Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Kila baya ni chadema kuiba wake za watu,kuvuta bangi,sasa kuuza dawa za kulevya chama cha mashetani ni chadema.
1. Hapo kwenye RED inamaanisha Mwigulu ni Mbunge wa CHADEMA?
2. Hapo kwenye Blue Lusinde na Nkamia ni wabunge wa CHADEMA?
3. Hapo kwenye GREEN kama ulipitia ile connection ya DOTs za sakata la akina Masogane wale wahusika ni wanachama wa CHADEMA?, Idd Azan ni wanachama wa CHADEMA? na kwa nyongeza ilikuwaje ujumbe wa Serikali kwenda South Africa kumtetea Masogange huku wakijua kabisa Mzigo aliokamatwa nao ni wa CHADEMA?
 
Wana JF
Kutokana na utendaji wa CCM na serikali yake ulivyo, bila shaka kila mtu anajua ulivyokuwa mbovu kama si kuoza kabisa, na hili sio kuwa linajulikana na vyama vya upinzani tuu, bali hata sisi ambao hatuna vyama, kwa sababu tunaona kwa macho na kwa vitendo, jinsi viongozi wake walivyokosa uzalendo na taifa hili
Nimejaribu kuzitafakari akili za wana JF wanaoitetea CCM, kwa kweli nashindwa kupata jibu, sijui wana utindio wa ubongo, mazezeta, hawajaelimika (cha ajabu wengine ni university graduate), vilaza, vimeo, au ndo wamevaaa miwani ya mbao, sijui ni kiburi tuu au nini jamani??????
kwa kweli nahisi hao jamaaa wana ujasiri mkubwa sana kujidhalilisha
Ni mtizamo wangu tuu, nawasilisha
 
CCM wanaposema kuwa wanachama wao kwa sasa wanafikia milioni sita, hakika hesabu hiyo inapashwa kuhakikiwa upya. Sina shaka wamewahesabu mamilioni ya wanachama wafu kama mimi, Dr. Rweitama na wengine wengi, wao wanamhesabu pia Dr Slaa, angalia watu hawa. Ikumbukwe kwamba hapo awali kila mtu alilazimika kuwa mwanachama wa CCM ikiwa ni pamoja na mimi, tulilazimishwa makazini, masomoni, majeshini na kila mahali. Hatukuwa wanachama wa hiari bali lazima, leo CCM wanatuhesabu wote sisi kuwa wnachama wao, nawapa pole.
 
Hizo zooote ni ngonjera tu zisizo na mashiko. ni sawa na kupiga bodi ya gari kwa ngumi wakati ikiwa mwendoni. CCM haifi na haitakufa nanyi CDM kwa ndoto yenu ya kushika dola kwa mabavu mlie tu maana hata tukiwaachia, basi mjue mabavu hayohayo yatawang'oa kama inavyotokea Misri.
Hivi CCM bado wanaamini kwamba..

1.wana hati miliki ya nchi hii pamoja na watz wote?
2.kwamba wanapendwa sana na watz pia wataendelea kushnda tukiwa na tume huru ya uchaguzi?
3.vyama vingine haviwezi kutawala nchi hii?
4.huwa wanashinda kihalali majimbo yote watz huwa wanawapigia kura,na walioshindwa eti wamewaachia tu wapinzani wakiamua wanachukua?

HAKIKA KAMA MUNGU AISHIVYO CCM MWISHO WAKE NI kati ya 2014 au 2015,japo hawataki kukubali ila naamini ma-ccm wenye akili timamu wameshasoma alama za nyakati kwamba enzi ya ccm imekwisha,nani aliamini kwamba KANU itakufa kirahisi hivyo?bt leo kiko wapi?ma-ccm machumia tumbo yamekalia kufikilia ni jnsi gani yataweza kuisambaratsha cdm ili yaendelee kutawala hata kama watz hawayataki na si kutumikia watz so sad,wameacha ilani wamebaki kuimba cdm na dr.slaa basi 2015 tukiwa na tume huru na daftari la wapiga kura likiboreshwa hata ma-ccm yanajua ndo mwisho wao.CCM OYEE?
 
