Kwa hali ilivyo kwa sasa katka siasa za tanzania,ni wazi kuwa ccm aka chama cha magamba,aka chama cha majambaz, aka chama cha mafisadi,aka chama cha mauaji,aka chukua chako mapema nk.
Viashiria hvo ni mengi ikiwemo haya yafuatayo:
1.kila kesi muhimu wanayowachongea chama kilichopo ndan ya mioyo ya watanzania yaan chadema, wanashindwa vibaya mahakaman.mfano mojawapo ni ya leo ambapo lisu kawashinda tena magamba,huku wakili akiachwa mwenyew bila hata mfuasi wa ccm au kiongoz wao wa rufan kinana,,,ccm inakufa.
Pili,kesi za ugaid zote cdm kushinda,ni dalili kuwa chama cha wazee ccm kinakufa.
2.kitendo cha kulazimisha muswada wa sheria ya mabadiliko ya rasim ya katiba kupita bungen bila nchi ya zanzibar kuhusishwa ni uoga wa kutoka madarakani.
3.kitendo cha rais wa nchi na mwenyekit wa ccm taifa Jakaya mrisho kikwete akiwa mwanza na shinyanga kusema kuwa '' ccm itashindwa vibaya katka uchaguz wa 2015,na kuwa viongoz wa ccm wengi ni wavivu kufanya kzi,ni mojawapo ya kusambaratika kwa chama hiki cha wala kodi za watanzania.
4.kitendo cha waziri mkuu pinda kutamka hadharan bungen kuwa serikali imechoka na kuwa raia wapigwe,ni dalili tosha kuwa ccm chama cha wala unga kinakufa mapema.
5.kitendo cha ccm na serikali yake kushindwa kudhibiti au kutoa adhabu kali kwa wauza au wasafirisha madawa za kulevya na kuwa tanzania tunayoipenda,imechafuliwa kwa sakata la madawa ya kulevya,ni dalili tosha kuwa ccm chama cha maaramia kimebaki fuvu tu.
6.kitendo cha viongoz wao kuporomosha matusi akiwemo mwigulu,serukamba na mukulo aliewah kusema kuwa,kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba yake,na kuwa pesa zetu wao wanakula kwa kamba fupi kwa kuwa wameficha uswis ili zisiishe haraka,ni dalili tosha kuwa ccm kimekufa kimebaki alama ya jembe na nyundo tu kichwani.
7.kitendo cha wazir wa madini na gesi muhongo kuwaambia watanzania kuwa '' watanzania hawana ujuzi na uwezo wwote wa kuwekeza kwenye gesi labda kwenye juice'' ni matusi kwa watanzania na dalili za chama cha wenye nacho kufa.
8.kitendo cha kufukuza madiwan na kurudia matapishi tena,ikiwa ni uchafu ambao hata mnyama fulani akitapika hali matapishi yake,ni dalili ya chukua changu mapema kufa.
9.kitendo cha kupigwa 4-0 arusha mjini ni dalili tosha ya chama cha matapeli kufa.
10.kitendo cha serikali yake kuwa na bajeti ya robo tatu asilimia kuwa tegemezi wahisani na kuwa pombe ndo kipaombele chako na bado watanzania maskini wanakatwa kodi za simu ni dalili tosha kuwa chama cha majanga ccm kinakufa.
Nb: unga mkono hoja,na kama unapinga hoja toa uthibitisho mathubuti...
Wanaoafiki waseme ndioooooooooooooooooooo... wasioafiki waseme sio. Nadhani wanaoafiki wameshinda.
duuh!! Nimecheka sana,haya bana umechukua nafasi ya ndugai....
KITI KIMESEMA HAKUNA WA KUBISHA...........mmekuwa waungu watu?wa TZ tumekuwa kama mpira wa kona mnapiga mnavoweza 2015 ndio mwisho wenu.
Haya ni maajabu, kiti badala ya kutumia kanuni kufanya maamuzi kinasikiliza maelekezo toka kwenye chama(kijani).
mh spika nina ushahidi dunian na mbingun!! Watanzania mniombee
Mh. Toka nje? Sitoki na naunga mkono hoja. Ccm imekufa.
Nilikuwa katika ziara ya kikazi kwa maeneo ya Arusha, Babati, Singida na Dodoma. Tulipofika eneo moja la Tanga linaitwa komkonga tukasimama kwa ajili ya kujisaidia na kupata maji, nikiwa hapo nikaona bendera tatu na zote mpya, moja ya CCM, nyingine CUF na ya Tatu Chadema, Nikauliza wale wenyeji kuwa hapo kwenu kuna Vyama 3 tu vingine havisikikii, akanijibu akaniambia vipo vingine lkn kwa sasa hakuna chama kina wafuasi wengi kama Chadema, yaani kimekuwa na watu wengi sana, na watu hao wanaokiunga mkono wanatoka CCM na CUF, wakanihakikishia kama hakutakuwa na Uwizi CCM 2015 wanaondoka. Sikuridhika na majibu hayo nikaenda kwa mtu mwingine.. yeye akaniambia kuwa ni mfuasi wa CCM lkini Chadema ka sasa kina nguvu sana kwao.
