Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Watu kama nyinyi ndiyo mnaichinja cdm kwa kuwakuza. Badala ya kuwaambia wakomae unakuja kujambajamba hapa JF. Ccm haifi leo wala kesho na cdm kuongoza hawawezi....
Who old you??Na kwa nini haiwezi kufa?? Na kwa ninin unasema CDM haiwezi kuongoza???Usitumie makal.... kufikiri.Any one in this country has a right to be elected to lead.Wewe ni nani hata uikatae hii???
 
Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini

Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:

1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???

2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.

3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????

4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???

5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??
.

Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.[B]ccm[/B].or.tz/
 
Ni hilo la kwanza tu basi, tena kwa gharama yoyote hata ya kuchakachua, lakini haya mengine yalizikwa zamaniiiiii!
 
Ni hilo la kwanza tu basi, tena kwa gharama yoyote hata ya kuchakachua, lakini haya mengine yalizikwa zamaniiiiii!

Imenishitua sana. Hili lichama limelelewa vibaya. Nikisoma malengo yote naona yalifaa kipindi cha nyerere tu. Lasivo ni kupotezeana muda. Watanzania tuwe makini sasa na CCM haina mpango na watanzania
 
Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini

Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:

1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???

2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.

3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????

4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???

5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??
.

Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.[B]ccm[/B].or.tz/

Asante mkuu tupe na ya chadema sasa.
 
Imenishitua sana. Hili lichama limelelewa vibaya. Nikisoma malengo yote naona yalifaa kipindi cha nyerere tu. Lasivo ni kupotezeana muda. Watanzania tuwe makini sasa na CCM haina mpango na watanzania

Mkuu ni kweli kabisa.
 
Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini

Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:

1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???

2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.

3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????

4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???

5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??
.

Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.[B]ccm[/B].or.tz/
Aliyeandika hayo aishakufa.
 
Du! Eti na sie ni wajamaa....hahahahaaaaaaaaaaaaaa...
 
Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini

Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:

1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???

2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.

3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????

4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???

5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??
.

Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.ccm.or.tz/
Ni saidie swala hili unauliza ukiwa unaijua ccm au umeuliza ukiwa huijui ccm unataka usaidiwe kuijua.
 
Malengo ya chadema kumwagia watu tindikali,kumwagia sumu,kulipua mabomu,kufanya nchi isitawalike,kutoa matamko kila wiki.
kutukuna kila wanapoongea,kuzua uongo,umbea na mandamano kila siku hasa kwa mikoa ya arusha,mwanza na mbeya.
 
Itakumbukwa kuwa kwa hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na matukio ambayo mengi ni ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na hatimaye kuhatarisha amani hapa nchini. Kwa mtiririko wa matukio hayo na ukimya wa Rais wetu ambaye ilisemekana mwaka 2005 kuwa alikuwa ni chaguo la mungu ni dhahiri mungu aliye mchagua si yule ambaye tunamjua sote ambaye hapendi kabisa watu wake wanyanyaswe na kuteswa bila sababau za msingi.
1. watu wasio na hatia wameuwawa Arusha mwaka 2011 na jeshi la polisi wanaolipwa kodi za wakulima wa nanjilinji na kijiji cha Mafyeko ambao wanakula mlo mmoja kwa siku.
2. Mwaka jana mwezi wa nane aliuwawa mwandishi wa habari Mwangosi na tume ya haki za binadamu kuthibitisha kuwa polisi wanahusika katika tukio hilo na hadi leo kimya.
3.Ali zona aliuwawa na kitu kinachosemekana kuwa kina ncha kali kwa mazingira ambayo yalisababishwa na polis
4. Twiga wamesafirishwa kwenda ughaibuni na ndege za jeshi
5.Majangili wanaua tembo tena wengine ni mawakala wa meli ambao ni viongozi waandamizi wa ccm( ndovu baridi)
6. Watu wanakamatwa na unga wa sembe nchi za nje na wahusika majina yao anayo j.k mpaka leo hataji wala kuchukua hatua na vijana wanaendelea kuangamia tu
7. Gari lilikamatwa Arusha limebeba bangi( cha Arusha) za mkuu wa FFU mkoa wa Arusha
8.Bomu limerushwa na jeshi la polisi kwenye mkutano wa chadema Arusha
9. Pinda anasema wapigeni tu tumechoka
10. Green guard wanaua watu ovyo na makamanda wengi wa greenguard ni makatibu wa wilaya wa ccm na wengi wao ni majambazi wastaafu( m/kiti wa CCM taifa anajua)
11. Dr ulimboka na kibanda kuteswa na kunyofolewa meno bila ganzi( mkuu wa kaya kimya)
Kwa mtiririko wa mambo yote haya Raisi wetu amekaa kimya bila hata kuchukua hatua zinazo onekana na jamii nzima kama kuunda tume huru za uchunguzi wa vifo vyenye utata kwa mujibu wa "Inquest act", kuwawajibisha akina Kamuhanda na kinyume chake ni kuwapandisha vyeo na kuwaongezea mikataba wakati umri wa kustaafu tayari, nk.
Kwa haya yote na mengine mengi ni dhahili kuwa Rais wetu anaidharirisha taasisi hiyo ambayo ilitakiwa kuwa chimbuko la imani toka kwa wananchi kwa msingi huo ni wazi kuwa Rais anahusika na uvunjifu wa amani nchini.
 