Hata kwa ujanja gani Chama Cha Mapenzi (CCM) kiko mwisho, but remember CHEGUVERA'S worbs " revolution is not a ripe apple which one day falls down WE MUST FORCE IT TO FALL DOWN"
 
Ukianza kufuatilia mwenendo wa chama cha mapinduzi CCM,kwa kweli ni chama kilichokosa mwelekeo kabisa.Chama hik kimejaza maadui kila kona.Hawa ndio maadui wakuu wa serikali ya ccm,madaktari,walimu,wanafunzi wa vyuo vikuu,migogoro ya wakulima na wafanyakazi,wandishi wa habari nk
Na hawa wafuatao ndio marafiki wa serikali ya CCM
-mafisadi na wezi wa raslimali za nchi.
-wauza sembe
-majangili
-wala rushwa
-wang'oa kucha na meno
-wauaji wa raia wasio na hatia nk
 
Ukianza kufuatilia mwenendo wa chama cha mapinduzi ccm,kwa kweli ni chama kilichokosa mwelekeo kabisa.Chama hik kimejaza maadui kila kona.Hawa ndio maadui wakuu wa serikali ya ccm,madaktari,walimu,wanafunzi wa vyuo vikuu,migogoro ya wakulima na wafanyakazi,wandishi wa habari nk Na hawa wafuatao ndio marafiki wa serikali ya ccm -mafisadi na wezi wa raslimali za nchi. -wauza sembe -majangili -wala rushwa -wang'oa kucha na meno -wauaji wa raia wasio na hatia nk
umesahau
-wazinzi
-walioasi dini
-wezi wa wake za watu
-wanafoji fedha za chama na kujenga DUbei
-wacheza disco
-casino
-wachawi
-wezi wa pesa za sadaka
-wanafiki
 
Ukianza kufuatilia mwenendo wa chama cha mapinduzi ccm,kwa kweli ni chama kilichokosa mwelekeo kabisa.Chama hik kimejaza maadui kila kona.Hawa ndio maadui wakuu wa serikali ya ccm,madaktari,walimu,wanafunzi wa vyuo vikuu,migogoro ya wakulima na wafanyakazi,wandishi wa habari nk
Na hawa wafuatao ndio marafiki wa serikali ya ccm
-mafisadi na wezi wa raslimali za nchi.
-wauza sembe
-majangili
-wala rushwa
-wang'oa kucha na meno
-wauaji wa raia wasio na hatia nk
Wewe hata pige kelele vipi lakini fimbo unazo serikali haiwasikilizi watu vibaraka wa wanasiasa kama wewe mchumia tumbo tu.
 
Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.
 
Ukiwa mlevi tarajia kupongezwa na walevi wenzako kwa hiyo mkuu sikushangai kumpongeza mleta mada.

mnafiki mkubwa wewe,sasa serikali ya magamba ina migogoro na walimu,madaktari,wandishi wa habari au uongo.Kutekwa kwa ulimboka na kibanda mtuhumiwa wa kwanza ni serikali ya wauza sembe
 
Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.

wajinga kama wewe ndio waliobaki kuisfia serikali dhalimu ya ccm....shame on you gamba,buku 7 wa Lumumba
 
Eti serikali sikivu,wanafiki wakubwa.....ngoja mwaka 2015 ifike hakuna sehemu ya kukimbilia walimu moto,madaktari moto,wanafunzi vyuo vikuu adui no 1,wakulima hawawataki,,,,,mtakimbilia wapi
 
Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.
Mafanikio yapi, mpaka utumie microscope ndio uyaone hayo nayo unaita mafanikio.

Muendelee kuiba kura ndio mtaendelea kuwa madarakani, mkileta katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi na mkajiepusha na dhambi ya wizi wa kura, hakika mtakuwa chama cha upinzani tena chenye nguvu kama ya APPT Maendeleo.
 
mnafiki mkubwa wewe,sasa serikali ya magamba ina migogoro na walimu,madaktari,wandishi wa habari au uongo.Kutekwa kwa ulimboka na kibanda mtuhumiwa wa kwanza ni serikali ya wauza sembe

usihangaike naye huyo , mwenzio analipwa , wewe jikite kwenye mada tu .
 
mkuu umewasahau waadilifu ! Hao nao ni maadui wakubwa sana wa ccm , ajabu sana ! Hivi kwanini ccm inapenda watu waovu na wa hovyohovyo ?
 
hakuna jipya hapa, wengine tulitambua hili siku nyingi ndiyo maana tupo kwenye M4C tunawahabarisha na kuwavua magamba watu
 
Kamwe hamuwezi kushawishi Watanzania kuiacha CCM kwani wanatambua hakuna mpinzani wa kukizidi, kina sifa zote hakina udini, ukabila, wala ubinafsi. Ni chama cha Watanzania. Watu hawaitaki CHADEMA kwani ni chama cha kikabila CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO, Mpo hapo.?
 
Back
Top Bottom