Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Tangu uumwe nadhani hujapata nafuu malizia dozi kwanza pengine akili yako inaweza kurejea kwenye mstali.
...hata kwa kauli zao tu utawajua wajumbe wa genge la wahuni....
Tangu uumwe nadhani hujapata nafuu malizia dozi kwanza pengine akili yako inaweza kurejea kwenye mstali.
Haya mambo yanawafaa viraza wenzako wa bavicha.Salam wanajamvi!
Katika pitapita zangu huku nikizungumza na wananchi juu ya Operesheni ya Tokomeza ujangili
jimboni kwa waziri Mkuu mizengo Pinda, wananchi wamekubaliana kuwa iwapo mtu ataipigia ccm uchaguzi mkuu ujayo ajiandae kupigwa na wananchi hao.Hii inatokana na hasira ya wananchi kupigwa,kuchomewa nyumba,mifugo yao kupigwa risasi na kukamata watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kuwa wanamilki silaha kwa kile kinachoitwa Operesheni Tokomeza Ujangili! R.I.P CCM.
Wananchi wanasema iwapo ccm watalazimisha ushindi kwa kuiba kura basi machafuko yanaweza kutokea ktk uchaguzi mkuu ujao.
Poleni kwa kuhangaika mtasingizia mpaka chama cha walimu kuwa kuwa kinawahujumu.Ccm wamekuwa wakitumia kila aina ya mbinu chafu kuidhofisha CHADEMA,lakini mbinu hizo zinagonga mwamba na matokeo yake wanaangukia pua.Walianza na ndoa ya Dr.Slaa lakini hawakufua dafu,wakaja na udini au ukabila wakakimbia wenyewe,wakajitokeza na kadi ya Dr.Slaa napo wakaumbuka,wakaja na mbinu ya ugaidi wakambulia patupu, na sasa wamekuja na mbinu ya kuweka mapandikiz CHADEMA wakiongozwa na Zitto ndio sasa chama kinaimarika zaidi.Huku wao wakimtetea Zitto kama nini!
R.I.P CCM
Elimu yake pia si yakutosha...warka"Kiongozi Mkuu wa Chadema yuko too local" - waraka
"Kiongozi Mkuu wa Chadema yuko too local" - waraka
Chama cha kilaghai hakiwezi kudumu kila siku matamko.