Mtu ambae hajawahi kuona dalili za mtu kuchanganyikia haone mfano huu.Kama hamtaki mtataka kwa lazima ccm daima! Mwezi 10 sifanyi makosa kura yangu ni ccm kote!
Hakuna mtoto ambaye baba yake alisoma enzi za ukoloni mwenye mawazo ya kijinga kama yako.
Ccm ni chama cha kishetani,kiharamia na kichawi. Wakiondoka madarakani itabidi tuhoji vifo vyenye utata kwa watu hawa,Nyerere,sokoine,Mgimwa,Prof.Othman, Balali,Salome Mbatia,Dr.Sekondo Mvungi,Dr.Omary Ali Juma nk
Mbona chadema ni cha wachaga na ubabe mwingi
Mkuu kama tulikuwa na mawazo ya aina moja.Teh Teh endeleeni kujifariji na kufanya commedy mkifikiri Ikulu ni kama ofisi za ufipa...
Na wahakikishia October mtakimbia mitandao ya kijamii...
Mkuu kama tulikuwa na mawazo ya aina moja.
Hapo sasa, yanini kujitekenya hata kama hauwashwi?​hebu tuwe wapole tuone mwisho wake
UmeonaeMh! hoja imekaa kishabiki vile
Wanatengeneza mazingira ili wakipigwa wasingizie kuwa wameibiwa kura​hebu tuwe wapole tuone mwisho wake
Mh! hoja imekaa kishabiki vile