Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Ccm haiwezi kufa hata siku moja chadema wauaji na imekufa

hivi wewe unatembe au unalopoka tu hivi unajua sisi wananchi tunaojielewa jinsi tusivyo ipenda ccm na viongozi wake we ulishaona mtu anajitolea kufa kutetea ccm
 
Kikwete hawezi kuanguka kwa sababu upinzani wamechoka. Hawana dira. So JK is better than them, as strange as it appears!
 
Kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za CCM kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha CCM ni wana CCM wenyewe, si vyama vya upinzani.

Zifuatazo ni dalili ya kuanguka kwa CCM
1. Upendo kati ya wanachama umekwisha, ni ugomvi usiokwisha ( Sitta camp Vs Rostam camp)

2. Fedha ni kipaumbele siyo Sera au hoja.

3. Wasemaji wa chama ni wapayukaji ( makamba, Hiza Tambwe, Sofia simba)

4. Wazee wenye busara wamesusa chama ( Warioba, Salim, Butiku, Sumaye)

5. Familia ya viongozi wamekiteka chama ( Makamba's, JK's, )

6. Kampeni zimebadilika kuwa concert ( wanamuziki kibao)

7. Kununua wapinzani

8. Kukataa midahalo ( mchakato majimboni- TBC)

9. Ahadi nyingi wakati huu wakati za mwaka 2005 hazijatekelezwa ( Mikopo ya wanafunzi maisha bora kwa kila mtz n.k)

10. Chama kujadili issue binafsi zaidi badala ya maslahi ya wananchi.

CCM kwa sasa ina uwoga sana kuliko cha chama chochote hapa nchini. Wanaelewa wanakoelekea.

Asante sana mtoa mada uliona mbali sana.
 
Kuanguka kwa CCM ni ndoto za mchana, na Mbowe anakimaliza chake kwa kuchochea vurugu, kikwete haanguki kwanza kamaliza muda wake na CCM haianguki iko mashine inayokuja inayokubalika, we ye akili upinzani unawachuuza zamu hii CCM Zenji kidedea tena kwa majimbo mengi zaidi, majimbo ya chadema bara yameanza kupungua jimbo la Zuberi jimbo la Mbasa hayo wasiyahesabu kabisa!
 
Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuona ishara ya matukio fulani fulani yanayoashiria mwisho mbaya, pengine hata kifo. Lakini kwa sababu ya nature si rahisi mtu kukubali.

Aliyewahi kuwa raisi wa Marekani John F Kennedy kabla ya kupata ajari ya ndege iliyopelekea kifo chake alishauriwa na mke wake kutosafiri siku hiyo,lakini kwa sababu ya nature alisafiri.

Ipo mifano mingi tu inayoshadidia hilo.

Kinacho onekana ndani ya ccm hivi sasa ni mkwamo wa katiba unao onekana kutofika hatua ya mwisho ya kupigiwa kura na wananchi.

Kuna utaratibu ambao bado usio rasmi unao onekana kutaka kuchukua nafasi ya kwamba kutokana na muda kuwa finyu katiba hii inayojadiliwa haitapigiwa kura na wanachi kwani utaratibu wa kuandaa daftari na vituo litachukua muda mrefu hivyo basi bunge lijalo litaifanyia marekebisho katiba iliyopo ili kuingia nayo kwenye uchaguzi.

Mtawaeleza nini wananchi ambao wapo tayari na wanaisubiri katiba kuipigia kura.Mtawaeleza nini wananchi mapesa yote mliyotumia bila mafanikio .Ccm mnajipalia mkaa .,
 
Pamoja na kupanga kwamba mtatembea na katiba zote mbili zinazopendekezwa wakati wa uchaguzi kwa wananchi, bado wananchi watawahukumu tu.Mtanzania wa leo si yule wa miaka ya 1980.Wakati utawahukumu
 
Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuona ishara ya matukio fulani fulani yanayoashiria mwisho mbaya, pengine hata kifo. Lakini kwa sababu ya nature si rahisi mtu kukubali.

Aliyewahi kuwa raisi wa Marekani John F Kennedy kabla ya kupata ajari ya ndege iliyopelekea kifo chake alishauriwa na mke wake kutosafiri siku hiyo,lakini kwa sababu ya nature alisafiri.

Ipo mifano mingi tu inayoshadidia hilo.

