Kwa kuangalia ugumu wa maisha ni wazi CCM inaua wananchi kimya kimya bila hata ya kunyosha mkono.
Umeme bei juu, kitu ambacho kimefanya vituvingine vyote kupanda bei, matokeo ya kidato cha nne vijana kadhaa waljiua arafu matokeo yakatolewa upya, watu wanakufa kwa ugumu wa maisha vijana wengine wameamua kuwa vibaki, wadada wanauza kile mungu kawapa bure, mwisho wa siku ukimuuliza kibaka na CD utambiwa ugmu wa maisha lakini pia wote wawili wanakufa kimya kimya kwa moto na ukimwi, hata kuuawa na watu wabaya baada ya kuwala pengine mande usiku kucha, pia CCM imeruhusu massage centres wadada wanauza kama hawan akili timamu, CCM kimya, Je huu sio uuaji wa kimyakimya kwa CHAMA kilichopewa dhamani y utawala bila kufanya kazi ya utawala n uongozi kwa wananchi???
CCM inaua raia kimya kimya kwa kushindwa kusimamia sekta za elimu, uchumi na afya. Eti rais anacheki afya USA, eti waziri anafia SA, eti baba wa taifa huru kwa miaka zaidi 35 anafia St Thomas UK, ni aibu kama kuna MMC, BMC KCMC etc mbona wao wanatibiwa njee, au viongozi wetu wote wanaumwa magonjwa makubwa???? maana raia wenye magonjwa makubwa mno ndo hujangia kwenda nje??
Nawasilisha