Nikaendelea na safari yangu Arusha, Kule nadhani kila mahali ni chadema..kwani nilikwenda dukani kununua mahitaji unapotoa hela wanakwambia asante kamanda. Yaani kamanda ndiyo lugha ya Arusha.
Babati nilikutana na afande mmoja ambaye ni rafiki yangu nikajaribu kumuulizia ni chama gani chenye nguvu hapo kwao.. akaniambia brother bila kukuficha chadema kina nguvu sana, sikuridhika nikauliza baadhi ya raia wakaniambia vivyo hivyo.
Nilipokuwa singida watu wa kule wakaniambia Lissu amewafungua macho kwa mambo mengi sana hivyo hakuna kama Chadema.
Dodoma vijana wengi nao wanasema hivyo hivyo lkn wengine wa CCM wakaniambia kwa sasa inabidi watafute mbinu mmbadala kuidhibiti chadema bila hivyo CCM hawana chao.
Sasa kwa utafiti huo mdogo katika maeneo hayo ndiyo maana nasema CCM 2015 wataondoka kupitia sanduku la kura.
Kwa utafiti mdogo lazima ufariki dunia mwaka 2015 na utaiacha CCM! Nakutakia R.I.P
Kwa hali ilivyo kwa sasa katka siasa za tanzania,ni wazi kuwa ccm aka chama cha magamba,aka chama cha majambaz, aka chama cha mafisadi,aka chama cha mauaji,aka chukua chako mapema nk.
Viashiria hvo ni mengi ikiwemo haya yafuatayo:
1.kila kesi muhimu wanayowachongea chama kilichopo ndan ya mioyo ya watanzania yaan chadema, wanashindwa vibaya mahakaman.mfano mojawapo ni ya leo ambapo lisu kawashinda tena magamba,huku wakili akiachwa mwenyew bila hata mfuasi wa ccm au kiongoz wao wa rufan kinana,,,ccm inakufa.
Pili,kesi za ugaid zote cdm kushinda,ni dalili kuwa chama cha wazee ccm kinakufa.
2.kitendo cha kulazimisha muswada wa sheria ya mabadiliko ya rasim ya katiba kupita bungen bila nchi ya zanzibar kuhusishwa ni uoga wa kutoka madarakani.
3.kitendo cha rais wa nchi na mwenyekit wa ccm taifa Jakaya mrisho kikwete akiwa mwanza na shinyanga kusema kuwa '' ccm itashindwa vibaya katka uchaguz wa 2015,na kuwa viongoz wa ccm wengi ni wavivu kufanya kzi,ni mojawapo ya kusambaratika kwa chama hiki cha wala kodi za watanzania.
4.kitendo cha waziri mkuu pinda kutamka hadharan bungen kuwa serikali imechoka na kuwa raia wapigwe,ni dalili tosha kuwa ccm chama cha wala unga kinakufa mapema.
5.kitendo cha ccm na serikali yake kushindwa kudhibiti au kutoa adhabu kali kwa wauza au wasafirisha madawa za kulevya na kuwa tanzania tunayoipenda,imechafuliwa kwa sakata la madawa ya kulevya,ni dalili tosha kuwa ccm chama cha maaramia kimebaki fuvu tu.
6.kitendo cha viongoz wao kuporomosha matusi akiwemo mwigulu,serukamba na mukulo aliewah kusema kuwa,kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba yake,na kuwa pesa zetu wao wanakula kwa kamba fupi kwa kuwa wameficha uswis ili zisiishe haraka,ni dalili tosha kuwa ccm kimekufa kimebaki alama ya jembe na nyundo tu kichwani.
7.kitendo cha wazir wa madini na gesi muhongo kuwaambia watanzania kuwa '' watanzania hawana ujuzi na uwezo wwote wa kuwekeza kwenye gesi labda kwenye juice'' ni matusi kwa watanzania na dalili za chama cha wenye nacho kufa.
8.kitendo cha kufukuza madiwan na kurudia matapishi tena,ikiwa ni uchafu ambao hata mnyama fulani akitapika hali matapishi yake,ni dalili ya chukua changu mapema kufa.
9.kitendo cha kupigwa 4-0 arusha mjini ni dalili tosha ya chama cha matapeli kufa.
10.kitendo cha serikali yake kuwa na bajeti ya robo tatu asilimia kuwa tegemezi wahisani na kuwa pombe ndo kipaombele chako na bado watanzania maskini wanakatwa kodi za simu ni dalili tosha kuwa chama cha majanga ccm kinakufa.
mzee hoja zako hazina masiko ccm bado ipo si rahisi kama unavyofikiri we