King Innocent
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,069
- 808
Chama ambacho viongozi wake hawaaminiani , mnakumbuka isue ya Mwakambe walivyotaka kumchuna ngozi aliponea chupuchupu maskin had natural colour ya ngozi yake imepotea.
Kina Mwenyekiti anayesikiliza mawazo ya kila mmoja kabla ya kuamua hadi inakera
Kuiba wengi wanaiba ila Dr Slaa kapora mke wa mtu na kumfanya mchumba wake hadi kumzalisha mtotoIla walimsingizia tuu bosi wetu Mwegulu gaidi kule igunga kuwa kafumaniwa
We unafikiri UKAWA wanafanya hayo kwa matakwa yao? Ni mapepo yanawasumbuaMwenyekiti ni dhaifu sana hana kauli thabiti mpaka ana amini uwepo wa mapepo katika kupata katiba mpya
Utasubiri sana tu!
Wana jf
Kwa mtazamo wa haraka haraka, nimefuatilia midahalo mawili juu ya mchakato wa katiba. Mdahalo ulioandaliwa na Rosemary Mwakitwange last weekend pale Serena hotel na mdahalo ulioandaliwa na chama cha wanasheria Tanganyika. Wakati midahlo hii ikiendelea utaona kabisa mihemuko na jazba za washiriki juu ya chama tawala. Hata pale washiriki toka chama tawala wanapopata nafasi ya kuzungumza hujikuta kwenye wakati mgumu. Tulimshuhudia mh. Wasira akipata wakati mgumu kila alipojaribu kujibu au kutetea hoja, leo pia tumeshudia baadhi ya wawakilishi wa ccm wakipata wakati mgumu. Hizi ni dalili mbaya kwa watawala, ni vyema sasa wakasoma alama za nyakati waache kufanya shingo zao ngumu.
Utasubiri sana tu!