QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
R.I.P Chama "pendwa ".
Acha kipotee tuu. Hawana maana hawa...
badala ya kupanga maendeleo wanapanga hujuma
Badala ya kupanga maendeleo wanapanga hujuma
miaka nenda miaka rudi ccm inakufa inakufa, ccm ni kiboko yenu.
ccm inabebwa na dola, nje ya hapo hakuna ccm kamwe.
Miaka nenda miaka rudi CCM inakufa Inakufa, CCM ni kiboko yenu.
Miaka nenda miaka rudi CCM inakufa Inakufa, CCM ni kiboko yenu.
Kikwete anaondoka na ccm mfukoni
Hata Singa Wa PAP ccm walimshauri akimbilie mahakamani
Kitendo cha kuzuia uchaguzi wa marudio kwa kutumia mahakama ni dalili za mwisho za Ccm