Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Wakurugenzi wamechimbwa mkwara kwa yoyote atakayeruhusu uchaguzi kufanyika lazima atashughulikiwa
 
Hadi ccm imefikia hatua ya kukimbilia mahakamani,ni dalili tosha kuwa ccm hawana sera,uwezo wao wa kufikiri umefikia mwisho. Na Mungu alimtumia Kikwete atawale awamu ya nne ili CCM ifie mikononi mwake. Hakuna ubishi juu ya ccm kuanza kuweweseka katika utawala wake
 
Mimi Kila nikisikia CCM inafikwa na balaa najihisi burudani ya ajabu moyoni........ Wezi wakubwa Hawa.
 
Hadi ccm imefikia hatua ya kukimbilia mahakamani,ni dalili tosha kuwa ccm hawana sera,uwezo wao wa kufikiri umefikia mwisho. Na Mungu ialimtumia Kikwete atawale awamu ya nne ili CCM ifie mikononi mwake. Hakuna ubishi juu ya ccm kuanza kuweweseka katika utawala wake
Uhai wa ccm uko mikononi mwa vyombo vya dola
 
Bahati yao kama kweli wajificha nyuma ya mahakama jumapili nilijiandaa kwenda kuwakandamiza kwenye box, nawatamani sana. Hilo zuio mwisho wake lini sisi tupo tunasubiri tuwamege hapa mtaani kwetu.
 
Bahati yao kama kweli wajificha nyuma ya mahakama jumapili nilijiandaa kwenda kuwakandamiza kwenye box, nawatamani sana. Hilo zuio mwisho wake lini sisi tupo tunasubiri tuwamege hapa mtaani kwetu.[/QUOTE
Tamko lao halijasema ni lini utarudiwa,ila sidhani kama utafanyika kutokana na ccm kuwa na hali mbaya
 
Huwa nasikia wanasema kinana anajenga chama na kafanikiwa kurudisha imani ya wananchi kwa CCM, hawajamuomba Kinana akae pembeni watafute mwokozi mwingine au wanakomaa na huyu msomali laghai.
 
Miaka nenda miaka rudi CCM inakufa Inakufa, CCM ni kiboko yenu.

Kama CCM ni kiboko mkuu si muache uchaguzi ufanyike tuone ukiboko wenu !!?Si maajabu haya, uchaguzi uitishe wewe halafu wewe ndo huende mahakamani, kweli hapo haupaswi kupelekwa Milembe kupimwa akili !!?
 
CCM noma
 
Attachments

  • 1419047669504.jpg
    1419047669504.jpg
    8.3 KB · Views: 108
Hovyo sana hili li Chama
Majina ya chama hicho, Chama cha Mafisadi, Chama cha Magamba, Chama cha Matunguri, na hivi sasa limeongezeka hili la Chama cha Mapingamizi.

Kwa namna trend invyoenekana, ule utabiri ambao ulikuwa ukitolewa na Wassira na Nape kuwa Chadema itakufa kabla ya mwaka 2015, ni dhahiri sasa kuwa utabiri huo unaelekea kwenda vice versa na ni muujiza pekee uliobaki unaoweza kuivusha CCM mwaka 2015!

Kwa kuwa it is obvious, kuwa Chama hicho cha Magamba kinaelekea kuzikwa rasmi mwaka 2015, na kitabaki katika vitabu vya historia, kuwa kulikuwa na kipindi ambapo TZ 'iliwahi' kuwa na chama kilichokuwa kinaitwa CCM, kama ambavyo ilivyotokea Kenya, chama cha KANU kilivyoingia kwenye vitabu vya historia na huko Zambia chama cha UNIP!
 
Kila shimo walilolichimba watadumbukia wao wenyewe
Bible kitabu cha Zaburi 34
 
Back
Top Bottom