na wenye umimi, bila kuifahamu hali halisia ya mambo.

Kupitia michango mbalimbali ya wana JF, nimefunguka macho na sio tuu kuanza kuielewa Chadema, bali kuikubali kuwa ndicho Chama Pekee cha upinzani kwa uchaguzi wa 2015 dhidi ya chama tawala CCM na msharika wake CUF na vyama vikaragosi vyao.

Nasisitiza huu ndio mwanzo wa kifo cha CUF na Neema kwa Chadema, kwa sababu baada ya uchaguzi huu, ruzuku ya mamilioni ya CUF yatakula panga la msajili sambamba na CCM ambayo sasa itakombwa na Chadema, na kama hakutatokea vita vya kimaslahi kugombea ruzuku hivyo (kama ilivyotokea kwa NCCR), na kuitumia kuimarisha chama, then 2015 Chadema itakuwa kwenye the best prospects kuchukua nchi.

Hivyo huu ushirikiano wa CCM na CUF na vikaragosi wao, ni very healthy kwenye safari ya kuelekea kwenye serious opposition kwa vyama utitiri kujifia natural death kwa kufuata kanuni law of the jungle ya 'Struggle for Existance, Survival for the Fittest', CUF inaelekea kufa na maneno ya Mwalimu ya serious oppositions yameanza kutimia.

Angalizo: Pasco wa JF sio mtafiti wa siasa bali ni mtazamaji na mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa ambaye hafungamani na chama chochote, wala sio mfuasi wa itikadi yoyote, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya Bunge.
Huu ulikuwa ni msimamo wangu 2010, lakini sasa mambo yamebadilika, CUF ni mke wa mtu ndani ya SUK, kwenye ndoa yao na CCM ambayo ipo, jee ushiriki wa CUF kwenye UKAWA ni mchepuko tuu?!.

Pasco
 
Back
Top Bottom