kwa sasa majungu na umbea ni sehemu ya maisha ya wabongo sijui tutafika.
 
Ukitaka kupima mwisho
wa chama chochote cha
siasa na serikali yake ni
pale kinapoanza kukiuka
misingi muhimu ya haki
za binadamu ,matumizi ya
nguvu kupita
kiasi ,kutumia ubabe ktk
maamuzi yake na
kuwafanya wananchi
wasiokuwa na hatia
kuwa wakosaji.
Mambo hayo ndio
yanayosababisha
waziri mkuu ,m.pinda
kushtakiwa na kituo cha
sheria na haki za
binadamu kwa kuvunja
katiba kutokana na
kauli yake bungeni '
wapigwe '
ktk post yangu ya leo
naona nichambue hali
halisi ya taifa le2u
linalokabiliwa na adui
hatari anayeitwa ' ubabe
' ukizungumza na watu
wa rika zote ,kada
zote ,kila kona ya nchi
wanalalamikia kuwa
ubabe unalipelfkea taifa
mahali pabaya sana ,na
hata watu wenye hekima
wanadai ubabe
ukizoeleka huzaa
usugu .hali hii ikitokea
kwa taifa inaweza kuzaa
maafa ya kitaifa .hivi
sasa taifa letu limeacha
asili ya kutawala na
kuongoza ambayo
iliheshimu matakwa za
wananchi na sasa
limeamua kufuata
utamaduni mpya wa
mizengwe ,ubabe na
uchakachuaji wa kila
fani nina maana ya
kuwa kuna wakubwa
wanaotumia dola dhidi
ya umma uliowachagua
na hili linasononesha
wengi .hebu tuangalie
ubabe wao ni upi na
wapi .
1) ubabe ulisababisha
kashafa ya epa ifunikwe .
2 ) ubabe ulisababisha
richmond iliyovuruga
serikali na bunge ,ubabe
huo ndio uliosababisha
tuwalipe richmond/
dowans.
3) ubabe umesababisha
kuendesha nchi bila
kufuata katiba ambayo
yenyewe tayari ina
viraka .
4 ) ubabe umeasisi udini
ktk taifa kuanzia shule
za msingi hadi vyuo
vikuu udini umeenea na
hivi sasa dini ya m2u ni
sifa ya kuteuliwa au
kutoteuliwa .
5) ubabe umesababisha
vyombo vya dola
vinavyopaswa kuwa
huru viwe mifukoni mwa
watawala.,
takukuru ,dpp .nec ,bunge
na mahakama.
6 ) ubabe ,ufisadi na
rushwa upo ktk ofisi
hata ambazo ni nyeti
kwa mhimili wa taifa .7 )
ubabe umedhilalisha
taifa na kulipotezea
utaifa wake nchi
imekuwa shamba la
wageni.
8 ) ubabe umesababisha
ubinafsishaji usio na
macho wala
masikio ,matokeo yake
ubinafsishaji huo
umeasisi kwa wenyeji
kuwa omba omba.
9 ) ubabe ume2umika
kuzuia chaguzi za
mameya ktk halmashauri
nyingi au hata
kulazimisha chaguzi ktk
manispaa nyingine
ziende kinyume na
utaratibu..10 ) ubabe
umesababisha wabunge
wa upinzani wapigwe
hadharani ,mwanza ,arus
11 ) ubabe umesababisha
wanafunzi wa vyuo
vikuu wapigwe mabomu
kwa kudai haki zao .
Nasema watanzania
wakiota sugu kwa ubabu
huu suluhu itapatikana
kwa gharama
kubwa ,natamka haya
kwa sababu hata hao
polisi wanaotumika
kuwaumiza ndugu zao
kwa mabomu pia wao
wana madai yao siku
polisi wakigoma nani
atatupiga mabomu ?
 
Back
Top Bottom