Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

CCM kama jambo ama kitu kingine hapa duniani kuwa na mwisho ni lazima na wakati ukiwadia hata yakiletwa maloboti katu haiwezi kuzuia

Sikuwahi na sitakuja kuipenda CCM na kwahiyo popote nilipo nawaza kuona inazikwa kutuachia watanzania nchi yetu ya amani tuliyozaliwa ..CCM uende kuzimu
 
Ndani ya chama cha mapinduzi ukiwa mkwel au ukisimamia ukwel katika uongoz kamwe huwez kudumu.Najarbu kuangalia historia za viongozi tang uhuru naona MAJANGA tu.Angalia marehem Sokoine alivyokuwa chapakazi na msimamia ukwel ndani ya serikar ya ccm leo uwapi?sio huyo tu na wengne weng nadhan hata ww msomaji utakuwa unawajua.Angalia leo Sumaye anavyotengwa na serikal ya ccm.Unamkumbuka yule Steven Mashishanga?unajua yuko wap leo?Naichukia sn serikal ya ccm.Leo ndani ya CCM Mwakyembe ndo anaonekana bora na anawajibika ipasavyo ktk taifa hili.Unakumbuka kilichompata Mwakyembe nyuma kidogo.Asipoangalia hatodumu ndani ya CCM coz ndan ya CCM ukiwa Mkwel hutakiwi so ajiangalie sn.Binafs namkubali sn Mwakyembe na laiti tungekuwa na mawaziri walau 7 tu kama Mwakyembe taifa hili lingekuwa mbali sn.Nakukubali MWAKYEMBE lakin ndan ya CCM hutakiwi Chukua tahadhari Kamanda wangu.Pamoja sn Mwakembe.
 
Hii thread ni mwiba mchungu sana kwa magamba Hahaha hahaha hahaha
 
Ndani ya chama cha
mapinduzi ukiwa mkwel au ukisimamia ukwel katika uongoz kamwe huwez
kudumu.Najarbu kuangalia historia za viongozi tang uhuru naona MAJANGA
tu.Angalia marehem Sokoine alivyokuwa chapakazi na msimamia ukwel ndani
ya serikar ya ccm leo uwapi?sio huyo tu na wengne weng nadhan hata ww
msomaji utakuwa unawajua.Angalia leo Sumaye anavyotengwa na serikal ya
ccm.Unamkumbuka yule Steven Mashishanga?unajua yuko wap leo?Naichukia sn
serikal ya ccm.Leo ndani ya CCM Mwakyembe ndo anaonekana bora na
anawajibika ipasavyo ktk taifa hili.Unakumbuka kilichompata Mwakyembe
nyuma kidogo.Asipoangalia hatodumu ndani ya CCM coz ndan ya CCM ukiwa
Mkwel hutakiwi so ajiangalie sn.Binafs namkubali sn Mwakyembe na laiti
tungekuwa na mawaziri walau 7 tu kama Mwakyembe taifa hili lingekuwa
mbali sn.Nakukubali MWAKYEMBE lakin ndan ya CCM hutakiwi Chukua
tahadhari Kamanda wangu.Pamoja sn Mwakembe.

lini ulipenda ccm wewe? halafu hata maana ya sera hujui.
 
Hi to all JF members,
Ni siku nyingine tena nimekuja kuwachambulia uovu wa CCM na kuonesha utovu wa nidhamu ulivo shamiri miongoni mwa wanachama na makada njaa wanaonunuliwa na kujiita wao ni makada wa CCM kumbe masalia wasiotumia akili zao vema.

Nimefuatilia nyenendo za mdogo wangu Mwigulu na hata kuhudhuria vikao vyake vya siri bila hata yeye savimbi kunitambua kama mimi ni muuza habari nyeti kwa CDM,kimsingi ni vikao vya ujinga na ndoto za kuotwa na mtu alosinzia huku akiwa amesimama.

Mauaji yote yanayoendelea nchini kwetu ya makada wa upinzani na wenye kumpinga aidha kiongozi yeyote apendwae na MWIGULU,yeye huamua kujivisha jukumu la kudili nae popote pale alipo na kumfanyia unyama hata jukwaani.

Huku ndo kunaasisiwa kampeni za kununua makada wa CDM kwa mafungu manono ya hadi ml 50 kwa mtu mmoja na sasa kuna kampeni inaendeshwa ya kumnunua BEN SAANANE kwa dau hat la ml.70 na mpango huu unabebwa sana na kijana mpuuzi na mjinga kabisa MTERA na kujinasibu kuwa anaweza kumkalisha chini na kumfikisha mikononi mwa nchemba na tayari kwa ushawishi huo huku akiwa ameshika fungu hilo mkononi kama sehemu ya kumtamanisha BEN.

Sote twajua mipango hii na ndo mana nasema kumbe siku hizi CCM mtu akiwa na hoja na akiwa upinzani hununuliwa kwa dau zito kwa lengo la kumuua kisiasa au kumpoteza kisiasa,hapa ndo natilia shaka uwezo wa chama changu CCM.

Sasa kumbe na ndo maana husomba watu ktk mikutano yao na je 2015 wangapi watanunuliwa na wangapi watakusanywa ktk mikutano ya kijinga namna hiyo na utamaduni huu sasa unazidi ota mizizi mikubwa sana.

NAOMBA CCM MUACHANE NA UJINGA HUU MJIKITE ZAIDI KTK HOJA NA KUJENGA CHAMA CHENU KWA MAKADA WENU NA SI KUNUNUA WEHU.
 
hi to all jf members,
ni siku nyingine tena nimekuja kuwachambulia uovu wa ccm na kuonesha utovu wa nidhamu ulivo shamiri miongoni mwa wanachama na makada njaa wanaonunuliwa na kujiita wao ni makada wa ccm kumbe masalia wasiotumia akili zao vema.

