Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Kwa kifupi hii ni Serikali dhalimu haina tofauti hata kidogo na ile iliyokuwa Serikali ya wabaguzi wa rangi kule South Africa.
 
mnafiki mkubwa wewe,sasa serikali ya magamba ina migogoro na walimu,madaktari,wandishi wa habari au uongo.Kutekwa kwa ulimboka na kibanda mtuhumiwa wa kwanza ni serikali ya wauza sembe
Watoto wa mitaani mnajulikana tu mnakaa kutwa mnapanda chuki kwa walimu eti waichukie serikali akili zenu nyie chadema ziko miguuni au shingo hizo vurugu mtaandaa mtachoka hakuna daktari au mwalimu atakayechagua chadema mtajuta tu.
 
Mafanikio yapi, mpaka utumie microscope ndio uyaone hayo nayo unaita mafanikio.

Muendelee kuiba kura ndio mtaendelea kuwa madarakani, mkileta katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi na mkajiepusha na dhambi ya wizi wa kura, hakika mtakuwa chama cha upinzani tena chenye nguvu kama ya APPT Maendeleo.
Unakwama wapi wakati nchi nzima ni lami?
 
umesahau
-wazinzi
-walioasi dini
-wezi wa wake za watu
-wanafoji fedha za chama na kujenga DUbei
-wacheza disco
-casino
-wachawi
-wezi wa pesa za sadaka
-wanafiki

Wang'oa kucha na wakula kidogo ili wale
 
Chama cha mapinduzi hapa kilipofika inaonyesha wazi kuwa kinataka kufa na watu wasio na hatia. Kama una akili timamu mtanzania mwenzangu utakubaliana nami kuwa tumefika hapa tulipo kwa sababu ya dhuluma ya ccm. Kutokana na maliasili tuliyonayo Tanzania haikutakiwa tuwe hapa tulipo. Nchi imekuwa tegemezi,umeme wa mashaka, chakula cha shida,huduma mbovu za afya na mengine mengi sana.
Lakini cha kushangaza ccm na serikali yake imekuwa king'ang'anizi ktk kila jambo huku wakijua hawawezi lolote. Angalieni walivyo wababe kama kuwasurubu wanao anika uchafu wao kama magazeti? Ukweli ccm na serikali yake haina mshipa wa huruma wala aibu. Watanzania wanahangaika na adha/dhahama nyingi sana lakini fedha lukuki za watanzania wameweka nje ya nchi. Jamani nchi za magharibi na marekani wako karibu na huyu mwenyekiti wa ccm na serikali yake kwa ajili ya kujichukulia mali asili na si vinginevyo. Pia ccm imejitosa kuharibu mchakato wa kutengeneza katiba mpya ili iundwe katiba itakayowalinda ktk uharifu wao. Watanzania tuwe macho na hii serikali ya ccm na ccm yenyewe watatupeleka kubaya na kwenye hatari zaidi ya hapa tulipo.
 
Kweli mkuu inauma sana hii nchi ya wote lakini ccm inavyo tufanyia Mungu anajua.

WAKO BUSY KUANDAA JESHI LA KUITII CCM (maslah)BADALA YA KUTII MATAKWA{maslah} YA TAIFA.
"Ccm imeifikisha nchi pahali hauwezi kuamini ndiyo ile Tanzaniano ya miaka ilee ya sabini",inasikitisha sana.
 
Chama cha mapinduzi hapa kilipofika inaonyesha wazi kuwa kinataka kufa na watu wasio na hatia. Kama una akili timamu mtanzania mwenzangu utakubaliana nami kuwa tumefika hapa tulipo kwa sababu ya dhuluma ya ccm. Kutokana na maliasili tuliyonayo Tanzania haikutakiwa tuwe hapa tulipo. Nchi imekuwa tegemezi,umeme wa mashaka, chakula cha shida,huduma mbovu za afya na mengine mengi sana.
Lakini cha kushangaza ccm na serikali yake imekuwa king'ang'anizi ktk kila jambo huku wakijua hawawezi lolote. Angalieni walivyo wababe kama kuwasurubu wanao anika uchafu wao kama magazeti? Ukweli ccm na serikali yake haina mshipa wa huruma wala aibu. Watanzania wanahangaika na adha/dhahama nyingi sana lakini fedha lukuki za watanzania wameweka nje ya nchi. Jamani nchi za magharibi na marekani wako karibu na huyu mwenyekiti wa ccm na serikali yake kwa ajili ya kujichukulia mali asili na si vinginevyo. Pia ccm imejitosa kuharibu mchakato wa kutengeneza katiba mpya ili iundwe katiba itakayowalinda ktk uharifu wao. Watanzania tuwe macho na hii serikali ya ccm na ccm yenyewe watatupeleka kubaya na kwenye hatari zaidi ya hapa tulipo.

