Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Ulivyo mp.umb.avu hata democrasia hitaki. Hii mitoto ya chipukizi shida sana.
Maneno ya kijinga yanayokutoka ni kwa sababu tu ya demokrasia ungekuwa kwa wakoloni ungekula bakora.
 
Bora mimi ambaye baba yangu alisomeshwa na CCM, kuliko wewe unayethamani kutawaliwa na wakoloni.

Hata kuandika hujui "kuthamani" ndiyo nini? Wenzio wakati wanaenda darasani wewe kutwa kwenye chipukizi. Ndo mana kichwa chako kimejaa jivu.
 
Ccm chama tawala kidumu miaka afu 10000000000 kama hamtaki mkatite angani
 
wakoloni weusi hwa hapa,ecroe,epa,meremeta,richmond.kagoda bomba la gesi.atcl,madawa ya kulevya etc.kidumu chama chetu
Ndiyo maana nimekwambia hujui maana ya ukoloni, hizi propaganda zenu tumezizoea, hao wanaokuja na hizi wenyewe wezi wakubwa, nao ni wakoloni? Zitto si anaongoza kulipwa pesa za bure na mifuko ya hifadhi, MBOWE aliyekuwa karani tu wa Benki alipata wapi pesa za kuitwa tajiri leo? Mkuu haujasema chochote hapo, ufisadi haukuanza leo, leo unasikika kwa sababu ya utawala wa uwazi. Jitambue siyo kufuata ya wanasiasa ambao nao kupitia midomo yao mirefu ni mafisadi wakubwa.
 
kama vp andamana hayo ndo mawazo yako ccm itapita kwa kishindo mwaka huu

Wewe si umefungiwa ndani ya chupa hivyo hujui kinachoendelea kitaa!? Ila wenzio wanajua, kama ccm ikipita KWA HAKI mwaka huu basi sishabikii tena siasa.
 
Watumwa wapumbavu wanapokombolewa, hutamani sana kurudi utumwani. Hata hivyo, ukombozi wa mwanadamu ni endelevu, na kupata uhuru hakukumaanisha kubweteka na kuacha kuulinda.
Ni lazima kupambana na mtu mmoja mmoja au kikundi kinachokandamiza na kunyonya walio wengi.
Ni muhimu kujua kwamba, baada ya kuondoka mkoloni, watawala wanalewa madaraka na kujenga tabia kama zile zile za kikoloni za uovu dhidi ya walio wengi, unyonyaji na hata mauaji kwa kutumia vyombo vya dola kama polisi.
Kwa kuwa wote tuna wajibu wa kulinda uhuru, yakupasa kuchukia na kuchukua hatua dhidi ya tabia hizo.
Kama wazee wetu waliopambana kudai uhuru, walilalamika tu bila kuchukua hatua, hata leo wewe usingekuwa huru.
Ni rahisi kuwashinda na kuwamaliza waovu wachache walio serikalini na kupata serikali safi kuliko ilivyokuwa kuondoa ukoloni.
 
Nakumbuka hata colonial social services ilivyokuwa
 
Binadamu hamna shukrani, CCM imewatunzia amani sasa mnakunya tu kijinga.

Be specific, wakati kabla ya mkoloni imani haikuwepo? Je wakati wa mkoloni amani haikuwepo? Kwa mini sasa amani yetu iliyokuwepo kabla ya mkoloni, wakati WA mkoloni ionekane kuwa tunu ya kipekee wakati huu. Je ukiangalia kwa jicho LA tatu huoni CCM inaweka bidii ya kuharibu amani yetu ya babu na mababu Bali watu wanaepusha?
 
Watanzania wengi wanaaminishwa kuwa kipindi cha ukoloni maisha yalikuwa ni magumu yakiambatana na manyanyaso na vipigo toka Kwa wazungu.
Jana asubuhi nilikaa na baba yangu ambaye alisoma kipindi cha ukoloni mwaka 1958 alinieleza vitu ambavyo sikuamini macho.
1. Alipomaliza darasa la nne alifauru kwenda middle school, lakini lakini baba yake (babu yangu) hakuwa na uwezo Wa kulipia kiasi cha 250|= ambayo ndiyo ilikuwa karo Kwa kipindi hicho.
2. Ilibidi babu aende Kwa DC ambapo alimpeleka Kwa afisa elimu (mzungu) ambaye akamwambia yeye babu alipe 125/= tu na serikali ya kikoloni itamlipia kiasi kilichobaki.
3. Alipoingia middle school, walipewa karibu kila kitu, kama vile sare za Shule, sabuni mche mmoja kila wiki, blanketi na shuka mbili nyeupe, madaftari, kalamu na vingine vyote muhimu.
4. Chakula cha Shule kilikuwa kizuri kuzidi cha nyumbani. Walikula milo minne Kwa siku. Uji baada ya mchakamchaka saa Moja, saa nne chai ya maziwa ya unga na mkate kilo moja, mchana saa saba chakula safi cha mchana chakula cha jioni saa kumi na mbili.
Baada ya kunisimulia yote nikamuuliza swali dogo baba yangu ambaye ni kada Wa ccm, "Kati ya ukoloni na sasa upi ni wakati bora Kwa watanzania?" Akanikodolea macho tu hakunijibu mpaka Leo.

Naunga mkono hoja. ccm ni tatizo
 
Kama hamtaki mtataka kwa lazima ccm daima! Mwezi 10 sifanyi makosa kura yangu ni ccm kote!
 
Back
Top Bottom