Kinacho onekana ndani ya ccm hivi sasa ni mkwamo wa katiba unao onekana kutofika hatua ya mwisho ya kupigiwa kura na wananchi.

Kuna utaratibu ambao bado usio rasmi unao onekana kutaka kuchukua nafasi ya kwamba kutokana na muda kuwa finyu katiba hii inayojadiliwa haitapigiwa kura na wanachi kwani utaratibu wa kuandaa daftari na vituo litachukua muda mrefu hivyo basi bunge lijalo litaifanyia marekebisho katiba iliyopo ili kuingia nayo kwenye uchaguzi.

Mtawaeleza nini wananchi ambao wapo tayari na wanaisubiri katiba kuipigia kura.Mtawaeleza nini wananchi mapesa yote mliyotumia bila mafanikio .Ccm mnajipalia mkaa .,

Ni kweli kuwa ccm inaelekea kuzimu kwa mtindo huo,ila ulichokosea ni kuwajf kennedy hakufa na ajali ya ndege bali aliuwawa kwa kupigwa risasi,huko Texas,mwuuaji akiwa LEE osward Harvey,ingawa kifo hicho kinautatanishi mpaka lleo kwani inasemekana alipigwa risasi mbili,baada ya uchunguzi ilikuja dhihirisha kuwa bunduki iliyotumika ilikuwa haina uwezo wa kupiga automatic,Lee Osward aliuwawa pia akiwa anapelekwa mahakamani
 
Utaanguka kwanza wewe lakini ccm utaiacha unadhani nyepesi kama unavyodhani.
 
Hakuna tofauti. Katiba iliyoandaliwa kwa gharama za wananchi si ya wananchi. Kukimbilia kuipigia kura kuna mawili. Wananchi kuikataa jambo ambalo bado haliondoi hasara ya mapesa yaliyotumika lakini inatoa nafasi ya watanzania kutengeneza katiba nzuri itakayowaletea mwanga wa maisha yao na vizazi vijavyo.

La pili ni kuikubali na kuipitisha kwa ajili ya kuhurumia fedha zilizotumika. Lakini kwa hili la pili ni kuweka sahihi muendelezo wa mateso na giza katika maisha ya watanzania na vizazi vyao vijavyo,

Hapa inatakiwa kupima ipi ni hasara ndogo kwa nyingine.

Fedha zilizotumika kwa kutengeneza katiba fake na kuendelea na hasara zisizo na ukomo katika nchi kwa milago ya ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji serikalini kwa kuipitisha katiba fake hii ama hasara ya fedha za matengenezo ya katiba fake na kisha kutengeneza katiba yenye mrengo sahihi kwa maendeleo ya Tanzania kwa kuikataa katiba fake hii ya ccm.

Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuona ishara ya matukio fulani fulani yanayoashiria mwisho mbaya, pengine hata kifo. Lakini kwa sababu ya nature si rahisi mtu kukubali.

Aliyewahi kuwa raisi wa Marekani John F Kennedy kabla ya kupata ajari ya ndege iliyopelekea kifo chake alishauriwa na mke wake kutosafiri siku hiyo,lakini kwa sababu ya nature alisafiri.

Ipo mifano mingi tu inayoshadidia hilo.

Kinacho onekana ndani ya ccm hivi sasa ni mkwamo wa katiba unao onekana kutofika hatua ya mwisho ya kupigiwa kura na wananchi.

Kuna utaratibu ambao bado usio rasmi unao onekana kutaka kuchukua nafasi ya kwamba kutokana na muda kuwa finyu katiba hii inayojadiliwa haitapigiwa kura na wanachi kwani utaratibu wa kuandaa daftari na vituo litachukua muda mrefu hivyo basi bunge lijalo litaifanyia marekebisho katiba iliyopo ili kuingia nayo kwenye uchaguzi.

Mtawaeleza nini wananchi ambao wapo tayari na wanaisubiri katiba kuipigia kura.Mtawaeleza nini wananchi mapesa yote mliyotumia bila mafanikio .Ccm mnajipalia mkaa .,
 
Ufipa mkishakunywa viroba mnaona(ga) kila kitu simple. Mmetoka kwenye drama za maandamano naona mmehamia kwenye anguko la ccm... mmetoka kwenye unafiki wa maandamano na sasa mmehamia kwenye kupiga lamli. Duh kaz mnayo kwelkwel.
 
Back
Top Bottom