Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Habari zenu waungwana,

Hakika utawala wa CCM na mafisadi sasa umefika ukingoni na mwaka huu lazima wang'oke madarakani.Ni jukumu letu sisi vijana kuhakikisha kwamba tunakitoa hiki chama cha mafisadi kwa namna yoyote ile.

Kumekua na tatizo la ajira kwa vijana kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi na serikali ya CCM imeendelea kulifumbia macho suala hili.Wamekua wakituhimiza mara kwa mara kwamba tujiajiri wakati watoto zao wanawaweka kwenye sekta nyeti kama BOT,TRA,MALIASILI,BANDARINI na kwingineko kwenye maslahi zaidi.

Watoto wa wakulima wameendelea kuumia kila kukicha.Mfumo wa elimu yetu ni mbovu kiasi kwamba haumuandai kijana kujiajiri pindi anapomaliza masomo yake ya elimu ya juu.Leo hii kijana anamaliza elimu ya chuo kikuu na kukaa mtaani kwa zaidi ya miaka mitano bila ya kupata hata mahala pakujishikiza wakati viongozi wanagawana pesa za ESCROW kwenye viroba na hawachukuliwi hatua zozote za kisheria.

Mimi kama kijana mwenye uchungu na nchi yangu nasema ufisadi baaaas.Huu ndo mwaka wako kijana kujikomboa katika mikono ya wadhalimu.

2015 ndo mwisho wa matatizo.

Pipooooooozz!!!
 
powerrrrrrrrrt
 
Ukijuwa nchi ilipata uhuru vipi utaiondoa lakin kama hujui uhuru huu ulivyopatikana ni ndoto.
1957 waloutafuta uhuru ni vijana wkiongozwa na wazee wenye uzalendo, utu, ushujaa, hikima, busara nk.
Nyinyi vijana ukitoka chuo wewe ni kuajiriwa tu. Wazee wetu wao walijiajiri mashambani mwao na madukani mwao na ktk fani tafauti za ufundi.
Maada vijana wa sasa hatutaki wazee na mafanikio kwetu hakuna!!! Ushabiki ni madhara tu hakuna zaidi.
Kwa msaada jaribu kupata picha ya rashid mfaume kawawa, ahmed salim, bibi titi mohammed ama bi lucy lameki ktk miaka 1960 na ......... Uwaone ujana wao ktk kulitumikia taifa hili.
Propaganda za siasa za sasa zitatuangiza eti tunakaa kuitaka serikali ituajri.
Tazama hisabu hii
1: Msingi kila mwaka wangapi
2: Kidato cha nne wangapi
3 kidato cha sita wangapi
4: Chuo kikuu wangapi
5: Wavjiji kuvamia mijini wangapi?
Kilimo, umekenika, useremala, uwashi, umeme, bomba nk zote ni kazi tusichaguwe.
Wapo wanaojifunza lugha tu za kigeni na hawana elimu kubwa za mashuleni wamefanikiwa sababu ya kujituma kujiamini kujikubali na kudhamiria wamefanikiwa sana sana.
 
Na huu ufisadi wa kila kukicha unaofanywa na magamba unauzungumziaje ?
 
Dunia nzima inawalokuwa Waadilifu na Wasokuwa waadilifu.
Wema wapo na Wabaya wapo pia.
Sasa tufanye Kazi japo za Hiace, Taxi, Toyo itatulamba miguu kama sio Uhai.
Siasa zinamajungu utajaa mvii kwa kusubiri ajira.
Fanya kazi yako Halali madamu unaona itakutoa. On a wengine Muziki tu na wengine kuchekesha kama kina Mzee Majuto toka utotoni hadi Uzeeni.
 
Watanzania wengi wanaaminishwa kuwa kipindi cha ukoloni maisha yalikuwa ni magumu yakiambatana na manyanyaso na vipigo toka Kwa wazungu.
Jana asubuhi nilikaa na baba yangu ambaye alisoma kipindi cha ukoloni mwaka 1958 alinieleza vitu ambavyo sikuamini macho.
1. Alipomaliza darasa la nne alifauru kwenda middle school, lakini lakini baba yake (babu yangu) hakuwa na uwezo Wa kulipia kiasi cha 250|= ambayo ndiyo ilikuwa karo Kwa kipindi hicho.
2. Ilibidi babu aende Kwa DC ambapo alimpeleka Kwa afisa elimu (mzungu) ambaye akamwambia yeye babu alipe 125/= tu na serikali ya kikoloni itamlipia kiasi kilichobaki.
3. Alipoingia middle school, walipewa karibu kila kitu, kama vile sare za Shule, sabuni mche mmoja kila wiki, blanketi na shuka mbili nyeupe, madaftari, kalamu na vingine vyote muhimu.
4. Chakula cha Shule kilikuwa kizuri kuzidi cha nyumbani. Walikula milo minne Kwa siku. Uji baada ya mchakamchaka saa Moja, saa nne chai ya maziwa ya unga na mkate kilo moja, mchana saa saba chakula safi cha mchana chakula cha jioni saa kumi na mbili.
Baada ya kunisimulia yote nikamuuliza swali dogo baba yangu ambaye ni kada Wa ccm, "Kati ya ukoloni na sasa upi ni wakati bora Kwa watanzania?" Akanikodolea macho tu hakunijibu mpaka Leo.
 
Ni bora uishi Guantanamo na mateso yake kuliko mateso tunayopata chini ya utawala wa kishetani wa serikali ya CCM
 
Acha kulalamika. Wewe ndie mwajili mkuu wa ccm.sasa saa imefika muondoe hafai.tumia kura yako.
 
Hakuna mtoto ambaye baba yake alisoma enzi za ukoloni mwenye mawazo ya kijinga kama yako.
 
Acha kulalamika. Wewe ndie mwajili mkuu wa ccm.sasa saa imefika muondoe hafai.tumia kura yako.
Mleta mada ni mjinga, anathamani kutawaliwa na mkoloni? Hawa ndiyo wale wanaothamani kuzaliwa mbwa Ugaibuni.
 
nchi za Afrika zilizochelewa kupata uhuru na ambazo hazikuwafukuza wakoloni wana maendeleo
 
Back
Top Bottom