palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Mtaanguka nyie mtaiacha ccm ikipeta
hebu tembelea na hpo chini tuone comments zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-za-mitaa-sumbawanga-ccm-yaangukia-pua-3.html
Mtaanguka nyie mtaiacha ccm ikipeta
Kwani uhalisia unaujua?mkuu hapa hakuna ushabiki ndio halisi. fuatilia matukio
Mh! hoja imekaa kishabiki vile
Kifo kikitimia hakuna jinsi, wamebana wee mwisho wataachia kiulaiini kabisa.
CHADEMA wabinafsi sana. Kani si mpo kwenye ndoa ya UKAWA?
Teh Teh endeleeni kujifariji na kufanya commedy mkifikiri Ikulu ni kama ofisi za ufipa...
Na wahakikishia October mtakimbia mitandao ya kijamii...
Miezi ya mwishomwisho kujifariji, endeleeni tu kujifariji baada ya uchaguzi msije tena na swaga zenu za nchi haitatawalika coz hmjui rais ajae kama atakuwa mvumilivu kama JK.
RAIS bora lazima atoke ndani ya CCM
CHADEMA wabinafsi sana. Kani si mpo kwenye ndoa ya UKAWA?
wakuu tujuzane hapa hv kwa nini CCM inaendelea kuporomoka kila kukicha, wameanguka vibaya kwenye chaguzi za serikali za mitaa,wao kwa wao wanatiana vidole vya macho kisa URAIS ,kila siku wanashutumia kuua albino kama kafara yao,wameishiwa hoja na kubakia wakitegemea vyombo vya dola kama polisi.jwtz. kuendelea kubaki madarakani,ni chama kilichopoteza mvuto kwa watanzania, yaani kinaabudu katika dini ya ufisadi na dhehebu lake kubwa ni escrow, ni chama ambacho kinakufa kibudu. halafu why CHADEMA kinapanda chati haraka na kinapendwa na watu wa kila rika? nawasilisha wakuu
Teh Teh endeleeni kujifariji na kufanya commedy mkifikiri Ikulu ni kama ofisi za ufipa...
Na wahakikishia October mtakimbia mitandao ya kijamii...
mkuu kwa sasa ni UKAWA sio CDM, ustake kutuvuruga
mkuu nimekupata si unajua nilivyo na hasira na miccm
hahaa pole sana punguza hasira usije ukashindwa kufanya kazi
wakuu tujuzane hapa hv kwa nini CCM inaendelea kuporomoka kila kukicha, wameanguka vibaya kwenye chaguzi za serikali za mitaa,wao kwa wao wanatiana vidole vya macho kisa URAIS ,kila siku wanashutumia kuua albino kama kafara yao,wameishiwa hoja na kubakia wakitegemea vyombo vya dola kama polisi.jwtz. kuendelea kubaki madarakani,ni chama kilichopoteza mvuto kwa watanzania, yaani kinaabudu katika dini ya ufisadi na dhehebu lake kubwa ni escrow, ni chama ambacho kinakufa kibudu. halafu why CHADEMA kinapanda chati haraka na kinapendwa na watu wa kila rika? nawasilisha wakuu
Mtaanguka nyie mtaiacha ccm ikipeta
Ujapewa ukuu wa wilaya?kafunge viatu vya Nape upate hata umwenyekiti wa mtaa.