Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

But kuna kaukweli lakini jaribu kuongea na kila mtu akusikie usiwe kama fumo liyongo
 
Unaanzisha thread mwenyewe unajijibu mwenyewe we mchaga vp?
Sidhani km nimejijibu..nimeongezea tuu..sidhani km kuna swali na jibu...We changia tuu au na wewe ni Fundi aliyekaribishwa kuajidili mipango ya mehela wakati kazoe kuthibitisha ufundi ktk kazi na kupangiwa mshahara..?
 
Hapana mi nipo mwenyewe tu!
 
Mleta mada unaweweseka mno. Umeanzisha mada kisha unajijibu mwenyewe. Aibu sana
 
Mleta mada ni msukule wa ufipa
Kwani nini si kweli Mhongo keshwahi lini panga strategy za business akaajiri watu na kulipa kodi,manage ushindani,new idea....na kufanikisha ktk taifa hili kwa kiwango cha watu anaowatukana...anachofanya ni kujisifu ktk boardroom kwaufundi as if kaambiwa ahe demonstrate technical side....ni CCM pekee wanaodhani mafundi wanaweza jadiliana full time na wawekezaji..businee planners,investors etc..Sasa muhongo anatkuna investors akidhani yupo na vibarua wenzie...kwa vile hajui wao ndio wanampa ajira.Na alipo hakupaswa alitakiwa kuwa mgodini...kwani keshaonyesha sifa zake ni fundi tuu...
 
Lakini ndio siasa inavyotakiwa-
Siasa za mafundi ktk business na statejic planning?Muhongo alitakiwa kuja approve michoro na labour na distance kisha aondoke aache wachumi,na wathaminishaji wengine waje kufa evalaution ndio wakawape akina mengi heshabu ili waangalie financial viability na fund raising....sasa JK kamweka fundi ktk sehemu ya fundraing ndio maana fundi akaonekana mwenye hofu sana kwa hela laizoziona..typical fundi....HATA MIMI NA WATU WENGINE HATUWAAMBII MAFUNDI KUWA HAKUAN HELA KESHO HAWAJI KAZINI,ILA KM JIONI UKIWATOROKA KIAINA UKAWAPA TAARIFA KUWA NA ISSUE SEHEMU HALAFU FOREMEN AKWAPOOZA KWA HELA AKISEMA NI ZAKE ZA MFUKONI KWA VILE BOSY KACHELEWESHA NA ISSUE INGINE WANASEPA KESHO WANKUJA NA HOPE....NA WEWE UKIWA UMEMALIZANA NA BANK UNAWAPATIA..KULIKO UMLIPE FUNDI BORA UNUNUE MATERIAL KAZI ISILALE...
 
Mleta mada unaweweseka mno. Umeanzisha mada kisha unajijibu mwenyewe. Aibu sana
HUjasom ahata hapo juu ...?CCM wote ni mafundi aisee.Mkipewa sehemu ya mipando na kuhitaji kutumia kichwa taabu inaonekana.Kw aujumla nyie ni maroboti ndio maana siku zite mnatumia mlichofundishwa na watu..kwa taarifa yako Muhondo anaweza kuwa hajui hata bei ya digger aaliyokuwa kaitumia..kwani zilinunuliwa na chuo,wizara au mwekezaji..leo ndiio mnampa kazi ya kuthaminisha na kupanga mahela mengi lazima aogope ,na kwavile ana akili za UDSM anaona wengine ni mangwini nao hawatoweza,au wakiweza wanaweza mdhalilisha..na uprof wake wa engineering.
 
umepata tender na kwa mengi nini? naona nyuzi zako ni za kumtukana Prof Muhongo tu. ama kweli elimu ya mjinga ni majungu. hutakaa umfikie Prof. Muhongo maishani mwako kama kazi yako ndo hii ya kufitinisha tu. kwa taarifa yako Prof. Muhongo hababaishwi na hela. mengi alifikiria angenyenyekewa akagonga mwambo. kwa taarifa yako amedhihirisha kuwa yeye ni Professor. nashindwa kuelewa kama unaweza kuwatumikia mabwana wawili, mbowe na mengi kwa wakati mmoja.

Narudia:Tena...nchi inayoongozwa na watendaji Amfundo mchuro ,na watu wa nanmna hiyo haiwezi fanikiwa wala kupanga kitu cha maana.Na tukiendelea jidanganya tutageuza nchi ambayo VIBARUA,MAFUNDI WANAWAPANGIA wenye site na foreman...ndipo tutakapoona jindi mafundi na vibarua wanavyokuwa rebellious...wakijagundua jinsi foremens,na wenye mrandi na contractors wanavyotembea na hela nyingi ,nadhani mwenye akili anaona nini kitatokea..Fundi asiyejua hayo mambo ya uongozi na ugumu wa kupanga mambo hadi yanayompa huyo fundi kuonyesha ufundi wake hiyo shida mtaiona.Nasema haya kwa vile serikali ya CCM LEO imejaa MAFUNDI JEURI...mafundi wanaotaka tudanganya kuwa UFUNDI WAO ULIOBOBEA KTK KUFUKUA MIAMBA NA MAWE UNAZIDI WALIOBUNI NA KUWAPANGIA HIZO KAZI,KUWA UMAHIRI WAO KTK KUFUKUA VYOO,MASHIMO NA ETC KUNAZIDI WALIOGUNDUA VIPAJI VYAO VYA KUKWATUA MAWE...na kuwatafutia pa kutumika ni wajinga.Nasema haya kwa vile naona sasa hivi kuanzia bungeni hadi wapi ktk serikali na establishments zilizopo kt mikono ya CCM mafundi hawapo kazini....sasa wapo ktk office za business planners....hawajui hata mtaji ,na mashine za kuweka migodi,kuweka viwanda waliofikiria na kuwekeza,walipopata mitaji walitumia akili na umahiri wa hali ya juu kuliko wanavyodhani kuwa skillz zao kufanya hizo kazi zinatosha shindanisha na wawekezaji,na wengine waliowekeza.Ningeshauri watanzaniaa sasa wajifunze kulinganisha mambo na mafundi wote warudi ktk vibarua wakaonyeshe utaaalmu wao huko.Bila hivyo hawa vibarua wataanza pambana na wawekezaji wa kitanzani wakishani wanashinda na vibarua wenzao ktk kupiga drill.....mbaya zaidi hawa vibarua na mafundi hawajui hawazewi hata shindana na waliogundua thaman ya hayao madini na watumiaji,kwani wakibadilisha sera tuu hawa mafundi wengi watakuwa USELESS ndipo wataona tofauti ya STRATEGISTS,Investors, and BUSINESS MEN.
 
