Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

siyo kifo mkuu , hivi sasa tunajipanga kwa mazishi , maana kifo kilishatokea kitambo sana .
 
Ni dhahiri kuwa Chama kikongwe cha Mapinduzi(CCM) kimewatekenya watanzania vyakutosha katika nyanja mbalimbali tangu kuanzishwa kwake..Watanzania wametekenywa katika elimu,uchumi,siasa,dini na jamii kwa ujumla wake.Mtekenyo huu mkuu sasa umekugusa maslahi ya walio wengi,swali langu kwenu munafikiri ni lini CCM itakomaa kuwatekenya wananchi?
 
Ni dhahiri kuwa Chama kikongwe cha Mapinduzi(CCM) kimewatekenya watanzania vyakutosha katika nyanja mbalimbali tangu kuanzishwa kwake..Watanzania wametekenywa katika elimu,uchumi,siasa,dini na jamii kwa ujumla wake.Mtekenyo huu mkuu sasa umekugusa maslahi ya walio wengi,swali langu kwenu munafikiri ni lini CCM itakomaa kuwatekenya wananchi?

Tutafakari tuchukue hatua.....!
 
CCM wafe mara ngapi walishakufa mda, CCM ni maiti inayotembea
 
Katika siku zinavyoenda ndivyo chama kongwe nchini linavyo zidi kuporomoka umaarufu!!
CCM nichama Tawala na kina zaidi ya nisu millennium tangu uwepo wake lakini kadri ziku zinavyo kwenda ndivyo kinazidi kuchechemea na hii nikutokana na haya!!
  • CCM kilichoifikisha hapa ni kuwa na viongozi wasiojali wananchi waliona kipato cha chini!!(walala hoi!)
  • CCM Kuwaona wazee waliokileta hapa kilipo kuwa wanawabania vijana kuwa na uongozi ndani ya chama!
  • CCM Kila kiongozi kujiona anamadaraka zaidi ndani ya chama!nakutozingatia miiko ya uongozi!
  • CCM Vijana kutaka kuwa na utajiri wa haraka hivyo kuhitaji mageuzi ndani ya UVCCM,UWT,CCM yenyewe zote hizi zikiwa ni taasisi za CCM zikawa na ueoho wa madaraka.
  • CCM Kutumia hila mbaya kwa vyama vya upinzani!
  • CCM kutumia vyombo vya dola kuwalinda katika siasa kudhani hii ndiyo njia sahihi na hii ikapelekea wananchi kuichukia hasa pale wanapoona haki haitendeki kwa baadhi ya vyama vya upinzani!
  • CCM kuhodhi mali nyingi zilizokuwa za chama kimoja wakati huo baada ya vyama vya upinzani kuanzishwa ilibidi mali zirudishwe serikalini lakini ikazikumbatia!
  • CCM kuwa mbadhirifu wa mali ya umma badala ya kuzuia ubadhirifu!
  • CCM Kukumbatia mafisadi na wao kutamba nchi nzima bila yakuwachukulia hatua hii ilipunguza uaminifu kwa wananchi!
  • CCM kuwanyima wazee wastaafu madaraka ndani ya chama!
  • CCM kuongozwa na vijana wadogo wasiokuwa na uono wa mbele na kwakudhani wao wanaweza kuitakatisha katika matope iliyojipaka!
  • CCM Kutumia ndumila kuwili katika vyama pinzani!
Katika haya machache ndiyo yaliyo sababisha kushuka umaarufu wa chama hiki kikuu!CCM!Nakama kuna mengineyo yanaweza kuwekwa!
 
Tofauti Kubwa Kati ya maskini na Tajiri inayosababishwana kutokuwa na mgawanyo sawa wa raslimali za nchi[National Cake].
 
Wadau,
Leo naomba tujadili aina ya viongozi,makada,wapenzi na mashabiki wa chama cha mapinduzi (ccm) chama ambacho kimeifanya tanzania iwe hivi ilivyo kwa sbb yake.
Kwa ufupi chama hiki kimejichokea vibaya mno kiasi kwamba wadau wake waliomo hawawezi 'kukifia' kwa sbb karibia 95% yao wapo kimaslahi zaidi kuliko kupenda chama.Wanachumia matumbo yao.Angalia watu kama nape,mwigulu,lowasa,shonza,mwampamba,Ritz nk;hivi 'wakuu' hawa na wenzao wengi,ni wafia chama?
Tukirudi huku mtaani kwetu mathalani ktk ofisi nyingi za umma na binafsi,sokoni,vijiweni na kwingineko ukisikia binadamu anaiunga mkono CCM ujue aidha ni kiongozi fulani asiye na sifa za kuwa hapo alipo kwa hiyo mfumo unamsaidia kulinda kitumbua chake,ana ndugu yake ni mbunge au kiongozi wa CCM,hajui kinachoendelea-yupo yupo tu au ni mwizi/fisadi.Waliobaki wote ni 'wanamageuzi'; kuwaambia CCM ni sawa na kuwaambia pepo,jinamizi! hawataki kusikia! Hata humu jf wale buk 7 wote si wana CCM,ni njaa tu.Wasipolipwa utaona kama wataiandika vzr.Wewe unasemaje?
 
