Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Inashangaza sana unapomwamin mtu au chama, wanafanya kazi zao, unawapa sapoti yote harafu baada ya miaka 50, unagundua hakuna maisha bora wala maendeleo ya mfano ulikinganisha idadi ya watu, ukubwa wa ardhi safi, mito, bahari na maziwa, madini na rasilimali lukuki tulizonazo, unawambia basi mtu wewe au chama wewe ninataka mtu au chama kingine, kuanzia hapo inakuwa mzozo, fitina hadi mauaji eti tu kwanini unataka kunibadilisha na kazi hii umpe mtu au chama kingine, je hiyo ni sababu watu wapoteze maisha kisa hutaki watanzania wakubadilishe?? kwani kukupa utuongoze ilikuwa kukuuzia nchi???

Si uungwana hata kidogo, ni aibu kama kweli akili iko unaunda tume ya uchaguzi ambayo wewe mwenye unashiriki kugombea it will never be fair in any ways, hilo hulioni??? hata kama katiba inakupa mamlaka wewe huna akili??? mbona nyerere aliwahi kusema katiba inamfanya rais kuwa dikteta akipenda, lakini vile anaakili hakutaka kuwa dikteta. Huyu ni mtu mwenye akili, sasa mliopo hamna akili??? mnataka tuamini kuwa nyinyi ni vibaka wa madaraka??? kwanini tume huru isiundwe haraka kwa manufaa ya wote??? ni kosa mtu kubadili mwajiriwa wake???

Umasikini huu, Maendeleo hakuna, Maisha bora ni mfumko wa bei 19.2% wakati nyingeza ya mjshahara aslimi 4-8% kweli haya ni maisha, kodi inapanda kwa kila kitu, hata kodi ya simu inaanzishwa juu ya ile unayolipa wakati unatumia huduma, madini yanavunwa kila siku, elimu imekufa, mali zinaibiwa au unyanganyi kama vile viwanja vya michezo vilivyochukuliwa na CCM wakati ni vya taifa zima, fisadi kama EPA na Richmondi, Mauaji eti tu vile watu wanawapinga kweli hiyo ni sababu tosha kuua watu.

Malecela aliwaambia watu wachague CCM vinginevyo wataleta vita, tutakuheshimu vipi kwa hoja za namna hii, umefanya kizazi chako chote kinuke kwa hoja chafu, Sumaye ili bishara yako ichanue uwe mwanaccm, ccm tuliwaajiri sio kuwamilikisha nchi, wananchi waaamua wanaye mtaka, kama kaburi SA alishindwa na kuwapa wananchi haki hiyo nyie mtaweza kutunyima, mko tayari mtuue zaidi ya makaburu ili mtawale kwa nguvu nchi ambayo tumeikomboa bila damu???

Nawasihi wizi wa kura sio kitu kizuri, kungangania kazi sio sahihi tena pale aliyekuajiri anapoona hufai, hufikii malengo.

CCM na serikali kubalini matokeo ya kura halali za wananchi., nchi moja hakuna haja ya kutaka watu wafe, au mpaka na nyinyi familia zenu ziguswe na vifo vya namna hii ndo mstuke? kwas sasa hamuoni kama watu wanakufa bure???

Nawasilisha
 
Umasikini huu, Maendeleo hakuna, Maisha bora ni mfumko wa bei 19.2% wakati nyingeza ya mjshahara aslimi 4-8% kweli haya ni maisha, kodi inapanda kwa kila kitu, hata kodi ya simu inaanzishwa juu ya ile unayolipa wakati unatumia huduma, madini yanavunwa kila siku, elimu imekufa, mali zinaibiwa au unyanganyi kama vile viwanja vya michezo vilivyochukuliwa na CCM wakati ni vya taifa zima, fisadi kama EPA na Richmondi, Mauaji eti tu vile watu wanawapinga kweli hiyo ni sababu tosha kuua watu.

Malecela aliwaambia watu wachague CCM vinginevyo wataleta vita, tutakuheshimu vipi kwa hoja za namna hii, umefanya kizazi chako chote kinuke kwa hoja chafu, Sumaye ili bishara yako ichanue uwe mwanaccm, ccm tuliwaajiri sio kuwamilikisha nchi, wananchi waaamua wanaye mtaka, kama kaburi SA alishindwa na kuwapa wananchi haki hiyo nyie mtaweza kutunyima, mko tayari mtuue zaidi ya makaburu ili mtawale kwa nguvu nchi ambayo tumeikomboa bila damu???

Uhuru unapiganiwa wala hauombwi, Shida ya Watanzania ni woga, lakini nadhani wakati umefika kuishinikiza serikali isiyo sikivu kuhakikisha tuanaingia uchaguzi wa 2015 na tume huru mpya maana chini ya hawa jamaa walioingia ubia na wafanya biashara ili mradi wanapata fedha usishangae biashara ya meno ya Tembo, madawa ya kulevya ikashamiri kwani hakuna wa kukemea, kwa vile nao ni sehemu ya biashara hizo
 
Akili yako imechoka kama kweli unaisubiri ccm kukutoa ktk umaskini,unapaswa uwe mbunifu nakufanya kazi
 
Nimekuamini, nilikua naangalia kipindi cha mzalendo. Nimeamini.
 
