NJOMBE KING
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 197
- 22
Ccm r.i.p umetutesa vyakutosha
Umenikumbusha yule mzee kwenye mdahalo chuo kikuu cha dar aliyesema hafi mpaka aione CCM imekufa, baada ya wiki ikatangazwa yeye ndiye aliyetangulia.
Naona watu ni wepesi kusahau. Waambie wajikumbushe:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwenye-tv-agongwa-na-gari-na-kufariki-9.html
Vipi kuhusu shehe ilunga? Amewafuata wale aliotaka wafe
Naona huelewi kuwa Waislaam tunakipenda kifo kama wewe unavyoyapenda maisha. Hapa transit tu, destination ni huko.
tuungane pamoja tuwapumzishe hawa majangili na wauza sembe
haha...kweli hawa jamaa wana shida kweli kweli...km MUHONGO anapodhani kuwa waziri kunamruhuru kufanya anachofanya kwa Mengi....anaoulizwa swali anahisi yupo ktk interview ya kazi ya kuchimba..ndio maana haachi jikuza.Hajui kuwa Mengi ana fikra za boss wake wakati yeye ana fikra za kibarua mchimbaji.Sidhani km anajua kuwa mwenzio anafikira uwekezaji,biashara, na jinsi ya kumtumia mtu km mhongo..muhongo wala hajui nini...Mkuu unatumia lugha ya ndani sana... Lumumba hawana kamusi, wanaweza wasikuelewe...