Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Hiyo Chadema ina malengo yapi ya kufanya Mabadiliko ambayo CCM imeshindwa kuyaleta?? Katika vyama ambavyo havina Vision na Mission ya Maendeleo basi chadema yaweza kuwa namba moja.
Maana kama wameshindwa hata kujenga ofisi ya chama makao makuu huku wakipewa pesa nyingi na serikali kama ruzuku, wamepokea pesa nyingi kutoka kwa wafadhiri wa nje, wamechangisha wananchi, hizo pesa zote hazina hata kumbukumbu za ki account huku chama kikikataa kupeleka report za kifedha ili ziweze kukaguliwa.
 
Wewe acha bla blaaa chadema ni msingi!
 
Watanzania tunaona kuwa nafuu uliopo ni ccm kuogopa kuwepo kwa cdm. Cdm bila kuwa na dira na dhima ccm wangechukua baadhi ya ilani zao mfano Katiba Mpya na kuitekeleza? Hivyo nani jembe kati ya ccm na cdm? Sasa fanya utafiti usio za kubumba utakuta cdm anapendwa zaidi. Halafu leta nadharia zako za 'VISION na MISSION' ni kuwa zipo bali huna uwezo wa kziona. Viashiria vina kuwa +ve, utapingaje?
 
Wamechakaa watu na siyo CCM. Sasa wanamuweka Lowassa awe Rais, ndiyo tutakoma. Ufisadi hadi kitandani.

18.JPG
 
mwanzon nlikuwa nkifikiri wala rushwa na mafixad na waxalit only available in ccm, kumbe hata cdm wapo.
dah! kumbe n kweli hili n tatizo tulilonalo n la kisociety na co la ccm pekee.
ila nahc cdm n hatar zaid kuliko ccm kwa muhstakabari wa TANZANIA tofaut na baadh ya member weng hum jf wavyofkr.
huu n mtazamo wangu 2 maxela mcjenge chuki
 
Mkuu, nimeipenda sana hii pocha. Barabara nUri sana hii. Utafikiri haipo bongo
 
Mkuu, hakika chadema ina mafisadi papa kuliko waliopo ccm. Huku Dr Slaa, kule Mbowe. Mbaya zaidi wote wanafanya ufisadi kuwaridhisha mahawara
 
mwanzon nlikuwa nkifikiri wala rushwa na mafixad na waxalit only available in ccm, kumbe hata cdm wapo.
dah! kumbe n kweli hili n tatizo tulilonalo n la kisociety na co la ccm pekee.
ila nahc cdm n hatar zaid kuliko ccm kwa muhstakabari wa TANZANIA tofaut na baadh ya member weng hum jf wavyofkr.
huu n mtazamo wangu 2 maxela mcjenge chuki
Mkuu, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100
 
Dawa ya kutibu uchakavu wa CCM ni kuing'oa madarakani na kuweka Chama kingine mbadala ambacho ni CHADEMA.Tulipofikia wa Tanzania mabadiliko ni jambo ambalo haliepukiki wala kukwepeka ili tuweze kupata maisha bora ni lazima kama wananchi tuitokomeze ktk sura ya Tanzania.Kamwe
Tanzania haiwezi kuendelea kama CCM itaendelea kubakia madarakani kwa nguvu na ukilitimba mkubwa.Sote wananchi tulochoswa na hawa MAFISADI WA CCM
WALOTAWALA MUDA MREFU NILAZIMA TUUNGE MKONO OPARASHEN TOKOMEZA CCM KTK UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA HADI UCHAGUZI MKUU,KILA MTU AINYIME KURA CCM HII NDIO DAWA YA KUIONDOA NA KUITOKOMEZA CCM KWENYE SIASA ZA TANZANIA.
Yaani wewe kwa akili zako za kibavicha unafikiri ni rahisi kila mtu kuinyima kura ccm? Ccm ni chama kongwe na tawala. Kimewafanyia mengi Watanzania
 
Hahaha hahaha hahaha wewe ni mburuula...ccm inashinda kwa kuiba kura.
 