umepata tender na kwa mengi nini? naona nyuzi zako ni za kumtukana Prof Muhongo tu. ama kweli elimu ya mjinga ni majungu. hutakaa umfikie Prof. Muhongo maishani mwako kama kazi yako ndo hii ya kufitinisha tu. kwa taarifa yako Prof. Muhongo hababaishwi na hela. mengi alifikiria angenyenyekewa akagonga mwambo. kwa taarifa yako amedhihirisha kuwa yeye ni Professor. nashindwa kuelewa kama unaweza kuwatumikia mabwana wawili, mbowe na mengi kwa wakati mmoja.
Umejiuliza km yeye atakaa anifikie...kima wewe?
 
Mtoa mada hujui unachokiongea ! Kwa kukusaidia tu jaribu kujua maana na tofauti ya hawa watu yani Consultant,Engineer,Techinician,Artisan na Contractor
 
inawezekana kabisa asikufikie maana kazi yako ya kufitinisha watu Prof. hatakuwa na muda huo mchafu wakui-practise.
nilijua huwezi kuja na jibu linaweza kukusupport...kila upande unakwenda kwa vile wewe ni hopeless,directionless reference yako ni ubishi wamakundi ambayo yapo wored kichwani kwako kuwa hawawezi kuneemesha kula kulala kwako
 
Kuchapiwa siri ya ndani ndo habari ya mjini....
 
Muhongo akili zafundi hazijamtoka...wapuuzi tuu ndio watamlinganisha na Mengi anayewaza kuajiri watu..Muhongo anawaza kuajiriwa ndio maana andhani veyeti vyake vinaweza msaidia jibu real life issues...ni kufananisha fikra za mtu aliyepo ktk interview na fikra za mwajiri /mwekezaji /mpanga mikakati/fundriser/angel /venture capitalist etc ktk Boardroom.Mbaya zaidi huyu Kibarua ndio awapangie VC?Ndio nilipozidi wadharau watz
 
eti mimi ni hopeless, who told you. umeona nikimtetea mtu yeyote humu kama wewe ulivyobize kumtetea mwanaume mwenzako? kituko.

nilijua huwezi kuja na jibu linaweza kukusupport...kila upande unakwenda kwa vile wewe ni hopeless,directionless reference yako ni ubishi wamakundi ambayo yapo wored kichwani kwako kuwa hawawezi kuneemesha kula kulala kwako
 
Inasikitisha,Inachekesha..kusikia CCM wakiwa very Busy km Mchwa ..wakifundishana jinsi ya kuitekeleza Ilani yao ..ndio kwanza orientation.Makatibu wakuu kibao wa CCM wametema mzigo...Bado CCM hawajaelewa ilani yao achilia mbali kuitekeleza hata kidogo.Mwaka wa 9 and counting CCM bado wapo busy kuisoma Ilani ya CHADEMA....huku wakisomeana vichwa habari kuhsu ilani yao...Ni wazi hadi Leo hata wanaoitangaza na kuwafundisha wengine ilani yao hawaijui zaidi ya kuamini kuwa ina vitu fulani fulani...hao ndio CCM wanahitaji sana msaada na ufafanuzi wa mwenyekiji.....Ningefurahi km NAPE au MWIGULU KM WANGEWEZA KUJA NIFANUNULIA MIMI NINI WANAELEWA KUHSU ILANI NA ILANI YAO INASEMAJE ,NA JINSI YA KUITEKELEZA NA KIASI GANI WAMITEKELEZA PENGINE WATENJAJI WA CCM NCHINI NAO WATAILEWA..HATA KAM MUDA HAUPO TENA ILA WACHAPA KAZI WANAWEZA JARIBU PUNGUZA DENI KWA WATANZANIA KWA PILAU,KANGA WALIZOPEWA KWA UTAPELEI WA CCM?
 
eti mimi ni hopeless, who told you. umeona nikimtetea mtu yeyote humu kama wewe ulivyobize kumtetea mwanaume mwenzako? kituko.
unadhani muda wote ni maruhani,ccm...magamba ya miti....yule bundi wa chini ya maweae tuu ulikuwa ukiyatetea.
 
Back
Top Bottom