Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Hali inasikitisha kwamba kila unakokwenda leo ndani nchi yetu, CCM inaonekana kama Chama Cha Mafisi. Wananchi wanafika hatua ya kumwambia Bosi Wangu Edo kwamba, asaidie kupinga ufisadi ili angalau wananchi wapate auheni ya maisha. Viongozi wa Chama na Ndani ya Serikali ya CCM wanafananishwa na na Ukoo wa Fisi ambao wanakula kila kitu hadi mzoga ilimradi ni nyama.
Viongozi wetu ndani ya CCM wanatafuna kila kitu, yaani hadi kutengeneza madawa ya kulevya ni CCM, ufisadi ni CCM, uonevu ni CCM,mauji ya tembo ni viongozi wa CCM. utoroshaji wa wanyama hai ni CCM. CCM tumekuwa janga. Mwarobaini ya mafisi haya ni Jembe Edward Lowasa. Kiongozi anayechukia ufisadi na mchapa kazi