Mm nafikiri tunakazi kubwa ya kuwapa fikra pevu wasomaji na wananchi wasiojua undani wa mambo yanayofanywa na Ccm unajua wengine hupiga tu kura bila kujua ila mtu ajuapo anawz kufanya maamuzi sahihi. Ni kweli wana ccm wapo kimaslahi na si kusaidia nchi! Nchi inatakiwa kukombolewa. Watu wanaposema kiongozi kafanya 1.2.3... Kwa kodi zetu na tukamsifia sio sahihi, ile ni haki yetu na mtu hapaswi kusifiwa anapokupa haki yako ila asifiwe anapokwenda extra-mile!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ule msemo kuwa baba wa taifa alikufa na ccm yake, unakaribia kudhihirika hivi karibuni. Chama alicho kianzisha yeye mwenyewe na baadaye kukikana kuwa ccm sio baba wala mama yangu, kinaelekea ukingoni na tunakaribia kukizika hivi karibuni tena hata kabla ya uchaguzi wa 2015.

Dalili ni nyingi lakini dalili za hivi karibuni za kuanza kugawanyika ktk misimamo yao kuhusu mchakato wa katiba mpya ni dalili za mwisho mwisho.

Jana nilishiriki msiba mmoja jijini mbeya ambapo nilijumuika na wazee wa ccm. Walionyesha hisia zao kuhusu kufumbwa midomo na mafisadi na kutishiwa kuwa maoni yao yaani maoni ya mafisadi yasikilizwe na yapite kwa nguvu ili kutokana na maovu yao waweze salimika.

Na wakasema imefika pahala wamekuwa watu wa kusubiri maagizo kutoka juu katika kutoa maoni yao. Wazee hao wamefika mbali sasa wanasema wamekuwa wafungwa wa maoni wa muda mrefu na maoni yaliyotolewa na chama chao ni maoni ya wachumia tumbo na wamesema hawawezi kuwa wafungwa tena watamwaga unga.

Pia waliwalaani baadhi ya vijana kuwa wanatumika.
 
Ndio ukweli wenyewe. Lakini utakuta vijana wa buku 7 baadala ya kujadili hoja hii iwapo ina ukweli, baadala yake wataanza kumshambulia Dr Slaa. Subiri uone!
 
Ukiwa na mawazo ya kibavicha ni hasara tupu.

Hii nayo kwa akili za kibavicha inaitwa piece of research.

Kama ungekuwa unawafahamu vizuri kisiasa watu kama kambona, Mapalala, Lyatonga Mrema aliyepata 27.77% votes in 1995 and a political situation pre-1995 usingepoteza hata muda wa kuandika garbage ya kisiasa kama hii.

Kama ungekuwa hauna akili za kibavicha ungeelewa kuwa CCM is the master in reinventing.

Utasubiri sana CCM kufa wakati yenyewe iko busy kutimiza ahadi na ilani yake ya uchaguzi 2010.
Ule msemo kuwa baba wa taifa alikufa na ccm yake, unakaribia kudhihirika hivi karibuni. Chama alicho kianzisha yeye mwenyewe na baadaye kukikana kuwa ccm sio baba wala mama yangu, kinaelekea ukingoni na tunakaribia kukizika hivi karibuni tena hata kabla ya uchaguzi wa 2015. Dalili ni nyingi lakini dalili za hivi karibuni za kuanza kugawanyika ktk misimamo yao kuhusu mchakato wa katiba mpya ni dalili za mwisho mwisho. Jana nilishiriki msiba mmoja jijini mbeya ambapo nilijumuika na wazee wa ccm. Walionyesha hisia zao kuhusu kufumbwa midomo na mafisadi na kutishiwa kuwa maoni yao yaani maoni ya mafisadi yasikilizwe na yapite kwa nguvu ili kutokana na maovu yao waweze salimika. Na wakasema imefika pahala wamekuwa watu wa kusubiri maagizo kutoka juu katika kutoa maoni yao. Wazee hao wamefika mbali sasa wanasema wamekuwa wafungwa wa maoni wa muda mrefu na maoni yaliyotolewa na chama chao ni maoni ya wachumia tumbo na wamesema hawawezi kuwa wafungwa tena watamwaga unga. Pia waliwalaani baadhi ya vijana kuwa wanatum
 
Ukiwa na mawazo ya kibavicha ni hasara tupu.

Hii nayo kwa akili za kibavicha inaitwa piece of research.

Kama ungekuwa unawafahamu vizuri kisiasa watu kama kambona, Mapalala, Lyatonga Mrema aliyepata 27.77% votes in 1995 and a political situation pre-1995 usingepoteza hata muda wa kuandika garbage ya kisiasa kama hii.

Kama ungekuwa hauna akili za kibavicha ungeelewa kuwa CCM is the master in reinventing.

Utasubiri sana CCM kufa wakati yenyewe iko busy kutimiza ahadi na ilani yake ya uchaguzi 2010.
Povu la nini? Kwa nini usitoe maoni yako kuhusu hoja iliyopo mbele yetu? Kwa hiyo unataka kumng'oa kucha mleta hoja?
 
Povu la nini? Kwa nini usitoe maoni yako kuhusu hoja iliyopo mbele yetu? Kwa hiyo unataka kumng'oa kucha mleta hoja?
Povu ndiyo kitu gani.
Kwa bandiko lako hili hata ukiambiwa kuangalia na kutambua hoja unadhihirisha huwezi kuiona hiyo hoja achilia mbali kuitambua.

Kama kwa mawazo na fikra zako hii ni hoja kwa nini hujatoa maoni yako badala yake umekimbilia hoja yangu.
 
mi naona wanaruka ruka tu wasije wakasema tumewajengea barabara kodi zetu ndizo zimejenga to be honest with u guys hamna jipya la kutueleza 2015
 
kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwenyewe,yaacheni maccm yarukeruke tu maana hata kusoma nyakati yameshindwa kutofautisha miaka ya 90 na sasa,KWA FAIDA YENU TU JIPANGENI TENA SANA,MAZINGIRA YA KISIASA YAMEBADILIKA SANA.TZ YA LEO SIO ILE YA JANA.
 
Back
Top Bottom