johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Mleta mada amepofushwa na masikio yake hayasikii tena ndio sababu analinganisha Chanya na Hasi, hajui madhara yake!
CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
Huwezi kulinganisha waumini milio 17 WAKATORIKI na wanachama kama milioni mbili na nusu wa CCMCCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
Itakuwa uwezo wake wa kuelewa ni mdogo kwa kufikiri Pengo ndo Kanisa Katoliki Duniani, kwa hiyo akiunga mkono ufedhuli wa CCM basi Kanisa limeunga mkono hivyo linafanana na CCM.Acha kulidhalilisha kanisa na maccm. Ni misingi gani maccm wanayosimamia inayolingana na kanisa. Mmeanza kutugawa wakristu kwa waislam. Sasa mmegeukia ktk kugawa wakristu kwa wakristu. Hatimae mtatugawa waislamm ktk madhehebu ndani yake. Eg shia suni nk. Inshalla. Mungu tunusuru umoja wetu udumu
CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
Sidhani kama wewe ni mkatoliki wewe....

Huoni kazi kubwa anayoifanya kinana na sekretariat yake ya kusimamia na kuikosoa serikali inapojaribu kwenda kinyuma na misingi ya CCM?
Mafisi kamwe hayawezi kufananishwa na kanisa that's pathetic
Kwahiyo na Kinana ni sawa na pengo?