mtahengerwa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 384
- 173
CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!