Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
mada haileweki
tunaomba ufafanuzi wa DUBAI ilikuwa sehemu gani au kwenye ile KASIRI YETU?
 
CDM sasa ni muda0 wa kutumia plan B tayari wameshaelema,mtego walioutega umegoma kufanya kazi, watasema kila kitu wakiamini Watanzania watawawaelewa,tujiulize tu hatakama ni kweli mtu kakubali kulipa nauli yake toka USA hadi Dudai wewe unaumia nini? Je akijitokmeza mke au mume na kuthibitisha alikuwa anaijua hiyo safari na ni yakikazi sisi wambea tutajificha wapi?
 
Kutokana na hali ya kisiasa ya chama cha mapinduzi,chama hiki sasa kinazidi kukosa matumaini ya kuendelea kutawala.Ccm wanatumia mbinu nyingi chafu na mbaya double standardized techinques kupambana na CHADEMA lakini harakati zao hazizai matunda.Najiuliza kwa nini kuna magazeti mengi sana yanaanzishwa? Na ukiangalia magazeti yote yalioanzishwa hivi sasa tupilia mbali Mawio yanaiponda na kuichafua CHADEMA,kulikoni? Mizigo wamepaniki,hali ya kisiasa ndani ya chama chakavu sio nzuri! R.I.P magamba=wabakaji=mafisadi=wauza sembe=walarushwa=chama chakavu=mizigo=CCM
 
Kaka vumilia tu. Watanzania wa sasa sio waangalia picha tu. Wanajua na kusoma pia.
 
Hakuna gazeti chini ya jua litaloweza kuichafua CHADEMA, chezea peoples' power wewe?
 
Watchemka tu na hayo magazeti yao ya kufungia vitumbua.WaTZ wa sasa si wale wa miaka ya 90,CDM IPO NA ITAKUWEPO MAANA NI MPANGO WA MUNGU.
 
Tulisikia Maneno mengi sana kuwa Chadema itasambaratika mwaka 2013, tulichoshudia jana Bungeni ni kusambaratika kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi.
 
Kwa vipofu na viziwi watakuunga mkono kuwa hatua ya rais kuwafuta kazi mawaziri wazembe ni kudhoofika ccm.
 
Sioni ubaya wowote kwa timu kubadilisha mchezaji wakati mechi inaendelea!
 
CCM haiwezi kusambaratika bali inawasambaratisha wenye kupinga ujangili kama Kagasheki, Nahodha, Msuya Jr... Nchimbi huyu ni Jangili na atapangiwa kazi nyingine soon... CDM inachana mawingu kuelekea 2015....
 
Back
Top Bottom