Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

chadema ni wauwaji, mnatamani kuuwa watu kwa sumu na tindikali ila ccm ndio inawalinda na kuwaokoa
 
chadema ni wauwaji, mnatamani kuuwa watu kwa sumu na tindikali ila ccm ndio inawalinda na kuwaokoa

Mkuu acha kutoa povu dhibitisha kauli yako maana Mahakama imefutilia mbali kesi za kupikwa, Acha kufanya kazi ya umbea kuwa mwerevu mkuu au subiri tukuelimishe mkuu.
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi? ''Kimetobokaaaaaaaaaaaaaaaaaa''


 
sishangai kwenye ccm watu wapo wa kila aina wenye njaa wenye kushiba wapo mbona cdm hatuwaonagi watu kama hawa huwa naona wote mmenona kwenye picha kuna nn huko cdm au nyie sio wa tz?
Ndugu zangu wana jf, Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wapenda haki na mnaojadili mada kwa tafakuri ya hali ya juu.

Leo nimewaletea mtiririko wa picha unaoonyesha jinsi ccm inavyotumia mbinu za kutoa nguo na chakula ili tu kupata kura [ hii pia ni rushwa mbaya sana] na jinsi hawa Wanachama wa ccm walivyokosa Adabu na nidhamu[ utajionea mwenyewe kwenye picha acha haraka mkuu] na utumie muda wako kutafakari kwa kina kama na wewe ulipewa kipande cha kanga ukauza utu wako na sasa unataabika?

Kama yupo mtu anayesoma thread aliiipa ccm kura akidhani ni chama makini basi atuombe radhi sisi waungwana na aache kejeli na dharau zake hapa sisi ni watu makini ni tunawafuma kila kukicha. Tuelezeni hapa Mh Nape alikuwa anagawa nini hapa [ tizama picha] na je huo msosi kwenye kampeni zenu ni wanini? Kuna watu wanatetea ccm utazani ni watoto wa Baba wa Taifa, sikatai kutetea ila kwenye ukweli kuweni wastaarabu maana sio heri kuchekelea mtu anaumwa kisa siasa!. Nataka niwaone leo mtakavyotokwa na mapovu humu!. Kazi kwenu.

Nawakilisha.
 
Ujumbe wa picha ni mkubwa zaidi wa maneno, mtoa mada nakushukuru sana, mwenye macho haambiwi tazama, imani yangu ni kwamba mwisho wa nyinyiemu umeishafika, tunasubiri kutangaziwa matokeo tu. CHADEMA NDO MUAROBAINI WA HAYA YOTE.
 
Back
Top Bottom