Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Kila siku naona CDM wakipiga hatua tano mbele dhidi ya wapinzani wao.Inafurahisha sana sana ni muda wa kuomba kuchukua kadi maana huku tunakoishi kadi ni adimu mno.CDM wapo makini sana kiasi kwamba hata wapinzani wao wanatamani kuiga. Duh!nimewakubali kiroho safi mwanangu.
 
chama cha mizigo kiliuanza mwaka huu kwa fedheha kubwa kupitia wizara ya elimu kwa kuzalisha div zero 60% wakafunika kombe kwa kuwaresetisha necta.katikat ya mwaka wakaamua kuunda tume kwa kila tukio nazo zikafeli.Wameanzisha oparesheni ambazo zimewavua nguo hadi wakavuana nyadhifa za uwaziri.Kama haitoshi magamba walionyesha uchovu wa fikra kwa kutuletea simcard tax na wakaamua kufuata mfumo smartphone katika elimu baada ya iphone 5 wao wakatuletea div 5.
 
Acha kunywa gongo dogo, Sera ya gongo ndio imekufikisha hapo?
 
Hili la mwenyekiti kumlazimisha mbunge viti maalum asiende ziara ya kikazi huku amekula posho ya bunge ni ufisadi mkubwa. Mwenyekiti ni janga la fedha za walala hoi
 
chama cha mizigo kiliuanza mwaka huu kwa fedheha kubwa kupitia wizara ya elimu kwa kuzalisha div zero 60% wakafunika kombe kwa kuwaresetisha necta.katikat ya mwaka wakaamua kuunda tume kwa kila tukio nazo zikafeli.Wameanzisha oparesheni ambazo zimewavua nguo hadi wakavuana nyadhifa za uwaziri.Kama haitoshi magamba walionyesha uchovu wa fikra kwa kutuletea simcard tax na wakaamua kufuata mfumo smartphone katika elimu baada ya iphone 5 wao wakatuletea div 5.

Huna hoja. Kakojoe ulale ukue
 
Km hivi gongo haijahalalishwa imekuharibu ubongo, vp ikihalalishwa na slaa akîshika hiyo dola mwaka 2090
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha thread kama hizi ni mwiba mkali mno na mchungu kwa magamba aka chama cha mizigo Hahaha hahaha
 
ccm na watendaji wake wakiwemo wabunge wake waliratibu ubakaji, uuaji na utesaji wa wananchi wasio na hatia. Yani mtu unaambiwa umwingilie mama yako au mnyama aliyekufa!

Kweli ccm ni kama ukimwi iogopwe kuliko tb
 
Mawaziri 4 wamengolewa.
Hapo bado mizigo haijaguswa ukiwamo mzigo namba moja Pinda
 
CHAMA CHA MAPINDUZI ni janga la kitaifa kwani hata katibu mkuu wake BW. KINANA akiwa ziarani mbeya alisema ni kweli tunasema tumewafanyia mengi watanzania lakini mbona hatusemi ni kiasi gani kimeibiwa. ni ukweli kuna wizi wa rasilimali zetu kama tembo,gesi, madini,ardhi, mikataba ya kifisadi kama richmond aka dowans, ufisadi kama epa, rada,kagoda, dep green, ukatili waaskari kama polisi kuua raia kama mwangosi, kutesa raia kama dk ulimboka haya ni machache lakini kimsingi huyu ccm amekuwa mkoloni mweusi inabidi tupambane kumtoa
ni matumaini yangu huyu atatuokoa
tutafute kijana kutoka upinzani ,anaeweza kuthubutu na ambae amefanya mengi kwa watanzania mfano je amewateteaje wananchi kwa sera mbovu na mbaya za ccm mfano suala la madini na mikataba mibovu tupate kijana ambae ni mzalendo na amewahi kutetea sera za madini na rasilimali za taifa , ametetea wananchi juu ya wezi wa mali ya umma na mikataba feki ya madini na mengineyo tutafute kijana mwenye elimu ya kutosha, tutafute kijana mwenye nguvu ya umma na anaekubalika kwa watanzania wote. tukimpata ndugu wananchi tujipange vema kumtoa huyu mkoloni mweusi.
 
tupambane kumtoa mkoloni mweusi a second tanzania independence from black colonialist
 
tupate raisi kijana wazee kwa sasa wapumzike kwani taifa linaitaji ukombozi wa kweli wananchi wamepigika hailezeki
 
Tatizo letu watanzania ni hodari sana wa kukesha nyuma ya keyboard........wagumu kufanya maamuzi....... Kwa hali hii ccm itatutawala milele mpaka siku tutakayoamua kwa dhati kuiondoa madarakani........ Change ni mimi ni wewe ni sisi twaweza!

Watanzania walishafanya maamuzi mara nyingi sana ila TUME ya uchaguzi inawarudisha nyuma , kuna tetesi kuwa CCM ilishindwa Zanzibar tangu mwaka 1995 lakini TUME ya uchaguzi inapindisha matokeo. na kuna tetesi kuwa kuna mwaka Fulani kura milioni tano ziliondolewa kwenye hesabu ya kura ili kumpa kiongozi Fulani madaraka ya kuendelea kuongoza nchi.
 
Magamba wapumbavu sana...Huo ndo ukweli.mnalazimisha akinana mama wabakwe na kulawitiwa.hamsalimiki 2015
 
Back
Top Bottom