Ccm haiwezi kufa kwasababu watushika akili wala hatufurukuti.
Na ukitaka kuhakikisha subiri 2015 dec.
Kina Mwenyekiti anayesikiliza mawazo ya kila mmoja kabla ya kuamua hadi inakera
Bora kifutwe kabisaViongozi wake hawapori wake za watu hovyo hovyo ndo maana kinachukiwa
Hiki chama kimepoteza uhalali wa kuwepo madarakani na hakifai tena kupewa dola. Zifuatazo ni sababu kuu ambazo chama chenyewe,wapinzani wake na wananchi wanapaswa kuzingatia na kuona mbadala wake haraka.
1.kinapendwa mno na wananchi, yaani hadi inakera. Kuna wafia chama na hawa ndio wengi kweli kweli.
2.sera zake zinatekelezeka kwa vitendo.
3. Kuna demokrasia pana mno ndani ya chama,mwanachama akikosea anashughulikiwa ipasavyo ndani ya vikao halali vyama chama,anapewa uhuru wa kujieleza,anasikilizwa then hatuanstahiki zinachukuliwa, tofauti na vyama vingine.
4.kiko karibu mno na wananchi, kipo tayari kusikiliza kero zao na kuzifanyia kaZi kwa maana yankuzitatua kwa wakati
5. Ni chama shirikishi, hakuna maamuzi yanayofanywa bila kuwashirikisha wanachama wake.
6. Hakuna Udikteta,ubabe na umimi tofauti na vyama vingine.
my take: zero fifteen sio mbali, tutaking'oa haraka madarakani, tunataka mbadala wake hivi sasa.tumechoka
Nashauri kifutwe tu mana hata hii katiba mpya sio ya chama lakini chenyewe kinatuhumiwa kuvuruga mchakato
Viongozi wake hawapori wake za watu hovyo hovyo ndo maana kinachukiwa
hii tabia inaudhi sana. hata wanaotaka kunywa juice ya ikulu wanasikilizwa tu