Wana jamvi utabiri wa kifo cha ccm alio wahi kuutoa mwalimu nyerere unaelekea kukamilika,dalili zote zipo wazi maana laana za wazee waasisi wa ccm akina mzee warioba na butiku zinakwenda kukiangamiza ccm,laana za wasomi waaminiefu na weledi prof kabudi,prof mpangala na dr lwaitama sasa hakuna shaka ccm bye bye! Lakini kubwa zaidi kitakacho imaliza ccm kabisaa ni kiburi na dharau kubwa wanayo ionyesha kwa wananchi kwa kupinga na kuyakataa maoni yetu watanzania hii ni dharau kubwa na kiburi kilicho pitiliza,ni kawaida yao hata mtwara wananchi walidharauliwa na kulazimishwa kukubali wasicho kubali,hakika washauri wa ccm mnakimaliza chama chenu miaka 2 ijayo itabakia ccm,ahsanteni sana nimalizie kwakusema kidumu chama chamapinduzi jibu ni kimetobokaaa!

Endelea kujidanganya mpaka uzee utakukuta ccm inatumikia watu kwakuwa bado watanzania bado tunaihitaji.
For what I know about Tanzanians sidhani kama itawezekana kuiondoa CCM madarakani 2015. Ninachokiona ni kupata wabunge wengi wa upinzani lakini urais utabaki kuwa chini ya CCM hadi wtz watakapokuwa kuacha kudanganywa na vitu vidogo vidogo kama vile t-shirt, khanga, na vijisenti vidogo vidogo.
Chadema ni janga la duniaccm ni janga la taifa
Fedha kitu kibaya sana, inaweza kuwatenganisha watu mara moja na kuwaunganisha watu mda mfupi.
Hili bunge la katiba ndio linaenda kuhitimisha uwepo wa ccm, kwa sababu wananchi sasa wanasubiri kwa hamu mgao wa kile wanachopata bungeni kwa mwaka 2015 ili na wao wale ili waishiane kwa usalama.
Hakuna asiyejua kiasi cha fedha wanachopata wabunge hao huku kila mtanzania kwa nafasi yake akijiuliza maswali mengi yanayokosa majibu sasa lakini yanaweza kupatiwa majibu 2015.
Walimu wanajiuliza , madai yao wanapodai wanaambiwa serikali haina fedha ili hali wakiona matumizi makubwa sasa.Wakulima wakiomba kuongezewa bei ya mazao yao hata kwa sh.50 kwa kilo moja ya mahindi wanaambiwa serikali haina fedha.wafanyabiashara nao hali kadharika.
Wananchi wa kawaida wanajiuliza hata wakati wa kujadili katiba ya 1977 nyerere alitumia fedha nyingi hivyo.Maswali yote hayo majibu yake yapo mioyoni mwa watanzania.
Hata Mungu kupitia vitabu vitakatifu anawaagiza watu kujitenga na uovu,heri yenu UKAWA Mungu atawalipa 2015
Chadema ni janga la dunia
Kama unatamani fedha zi urudi tu bungeni?