lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
MUSALANI na faiza foxy sijawaona hapa
kule sumbawanga rukwa imekuwaje wakuu! naona hamjajitokeza kwenye ule uzi wa yale matokeo ya janaMtaanguka nyie mtaiacha ccm ikipeta
dah! Wameyasahau na maneno ya huyu mzee kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na wasipo ya pata watayatafuta nnje ya ccmCCM bado mnajifariji na maneno ya Nyerere kuwa rais bora tatoka CCM?
CCM yafaa ikae kwanza kwenye upinzani nadhani ikirudi itafanya vema zaidi
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------
​ni vyema tuwe wapole tuone mwisho wake, ushabiki wa vyama sio mzuri, cha msingi vijana wajiandikishe na wapige kuraWanatengeneza mazingira ili wakipigwa wasingizie kuwa wameibiwa kura
Lala salama peponi.