Nimefuatilia nyenendo za mdogo wangu mwigulu na hata kuhudhuria vikao vyake vya siri bila hata yeye savimbi kunitambua kama mimi ni muuza habari nyeti kwa cdm,kimsingi ni vikao vya ujinga na ndoto za kuotwa na mtu alosinzia huku akiwa amesimama.

Mauaji yote yanayoendelea nchini kwetu ya makada wa upinzani na wenye kumpinga aidha kiongozi yeyote apendwae na mwigulu,yeye huamua kujivisha jukumu la kudili nae popote pale alipo na kumfanyia unyama hata jukwaani.

Huku ndo kunaasisiwa kampeni za kununua makada wa cdm kwa mafungu manono ya hadi ml 50 kwa mtu mmoja na sasa kuna kampeni inaendeshwa ya kumnunua ben saanane kwa dau hat la ml.70 na mpango huu unabebwa sana na kijana mpuuzi na mjinga kabisa mtera na kujinasibu kuwa anaweza kumkalisha chini na kumfikisha mikononi mwa nchemba na tayari kwa ushawishi huo huku akiwa ameshika fungu hilo mkononi kama sehemu ya kumtamanisha ben.

Sote twajua mipango hii na ndo mana nasema kumbe siku hizi ccm mtu akiwa na hoja na akiwa upinzani hununuliwa kwa dau zito kwa lengo la kumuua kisiasa au kumpoteza kisiasa,hapa ndo natilia shaka uwezo wa chama changu ccm.

Sasa kumbe na ndo maana husomba watu ktk mikutano yao na je 2015 wangapi watanunuliwa na wangapi watakusanywa ktk mikutano ya kijinga namna hiyo na utamaduni huu sasa unazidi ota mizizi mikubwa sana.

Naomba ccm muachane na ujinga huu mjikite zaidi ktk hoja na kujenga chama chenu kwa makada wenu na si kununua wehu.
hongera sana kwa kumshauri nd,mwigu
 
Ndugu zangu wana jf, Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wapenda haki na mnaojadili mada kwa tafakuri ya hali ya juu.

Leo nimewaletea mtiririko wa picha unaoonyesha jinsi ccm inavyotumia mbinu za kutoa nguo na chakula ili tu kupata kura [ hii pia ni rushwa mbaya sana] na jinsi hawa Wanachama wa ccm walivyokosa Adabu na nidhamu[ utajionea mwenyewe kwenye picha acha haraka mkuu] na utumie muda wako kutafakari kwa kina kama na wewe ulipewa kipande cha kanga ukauza utu wako na sasa unataabika?

Kama yupo mtu anayesoma thread aliiipa ccm kura akidhani ni chama makini basi atuombe radhi sisi waungwana na aache kejeli na dharau zake hapa sisi ni watu makini ni tunawafuma kila kukicha. Tuelezeni hapa Mh Nape alikuwa anagawa nini hapa [ tizama picha] na je huo msosi kwenye kampeni zenu ni wanini? Kuna watu wanatetea ccm utazani ni watoto wa Baba wa Taifa, sikatai kutetea ila kwenye ukweli kuweni wastaarabu maana sio heri kuchekelea mtu anaumwa kisa siasa!. Nataka niwaone leo mtakavyotokwa na mapovu humu!. Kazi kwenu.

Nawakilisha.
 

Attachments

  • NAPE AKIGAWA  KANGA .jpg
    NAPE AKIGAWA KANGA .jpg
    68.9 KB · Views: 273
  • ALIRUBUNIWA ZAMANI SS IMECHAKAA.jpg
    ALIRUBUNIWA ZAMANI SS IMECHAKAA.jpg
    57.5 KB · Views: 261
  • NA MSOSI NAO NI MBINU.jpg
    NA MSOSI NAO NI MBINU.jpg
    53.6 KB · Views: 265
  • ONA TISHETI ALIUZA NAYO KURA.jpg
    ONA TISHETI ALIUZA NAYO KURA.jpg
    11.5 KB · Views: 250
  • HATA BUSARA HAWANA.jpg
    HATA BUSARA HAWANA.jpg
    112.7 KB · Views: 222
  • AHADI ZISIZOTEKELEZEKA.jpg
    AHADI ZISIZOTEKELEZEKA.jpg
    23.5 KB · Views: 223
  • HADI MTOTO KAKATA TAMAA.jpg
    HADI MTOTO KAKATA TAMAA.jpg
    8.1 KB · Views: 623
  • MASKINI HUYU NA MATUMAINI HEWA.jpg
    MASKINI HUYU NA MATUMAINI HEWA.jpg
    5.8 KB · Views: 620
unanjaa, huna elimu ya uraia, what do you expect? vijijini kanga za kampeni ndo za mtoko. umaskini ni kitu kibaya sana mkuu, hata ungekuwa ni wewe lazima ungechukua. our common enemy ni acute poverty japo wengine wanaweza tumia kama ngazi which is very bad.
 
Huu udanganyifu una mwisho kwa kuwa huwa unaenda na kizazi chake! ndo maana Mke wa Mwenyekiti wa CCM alisema hawa vijana wamepewa nini mbona hawaitaki CCM!!
 
hizo picha mmechakachua ili muichafue ccm, kwa taarifa yenu ccm haichafuliki, mtaishia kunawa tu
 
ndo aana naichukia ccm maana ilipaswa kutuondolea umaskini badala yake wanatumia kama njia ya kupata kura
 
DU kweli kama unanituhumu kwa kuchakachua basi nitakushangaa sana, So na PICHA YA NAPE NAYO NIMEICHAKACHUA?
 
Back
Top Bottom