Hamtaki kufanya kazi mnashinda jf kutetea cdm alafu upate mafanikio bila jasho jipange upya wewe toa hoja zisizo na mashiko
 
Sahau kuhusu CCM hawajifahamu na dhamana walio nayo zaidi ya propaganda
 
Mlolongo wa kesi za kigaidi dhidi ya wanachama wa chadema zinazopigiwa upatu na MWIGULU NCHEMBA zitaiangamiza CCM badala ya CHADEMA kwa sababu moja kubwa kuwa kwa sasa uelewa wa watanzania ni tofauti na ule wa 1995 ambapo wananchi waliiamini kirahisi propaganda kuwa kama MREMA angeshinda basi angeiuza nchi.
KWA SASA UGAIDI WA CHADEMA UNAKIFANYA CCM KIONEKANE KAMA KITUKO hasa ukizingatia kuwa hakuna hata kati ya kesi iliyofanikiwa hata kusikilizwa na kutolewa uamuzi licha ya MWIGULU NCHEMBA kujitokeza mara kwa mara kusititiza ama ana ushahidi tena akiuita ni siri nzito ama chadema ni chama cha kigaidi.
HOJA HII YA UGAIDI ACHANENI NAYO MANA MNAONEKANA KAMA HAMNA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO KUFATIA MASHITAKA YOTE YA UGAIDI KUENDELEA KUKATALIWA NA MAHAKAMA NA HAPO NDIO watanzania wanaona sasa kila mkisemacho ni uongo.
 
Mhhh mie nina mashaka na hukumu hizi...TUTALAZIMIKA KUWAUNGA MKONO MAHAKAMA HATA WATAKAPOTUMIKA KUHALALISHA WIZI WA CCM WA KURA...HUKUMU HIZI SI ZA KUSHABIKIA KWA KWELI

Mlolongo wa kesi za kigaidi dhidi ya wanachama wa chadema zinazopigiwa upatu na MWIGULU NCHEMBA zitaiangamiza CCM badala ya CHADEMA kwa sababu moja kubwa kuwa kwa sasa uelewa wa watanzania ni tofauti na ule wa 1995 ambapo wananchi waliiamini kirahisi propaganda kuwa kama MREMA angeshinda basi angeiuza nchi.
KWA SASA UGAIDI WA CHADEMA UNAKIFANYA CCM KIONEKANE KAMA KITUKO hasa ukizingatia kuwa hakuna hata kati ya kesi iliyofanikiwa hata kusikilizwa na kutolewa uamuzi licha ya MWIGULU NCHEMBA kujitokeza mara kwa mara kusititiza ama ana ushahidi tena akiuita ni siri nzito ama chadema ni chama cha kigaidi.
HOJA HII YA UGAIDI ACHANENI NAYO MANA MNAONEKANA KAMA HAMNA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO KUFATIA MASHITAKA YOTE YA UGAIDI KUENDELEA KUKATALIWA NA MAHAKAMA NA HAPO NDIO watanzania wanaona sasa kila mkisemacho ni uongo.
 
images

RIP CCM
 
ACHEBE,hata kama majaji wakitumika lakini kwa sasa haiwezekani tena kuwarubuni watanzania kwa kuwatisha kwapropaganda za kitoto huku wakijua sio kweli.
 
Mwigulu Savimbi anakipotzea CCM imani mbele machoni pa washabiki wake. Hadi 2013 sipati picha nini kitatpkea hadi kufika hiuo 2015 kwani CCM imeonyesha kuwa na mchecheto sana.
 
Mlolongo wa kesi za kigaidi dhidi ya wanachama wa chadema zinazopigiwa upatu na MWIGULU NCHEMBA zitaiangamiza CCM badala ya CHADEMA kwa sababu moja kubwa kuwa kwa sasa uelewa wa watanzania ni tofauti na ule wa 1995 ambapo wananchi waliiamini kirahisi propaganda kuwa kama MREMA angeshinda basi angeiuza nchi.
KWA SASA UGAIDI WA CHADEMA UNAKIFANYA CCM KIONEKANE KAMA KITUKO hasa ukizingatia kuwa hakuna hata kati ya kesi iliyofanikiwa hata kusikilizwa na kutolewa uamuzi licha ya MWIGULU NCHEMBA kujitokeza mara kwa mara kusititiza ama ana ushahidi tena akiuita ni siri nzito ama chadema ni chama cha kigaidi.
HOJA HII YA UGAIDI ACHANENI NAYO MANA MNAONEKANA KAMA HAMNA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO KUFATIA MASHITAKA YOTE YA UGAIDI KUENDELEA KUKATALIWA NA MAHAKAMA NA HAPO NDIO watanzania wanaona sasa kila mkisemacho ni uongo.
Nchemba ni janga la ccm. Watakapogundua hivyo watakuwa tayari wanakabidhi utawala kwa chama cha upinzani!
 
Kama haya sio maigizo...uliyebandika picha hii sikusupoti hata kidogo

Huyu ni marehem anapelekwa kwenye nyumba ya milele, hujamtendea haki...siipendi ccm lakini pia sipendi ushabiki wa kisiasa wa kijinga hivi. Hatujafikia kiasi cha kudhalilisha mpaka wafu jamani...
 
mtangoja sana CCM ni mwendo mdundo tu kama ZANU-FP.
 
Hamtaki kufanya kazi mnashinda jf kutetea cdm alafu upate mafanikio bila jasho jipange upya wewe toa hoja zisizo na mashiko
"mnashinda jf" wewe unalala na kuamkia jf kwa sababu ya buku 7
 
1.Nani msafi watamsimamisha agombee urais?
Lowasa na kashfa za ufisadi---kama siyo ufisadi hela gani mpaka leo anazigawa makanisani na misikitini??
Magufuli(hata jimboni kwake hakubaliki sembuse kitaifa?)
Bernad Membe,(Mnafki kama mwenyekiti wake wa chama)
2.Tanzania ina migogoro na majirani zake.(kwa vyovyote vile majirani kama rwanda,kenya,malawi na uganda
Je watapenda serikali ya CCM irudi madarakani.
3.Msajili mpya wa vyama (Tendwa kastafu,je nini madhumuni gani ya kuwekwa msajili mpya?)
 
Back
Top Bottom