JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,627
Utasubiri sana tu!
Hivyo ndivyo huwa mnajidanganya wauza madawa ya kulevya nyie!! mwisho wenu utakuwa mbaya kuliko wa ghadafi, Sadam Hussein au hata HITLER.Kumbukeni hakuna marefu yasiyo na mwisho.mpende msipende mwisho wenu umekaribia. tunacho fanya sasa ni kuweka kumbukumbu sawa nani wanahusika katika kuliangamiza Taifa hili kiuchumi, kisiasa na kijamii.