Mburula, hayo ni mawazo yako. Ila kumbuka huwezi kuiba kama huna cha halali. Ni sawa na mtu ambaye alikuwa hana mbuzi hata mmoja. Kesho ukikutwa na mbuzi 20 lazima watu watakutilia shaka. Ila kama ulikuwa na mbuzi watano na ukakutwa na sita, hakuna atakayekushangaa
 
Sijui nikucheke au nikuhurumie, kushoto vumbi linatimka na wewe unasifia barabara nzuri, khaaaa!!!!!

Huko pembeni badala ya kujenga Pavements kwa ajili ya waendesha baiskeli..... na unasifia eti kama siyo Bongo.

Ona Barabara za mjini za wenzetu ndiyo ujuwe barabara za maana zikoje. Halafu hao juu ni ABIRIA au Mizigo ya CCM?

buffered_bike_lane1.jpg

Mkuu, nimeipenda sana hii pocha. Barabara nUri sana hii. Utafikiri haipo bongo
 
Sijui nikucheke au nikuhurumie, kushoto vumbi linatimka na wewe unasifia barabara nzuri, khaaaa!!!!!

Huko pembeni badala ya kujenga Pavements kwa ajili ya waendesha baiskeli..... na unasifia eti kama siyo Bongo.

Ona Barabara za mjini za wenzetu ndiyo ujuwe barabara za maana zikoje. Halafu hao juu ni ABIRIA au Mizigo ya CCM?

buffered_bike_lane1.jpg
Mkuu, hiyo barabara iko nchi gani Afrika?
 
Chama Cha Matapeli (CCM)

kaka samaki, ccm kutoka madarakani ni vigumu sana kwa sababu kuu tatu. 1. Ccm ina utajiri mkubwa wa wapiga kura wa pembezoni mwa nchi hasa vijijini ambao kwa mjibu wa uchunguzi wangu ndio wapiga kura wazuri sana na wengi ni akina mama,wazee na vikongwe huipa Ccm. 2. Ccm wanacheza rafu wakati wa uchaguzi, huwatisha wananchi wakichagua upinzani amani itatoweka hivyo wananchi wenye uelewa mdogo huogopa na kujikuta wamekipa kura jembe na nyundo. Pia humwaga pesa kama mchanga uliza uchaguzi mdogo wa busanda mzee malicela alikuwa anamwaga pesa pale nyarugusu kama mchanga akiwa gesti ya mgongo nje, anakumbuka! 3. Washabiki wengi wa chadema ni watu wanao jielewa(educated and visionary people) na vijana hasa wahuni wa mijini na mtaani. Wanaojielewa hupiga kura na huipa chadema au chama kingine cha upinzani walio wengi. Genge la wahuni wa mtaani huwa wengi wao hushabikia upinzani kwa maneno,fujo na hata vitendo kama kupiga watu,kuchoma nyumba, ofisi lakini si wapiga kura wazuri wengi hata shahada hawana, wakiwa nazo si za jimbo husika maana hawa watu ni migratory or mobile. Hivyo hawana tija kwa chama chao kwa upande wa kura. Hawa wanafaida tu pale matokeo yanapotaka kuchakachuriwa huwa most reactive kulinda kura! REJEA ILEMELA,NYAMAGANA,HATA BUKOBA MJINI enzi za Rwakatale.
 
Mpaka hapa tulipofika miaka hamsini ya uhuru ni aibu ccm kuendelea kuwa madarakani kwa nguvu ya jeshi ;police na pesa zetu walala hoi muda umefika kufanya mapinduzi kuondoa chama chakavu ccm kuiweka chadema mkombozi wa watanzania wote
 
Kinachotuchelewesha shughuli za mazishi ya marehe.u wetu ccm ni taarifa ya Dr.
 
Ccm=chama cha mizigo
Ccm=chama cha magamba
Ccm=chama cha mafisadi
Ccm=chama cha mazandiki
 
It is a matter of time, Hata Moi alitumia vyombo via usalama kuendelea kuiweka KANU madarakani, siku wakenya walipogundua siri ya urembo KANU ni marehemu. Kumbuka Hotuba ya Moi Bungeni Dodoma alidiriki kusema kwamba yeye na kura yake moja tu ingemhakikishia Uhuru Kenyatta kuingia madarakani. Lakini leo KANU iko wapi?
 
Ccm chama cha zamani kama ni mziki ni zilipendwa.
 
Back
Top Bottom