SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
acha kutishia watu na tunguli wewe! mbona mtabiri wenu maarufu naye ameshakufa?Kuna mzee alisema CCM lazima itakufa kabla 2015 amefariki juzi! Watch out sister...!
acha kutishia watu na tunguli wewe! mbona mtabiri wenu maarufu naye ameshakufa?Kuna mzee alisema CCM lazima itakufa kabla 2015 amefariki juzi! Watch out sister...!
tena hakuna atakayelia maana wametusurubisha sn ktk haya maisha
Kwa mtu mwenye uelewa kamilifu sidhani kama atakuwa na hope kwamba chadema ipo siku itachukua nchi!
Ni kichekesho sana.
Chadema ni wahuni tu hawana uwezo hata wa kuongoza wilaya.
watu wengine bwana hawapati usingizi kisa kuiwaza Chadema. sasa kama sio kunyimwa unyumba ebu tueleze Chadema inausika vp na hii thread?
Kuna mzee alisema CCM lazima itakufa kabla 2015 amefariki juzi! Watch out sister...!
ccm wanaoweza wakafanya nin tofaut na upuuz wao wa kukopa hadi trilion 40? ufisad wa kutisha? madn hayalipi ushuru? kenge kwel wew