Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Ccm iko kipindi cha lala salama
Migongano ya ndani kwa ndani
uchaguzi mkuu kiti cha urais 2015
hatima ya muungano
Katiba mpya katiba ya Zanzibar na katiba ya muungano
Urais wa zamu
kushindwa kutekeleza ahadi
Ufisadi
kulindana
mparaganyiko wa system
Kila baya kuhusishwa na ccm
undumilakuwili ,uchoyo ulozi na ukuwadi
rushwa kila mahali
kushindwa kukemea kwa haki na kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa
Ongezeko kubwa na la kasi la kuchukiwa na wananchi
Kama mimi niliichukia ccm tangu1984 je ni wangapi mpaka leo hii wameungana nami katika kuichukia ?hakika anguko kuu linakuja na ccm itabaki kwenye makabati ya kumbukumbu kama kanu
 
Saaizi wanategemea huruma za mahakama na policcm tu basi na watz wachache ma...bwe...ge
 
UKo sawa mkuu. Sina kumbukumbu nimeanzA kuichukia lini lakini zamani sana
 
Saaizi wanategemea huruma za mahakama na policcm tu basi na watz wachache ma...bwe...ge
Sure hawa watu hawahitaji huruma ya wananchi kabisa, binafsi nawaombeaga hata kifo cha Ghafla kabisa, tumechoka!
 
alaaah kumbe nimeingia kwenye thread ya kisiasa, BASI NITARUDI BAADAYE NIONE MTAKAVYOKUWA MMEPAKANA MAV!.
 
chama hiki kilishazeeka na kufa kitambo,kimebaki kulindwa na dola+mfumo mbovu wa uchaguzi tu! kwa sasa dola inaparaganyika na tutegemee mazishi yake hivi karibuni,hakiwezi kudharau maoni na mawazo ya wananchi then kikabaki salama,hata wanachama wake wa ngazi za chini tofauti na hii misukule ya buk 7 wamechoshwa na mwenendo kinachouonesha wa kuwadharau na kufikiri kwa niaba yao! kwa hili suala la katiba mpya ccm itakufa kifo cha mende! Sauti ya wengi ndiyo sauti ya Mungu!
 
msigwa aaibika.jpg

BONGE ya NYOMIIIIIIII MSIGWA AKIHUTUBIA WANANCHI KATIKA KAMPENI ZAN UBUNGE CHALINZE
 
Ccm iko kipindi cha lala salama
Migongano ya ndani kwa ndani
uchaguzi mkuu kiti cha urais 2015
hatima ya muungano
Katiba mpya katiba ya Zanzibar na katiba ya muungano
Urais wa zamu
kushindwa kutekeleza ahadi
Ufisadi
kulindana
mparaganyiko wa system
Kila baya kuhusishwa na ccm
undumilakuwili ,uchoyo ulozi na ukuwadi
rushwa kila mahali
kushindwa kukemea kwa haki na kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa
Ongezeko kubwa na la kasi la kuchukiwa na wananchi
Kama mimi niliichukia ccm tangu1984 je ni wangapi mpaka leo hii wameungana nami katika kuichukia ?hakika anguko kuu linakuja na ccm itabaki kwenye makabati ya kumbukumbu kama kanu

1.chopa tatu kata tatu
2.kipigo cha kalenga
3.kifinyo chalinze
 
Sure hawa watu hawahitaji huruma ya wananchi kabisa, binafsi nawaombeaga hata kifo cha Ghafla kabisa, tumechoka!

wamwagie tindikali au walishe sumu kama kawaida yenu ......(wasiliana na henry kileo katibu wa chadema mkoa wa kinondoni akupe tindikali na lwakatare, mkurugenzi wa ulinzi na usalama chadema taifa akupe sumu)
 
Back
Top Bottom