Ni kweli hawa maccm hawana jipya na wasifikiri watanzania ni mamburula, wamejisahau sana ila wataona tutakavowafanya 2015, katiba hii wajue kabisa c o ya kwao ni ya watanzania na safari hii hatutaki ulaghai wowote utaofanywa na maccm.
 
Wazazi wetu na mienendo yetu ya maisha ya kila siku ndiyo imetufikisha hapa tulipo.

Serikali ni mimi na wewe.
 
Watoto wa mitaani mnajulikana tu mnakaa kutwa mnapanda chuki kwa walimu eti waichukie serikali akili zenu nyie chadema ziko miguuni au shingo hizo vurugu mtaandaa mtachoka hakuna daktari au mwalimu atakayechagua chadema mtajuta tu.

Buku 7 kazini....mtakoma mkitoka madarakani....wezi wakubwa nyie
 
Ccm ni kama kundi la wahuni wachache with common interest za kuiba raslimali za nchi.Niipongeze ccm kwa lipi? Wizi,ufisadi,uuzaji sembe,ujangili au EPA? Mwarobaini wenu ni katiba mpya....uwazi,uwajibikaji ni vipengele vitakavyoawafukuzisha kazi na kukimbila ng'ambo! Majizi makubwa nyie,mmewaibia watz miaka zaidi ya 50 sasa yatosha.
 
Ni kweli hawa maccm hawana jipya na wasifikiri watanzania ni mamburula, wamejisahau sana ila wataona tutakavowafanya 2015, katiba hii wajue kabisa c o ya kwao ni ya watanzania na safari hii hatutaki ulaghai wowote utaofanywa na maccm.
Mkuu kweli lakini mchakato wa katiba wamehodhi wao na hii imejionyesha kwenye muswada husika, wametumia wingi wa wabunge walio nao kupitisha muswada wa katiba uwe sheria kwa hila. Sasa kwa hali hii tutapata katiba safi kweli? MUNGU TUHURUMIE NA JANGA HILI
 
Cjaona chama kilichojiandaa kuwatoa watanzania hapa walipo kwenda nchi ya ahadi kwani vyama vyote vimejaa unafiki tu kwa wananchi vinajifanya viko pamoja nasi kwa kua vinatamani kushika dola na kilichoshika dola nacho hakieleweki tuache propaganda tuseme ukweli.
 
Habari za majukumu wana JF

Siku zote bondia anaye amua kung'ata badala ya kupia masumbwi kwa adui wake ni ishara ya kuzidiwa uwezo wa mbinu za kurusha masumbwi na kuonyesha ni jinsi gani amechoka kupambana kwa sheria za mchezo husika. Anaamua kung'ata ikiwa ni sehemu yakupunguza kasi ya mpinzani wake ili hali anajua kuwa kung'ata ni nje ya sheria za masumbwi na hiyo inafanya ushindi uende kwa mpinzani.

Nimeziangalia siasa za maccm nakujilidhisha kuwa hawana tofauti na bondia anaye ng'ata akiwa ulingoni ilahaili anajua kuwa kung'ata nikosa kwa mujibu wa sheia za mchezo. Maccm yamekuwa yakitenda mambo ambayo kwa ukweli yapo nje ya maadili na msingi wa harakati za kisiasa, maccm yanaamini kuwa siasa niuadui ndio maana kila uchao yana fungua hata kesi ambazo hata wenyewe wanajua hawawezi kushinda.

Mfano wa mambo ambayo yanafanywa na maccm ni kama kuwafungulia kesi wapinzani hasa CDM, kuzuia mikutano ya wapinzani, kuiba pesa za umma kwa ajili ya kampeni zao, kuwasomba wananchi kwa mafuso kwa ajili ya mikutano yao ya hadhara nk. mengine naomba uongezee wewe mzalendo wa Tanzania. Hayo yote hayafanywi kwa bahati mbaya bali kwa msingi ya kupunguza kasi ya wapinzani hasa CDM lakini kwakuwa sheria za mchezo wa siasa haziruhusu hizo rafu za maccm ndio maana ushindi unaenda kwa wapinzani na kuwaacha maccm wakiona aibu mfano ni kesi aliyo funguliwa kamanda Lema na Mulugo na mabomu ya Arusha kipindi cha kampeni za udiwani pale Soweto.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom